Kenya Election 2007: Outcomes

Kenya Election 2007: Outcomes

I see, believe or not, hiyo sample yako ni very representative na ina-reflect hali halisi ya wasomi wa TZ. Unajua sisi tumekuwa na ufinyu sana wa dhana nzima ya maendeleo: it is all about kujenga nyumba north of Dar, kununua RAV4 na kusomesha mtoto kwenye one of our fake so called international/english medium schools. Mtu akipata hivyo anajiona amefanikiwa sana na ukimwambia CCM ina-bore anakushangaa!

Mnyika alikuja hapa akashauri wanaJF wasomi wawasilinaene nae ili kujenga upinzani imara Tanzania- I am sorry to say he was a bit discouraged!

Wengi wa wasomi Tz tumekuwa so selfish- we just think of our carriers, education ya watoto n.k. Basi- na tunatosheka/kuridhika sana mapema!

Wengi wetu tunapenda sana na kujadili na kuchanyanua kwa kina- wakati tukikaa pembeni- na mambo yakienda mrama pia ni wa kwanza kulaumu CCM na serikali!

In a nutshell- we are not risky takers, na ndo maana Tz inazidi kuwa hivi hila siku!

Ila kweli wenzetu Kenya ni kweli wametuzidi- pamoja na matatizo yanayotokea kwao sasa sisi wasomi Watz tuna mengi ya kujifunza na inabidi tubadilike!
 
Posted Date:: 04.01.2008 @23:46 EAT

Kenya violence: Dar port woes to worsen
By Pius Rugonzibwa and
Damas Kanyabwoya
THE CITIZEN

Congestion at Dar es Salaam port is likely to worsen as the Kenya crisis forces Rwanda and Uganda to divert their Mombasa-bound goods to Tanzania.

Post-election violence has disrupted movement of goods and services through Kenya, causing acute shortages of fuel and other goods in landlocked Uganda, Rwanda.

Rwanda has announced that it has just five days fuel reserves and efforts have started to secure consignments from Tanzania.

Officials at the Ugandan High Commission confirmed reports that they were in talks with the Tanzanian government on the possibility of using inbound goods passing through Dar es Salaam port instead of Mombasa.

Talks have been going on between Uganda and Tanzania but they are yet to be finalized, and we are waiting for significant developments (on the talks), said the chancellor at the high commission, Ms Rose Mutonyi.

But when The Citizen contacted Tanzania Ports Authority (TPA) on their arrangement to receive and handle the influx of cargo, a senior official said the authority expected a steep rise in the number of containers passing through Dar es Salaam due to Kenya crisis, adding that efforts were under way to handle the situation.

We are not yet sure how busy we are going to be, but what I can say for the time being is that we have to prepare for anything. It is very unfortunate that we are also congested here but as we are undertaking major expansion of our port probably, we will manage. Let us wait and see, said TPA communications manger Franklin Mziray.

Port stakeholders have said emergency measures would need to be devised by the Government to make sure the anticipated congestion is kept to a minimum.

Speaking to The Citizen yesterday, they said there was no way Tanzania�s premier sea port would be able to deal with a sudden increase in the amount of goods because the port's handling capacity was overwhelmed even before the crisis.

It is hard to imagine how the port can handle more goods given the current congestion. Something urgent would have to be done to make that possible, said Mr Otieno Igogo, chairman of the Tanzania Freights Forwarders Association.

He said one possible measure would be to quickly prepare internal container depots (ICDs) so that containers entering the port were directly taken to the depots.

Mr Mziray also admitted that congestion at Dar es Salaam port was still a major problem and additional goods diverted from might worsen the situation.

He said there were already about a dozen cargo vessels waiting to offload consignments at the port. He didn�t go into details, but inside sources revealed that the ships had been kept waiting for several days.

TPA was earlier reported to have been in consultations with the Ministry of Industry, Trade and Marketing to see how jointly they could jointly tackle the situation.

Mr Mziray said the port also faced a shortage of staff to deal with any additional workload. Recently, the port entered into a contract with five companies to assume duties previously undertaken by casual laborers whose contracts were terminated.

The port had employed about 2,000 casual labourers, but it decided to lay off a significant number, opting to retain a few skilled ones.

Containers equivalent to 17,587 TEUs (20-foot equivalent units) were stacked at Mombasa port as of yesterday, well over its capacity of handling 14,300 TEUs, according to Kenya Ports Authority (KPA) spokesman Bernard Osero. A quarter of them were destined for countries in eastern and central Africa.

The KPA said only 36 containers were taken out of the port on Thursday by road, three of which were transit cargo. Normally, the port handles 550 containers a day but it still takes several days to clear cargo.

For several months, Dar es Salaam port has been experiencing congestion.

Many drivers are still lining up in long queues waiting for clearance as others waiting to take cargo on board.

One of the drivers told The Citizen that he had been waiting since he arrived from Rwanda on December 10, last year. Despite being assured that his cargo would be loaded and cleared by December 23 last year, he was still waiting yesterday.

He said the situation was even worse at Gate Number 3 where unnecessary delays were troubling them. Gate Number 5 is reported to operating at full capacity at night but the waiting period for taking on cargo is almost the same.

For more than a year I have been driving my truck to Rwanda, but I am fed up with this port we are waiting for long time and we are incurring big loses ourselves as drivers and our bosses. We are experiencing bureaucracy here and we don�t know when this will end, said Mr Ramadhani Omari.

There are have been a relatively fair movement of cargo from Dar es Salaam port to other countries in East Africa. In 2005, about 83, 592 million tonnes of cargo was transported to Uganda through Dar port while in 2006, the volume dropped significantly to 46,855 million tonnes.
TPA officials say Uganda has been using the port, but of late the small traffic to Kampala has been diverted to the Mombasa.
Dar es Salaam port has 11 berths with total quay length of 2,600 meters.

Out of the 11 berths, eight berths with quay length of 1,478 meters are general cargo berths. These are equipped with quay cranes, front loaders and other cargo handling equipment.
 
Mnyika alikuja hapa akashauri wanaJF wasomi wawasilinaene nae ili kujenga upinzani imara Tanzania- I am sorry to say he was a bit discouraged!

Wengi wa wasomi Tz tumekuwa so selfish- we just think of our carriers, education ya watoto n.k. Basi- na tunatosheka/kuridhika sana mapema!

Wengi wetu tunapenda sana na kujadili na kuchanyanua kwa kina- wakati tukikaa pembeni- na mambo yakienda mrama pia ni wa kwanza kulaumu CCM na serikali!

In a nutshell- we are not risky takers, na ndo maana Tz inazidi kuwa hivi hila siku!

Ila kweli wenzetu Kenya ni kweli wametuzidi- pamoja na matatizo yanayotokea kwao sasa sisi wasomi Watz tuna mengi ya kujifunza na inabidi tubadilike!

ujamaa na kujitegemea na siasa zilizojengwa kwa misingi ya woga na chama kimoja ,zilitumaliza sana tz ,kiasi ambacho mpaka leo hii tunaona ni dhambi kubwa kuikosoa serikali ama kuijengea upinzani.dhana ambayo imejaa vifuani mwetu ni kwamba bila chama tawala basi amani itatoweka tanzania.ni aibu kubwa kwa watanzania kuwa na uwoga na siasa za mitindo ya miaka ya 60,ambapo husemi kitu kwa kuogopa kuuwawa au kusekwa lupango kwa usaliti.tunahitaji miaka mingi mbele ndipo tufikie siasa za kileo.
 
Mnyika alikuja hapa akashauri wanaJF wasomi wawasilinaene nae ili kujenga upinzani imara Tanzania- I am sorry to say he was a bit discouraged!

Wengi wa wasomi Tz tumekuwa so selfish- we just think of our carriers, education ya watoto n.k. Basi- na tunatosheka/kuridhika sana mapema!

Wengi wetu tunapenda sana na kujadili na kuchanyanua kwa kina- wakati tukikaa pembeni- na mambo yakienda mrama pia ni wa kwanza kulaumu CCM na serikali!

In a nutshell- we are not risky takers, na ndo maana Tz inazidi kuwa hivi hila siku!

Ila kweli wenzetu Kenya ni kweli wametuzidi- pamoja na matatizo yanayotokea kwao sasa sisi wasomi Watz tuna mengi ya kujifunza na inabidi tubadilike!

Kwa maoni yangu Watanzania wengi wasomi wako tayari kuwaunga mkono CHADEMA kama wataonyesha kweli wana nia ya kujenga upinzani wenye nguvu badala ya huu upinzani uliokuwepo ambao bado umelegalega.

Wasomi wengi walifurahia sana pale ambapo Tanzania iliporuhusu mfumo wa vyama vingi na wengi wanakubali kabisa kwamba CCM inaipeleka Tanzania pabaya.

Pamoja na kuilamu CCM pia ni lazima tuangalie upinzani. Wasomi wengi wanasema Tanzania ni nchi kubwa sana, kama upinzani utafanikiwa kuingia madarakani kuna nafasi chungu nzima za kuzijaza kuanzia mawaziri, makatibu wakuu, makatibu wakuu wasaidizi, wakuu wa mikoa, mabalozi n.k. na sasa hivi hakuna chama chochote cha upinzani chenye kuweza kujaza nafasi zote hizo.

Watanzania wasomi na Watanzania wengine wanaushauri upinzani kwamba kiundwe chama cha chenye nguvu cha upinzani ili kuwa na viongozi mbali mbali ambao wataweza kushika nyadhifa mbali mbali iwapo upinzani utafanikiwa kuingia madarakani. Hapa upinzani hukaa kimya kabisa bila kuonyesha nia yao ya kweli ya kusikiliza ushauri toka kwa Watanzania kwamba tunataka upinzani upunguze utitiri wa vyama uliokuwepo na kuunda chama kimoja chenye nguvu.

Makosa ambayo upinzani umeshayafanya katika chaguzi za 1995, 2000 na 2005 ni mengi na baadhi ni kutokuwa na upinzani wenye nguvu na kutojulikana kwa sera za vyama hivyo katika kona mbali mbali za Tanzania.

Sasa Kitila mimi swali langu kwako je CHADEMA iko tayari kushauriana na vyama vingine ili mwaka huu kiundwe chama kimoja kitavyojumuisha CHADEMA, NCCR, CUF, TPL na vyama vinginevyo ili kujiandaa kwa uchaguzi wa 2010? Je, mko tayari kuhakikisha kwa kukitangaza chama hicho mnaigawa Tanzania katika kanda sita ili kutumia muda uliokuwepo hadi hapo 2010 ili kukitangaza chama na sera zake kwa maandalizi ya 2010.

Ni rahisi kuwalaumu wasomi kuhusiana na hali ya nchi yetu, lakini vyama vya upinzani ni lazima navyo vijiangalie vinachangia vipi katika hali hii. Upinzani baada ya kushindwa katika chaguzi tatu mfululizo, inabidi ukae chini kutafakari wapi wanakosea na wafanye nini ili kubadili matokeo ya chaguzi hizo. Pamoja na wizi wa kura wa CCM bado nafikiri kuna haja ya kuungana na mkiweza kufanya hivyo na kuweka ubinafsi pembeni basi mnaweza kabisa kushangazwa na support kubwa mtakayopata kutoka kwa Watanzania ndani na nje ya nchi.
 
Bubu: Hapo sina cha kuongeza zaidi ya kuyameza maneno yako kwa uchungu na furaha. Niseme tu kuwa yes, wapinzani pia tumewa-let down wapenda mabadiliko kama ambavyo wao wametu-let down kwa kutaka kushiriki mafanikio pekee na sio struggle. Natamani watu washiriki kuimarisha upinzani badala ya kusubiri upinzani uimarike ndipo wajiunge.
 
Kitila,

Wazo la Bubu ni zuri sana.Ikiwa tunataka ushindi 2010 ni lazima tuwe na chama kimoja chenye nguvu na mvuto kwa wananchi bara na visiwani.Na njia moja ya kukipata hicho chama ni kuunganisha vyama vyote vya upinzani au kama ikishindikana basi kuunganisha vyama vikubwa vya upinzani na kuweka mgombea mmoja.Na ni vile vile si vibaya kuanza kufikiria sifa za huyo mtu ambaye atapendekezwa kuwa mgombea kwa vyama vyote.

Wewe unalionaje hilo?..je ni mtihani usiowezekana? na je wapinzani tumejifunza nini kwenye chaguzi zilizopita? na tuko tayari kubadilika na kuwakomboa maelfu ya watanzania wanaoibiwa rasilimali zao kila siku na viongozi wa CCM?

-Wembe
 
Bubu: Hapo sina cha kuongeza zaidi ya kuyameza maneno yako kwa uchungu na furaha. Niseme tu kuwa yes, wapinzani pia tumewa-let down wapenda mabadiliko kama ambavyo wao wametu-let down kwa kutaka kushiriki mafanikio pekee na sio struggle. Natamani watu washiriki kuimarisha upinzani badala ya kusubiri upinzani uimarike ndipo wajiunge.

Kitila badala ya kusubiri upinzani uimarike ndio maana Watanzania wanatoa mawazo yao ili yafanyiwe kazi, huko ni kushiriki katika kuhakikisha upinzani unaimarika kwa manufaa ya nchi yetu.
 
Bubu: Hapo sina cha kuongeza zaidi ya kuyameza maneno yako kwa uchungu na furaha. Niseme tu kuwa yes, wapinzani pia tumewa-let down wapenda mabadiliko kama ambavyo wao wametu-let down kwa kutaka kushiriki mafanikio pekee na sio struggle. Natamani watu washiriki kuimarisha upinzani badala ya kusubiri upinzani uimarike ndipo wajiunge.

Kitila:
This is why I think you stand for something important in our political disposition.

Please, place your focus on deficiences present in the current opposition political parties, and ways of rectifying them; rather than the blame game on waTanzania not tossing CCM.

For one, wapinzani have to do away with the law or regulation that prevents them from forming coalitions for the purpose of winning elections. They need to look at all the impending laws working against their interests, and get rid of those through constitutional reform.

Unfortunately, time is running out pretty fast for 2010.

Kitila and Company, please do the needful first; you will succeed eventually.
 
Wakuu mawazo mazuri sana, naomba niwakumbushe! mnakumbuka ilivyokuwa mbinde kumtoa Mrema NCCR pale raskazone hotel, je angelikuwa ikulu sihaya ya majirani yangetufika mapema? malaah nirahisi kumtoa kibaki ikulu kuliko mrema.
 
ukitaka kujua kuwa upinzani si wa kuaminika angalia vp vyama vyao wanavyoviendesha, mpe nchi tuuwane kumtoa ikulu
 
Somo nililojifunza kutoka Kenya.

Tukiunda umoja wa vyama vya upinzani mgombea ni lazima awe ni mtu ambaye hajawahi kushika wadhifa wa uwaziri au cheo cha juu zaidi katika serikali ya SISIEMU.

Hii itazuia mtu huyo kuolewa ndoa ya mkeka na Mafisadi wa SISIEMU mara akiwa Rais, kama Kibaki alivyoolewa na akina Moi na kuishia kujitangaza mshindi.
 
Wakuu mawazo mazuri sana, naomba niwakumbushe! mnakumbuka ilivyokuwa mbinde kumtoa Mrema NCCR pale raskazone hotel, je angelikuwa ikulu sihaya ya majirani yangetufika mapema? malaah nirahisi kumtoa kibaki ikulu kuliko mrema.


Ingekuwa ccm wamefanikiwa kumtoa Kingunge na Malecela na wazee wengine ningekubaliana na assessment yako. Huu mchezo unaonekana uko sana ccm kuliko upinzani. Waanzilishi wengi wa chadema kina mtei na makani wako pembeni sasa hivi baada ya miaka 15, je ccm inachukua miaka mingapi kuwatoa?

Tusiwe wanafiki katika hili, ccm kuna watu huwezi kuwatoa huko hata damu inamwagika. mrema alitoka mccr, je kingunge nani wa kumtoa??
 
Wembe, Babu & Kalamu: I understand your concern, very genuine one indeed. Bila kuunganisha nguvu hatuwezi kwenda popote. Uzoefu katika nchi zingine unatuonyesha kuwa upinzani ulifanikiwa tu pale ambapo waliweza kuunganisha nguvu. Kwa hiyo tuendelee kuwashinikiza viongozi wa vyama vya upinzani waliona hili kama ni jambo la muhimu na la haraka sana. Thanks for good ideas.
 
ukitaka kujua kuwa upinzani si wa kuaminika angalia vp vyama vyao wanavyoviendesha, mpe nchi tuuwane kumtoa ikulu

Mkuu wa pwani hapa unakuwa unfair.

Je anayetawala huko zanzibar ni upinzani? Mbona imekuwa kazi sana kuitoa ccm huko? je wanaokufa huko zanzibar si watanzania? je ni upinzani ndio wanatawala kwa damu huko zanzibar?

Haya ya kusema kuwa mpemba hawezi kutawala zanzibar au zile kampeni chafu alizotumia Kikwete dhidi ya salim kuwa Mhizib hawezi kutawala Tanzania yana tofauti gani na wanayosema wakikuyu huko kenya kuwa mjaluo hawezi kuwa rais wa kenya?

Tanzania naona ccm ndio kuna kazi kubwa kuitoa kuliko hata upinzani. Wa kwanza kulaumiwa hapa inabidi awe ccm na utawala wa mabavu huko pemba! na sio otherwise
 
Wembe, Babu & Kalamu: I understand your concern, very genuine one indeed. Bila kuunganisha nguvu hatuwezi kwenda popote. Uzoefu katika nchi zingine unatuonyesha kuwa upinzani ulifanikiwa tu pale ambapo waliweza kuunganisha nguvu. Kwa hiyo tuendelee kuwashinikiza viongozi wa vyama vya upinzani waliona hili kama ni jambo la muhimu na la haraka sana. Thanks for good ideas.

Ahsante sana Kitila, ndio maana mimi nafurahi sana kuona wewe na Zitto mko hapa kushiriki katika mijadala mbali mbali. Ushauri unaotolewa hapa mnaweza kabisa kuuchukua na kuufanyia kazi kwa haraka ili kuiepusha Tanzania na uongozi mbovu wa CCM. Upinzani ukionyesha kwamba uko tayari kuweka ubinafsi pembeni ili kuungana na kuunda chama kimoja chenye nguvu itakuwa ni hatua kubwa sana ya kuhakikisha CCM inaondolewa madarakani na Watanzania wengi watawaunga mkono kwa uamuzi huo. Msisubiri mpaka 2010 ili kuanza kuliongelea hili la kuungana.
 
Jambo jingine muhimu ni sisi tujiitao wasomi kuchukua hatua ya kujiunga na vyama.
Kujiunga ni hatua moja muhimu sana kuelekea kupambana na Ufisadi wa SISIEMU.
Si vema kuendelea kudhani wale walo unda vyama na wanoviendesha sasa hivi ndo pekee wa kuleta mabadiriko.

Mwezi July natarajia kurudi Tanzania kwa mwezi mmoja hivi wa likizo. Kwangu huo utakuwa ni wakati mwafaka kujiunga na CHADEMA.

Kwa hiyo Zitto na Mnyika tegemeeni kuiona sura ya MADELA WA- MADILU kwa mara ya kwanza na utamburisho wake halisi.
 
Jamani ningeshauri tufocus kwenye upinzani kwa kuwa tukiwa na upinzani mzuri siyo tu kuwa tutawasadia wananchi bali pia tutaitia adabu CCM na sera zake bungeni.

Halafu nafikiri umefika wakati kwa wenyeviti wa upinzani ambao wameshagombea uraisi kama mara mbili kuwaachia damu mpya.Na pendekezo langu kwa hili ni kuwa hawa wenyeviti waunde kitu kama kamati ya wazee wa upinzani na hii itajumuisha watu kama akina mzee Mrema,Seif,Lipumba na wazee wengine kama Mtei,Makani na wengineo na kazi yao kubwa iwe kutoa ushauri kwa kambi ya upinzani.
Naomba tu kuwasilisha maoni....

-Wembe
 
mzee ngombale kura hazikutosha kuingia nec na akakubali kiungwana, lakini mrema kumtoa raskazoni hotel ilikuwa shughuli baba. kama mnabisha waambieni mrema, mzee ndesamburo, sharif wapumzike sasa. utasikia majibu yao.
 
1. Wasi2 wangu tu kama kama anavyosema MADELA WA MADILU- nasi tusije kuwa mafisadi endapo upinzani utachukua dola- mifano hii ipo Zambia, Malawi na hata Kenya- ufisadi uliongezeka baada ya upinzani kuchukua dola!

2. Kitila- update us on plans za upinzania Tz kuwa na chama kimoja- na kuwa na milestones/roadmap! sasa tuna 3 years only- na mambo ya zima moto sii maandalizi mazuri!

3. Pia ingekuwa vema kama kujua watu wenye nia kugombea hapa JF- na mikakati kutafuta pesa za campaign ziaze sasa- saving inabidi iwe imeanza au ianze sasa!

4. We must learn to take risks- and devise tactics za kushinda!
 
Back
Top Bottom