Kenya Election 2007: Outcomes

Kenya Election 2007: Outcomes

Kuna namna moja tu ya kuijua siasa na kujenga uzoefu wa kisiasa.

Kuijua siasa na kupata uzoefu wa kisiasa ni kuweka Woga,Hofu na Haya pembeni na kujiunga rasmi na mojawapo ya vyama vya kisiasa na kushiriki kikamilifu safu za uongozi.

Sivyo, tutaendelea kuongozwa na Mabwege hawa kisha baadaye warithiwe na Watoto wao kana kwamba bongo zetu zimejaa pumba.
 
Labda ECK wataikoa Kenya: Mimi bado naamini hili linawezekana maana hata judges sasa wanaona nchi iko hatarini na wanaweza kutoa uamuzi ambao ni tofauti na uamuzi ambao wangetoa laiti kusingelikuwa na vurugu.

ECK could go to court soon

Story by DAVID OKWEMBAH
Publication Date: 1/6/2008
The Electoral Commission of Kenya may go to court this week to have an independent audit of the December 27 presidential ballots set up, the Sunday Nation has learnt.

Samuel Kivuitu, the chairman of the Electoral Commission of Kenya, addresses a press conference in his office in Nairobi. Photo/STEPHEN MUDIARI.
An official of the beleaguered elections body confirmed that some of the 22 commissioners had agreed to seek the intervention of the High Court in setting up a team to carry out an audit of the presidential elections whose results has triggered violence, resulting into death and destruction of property.

Last Monday, four of the ECK commissioners called a press conference at which they suggested that a way be found to set up an independent audit of the presidential votes to determine who between President Kibaki and ODM leader Raila Odinga won the election.

Disputed polls

However, none of the parties in the disputed poll has taken up the matter, leaving ECK to try and salvage whatever good it can from a general elections judged by a majority of the observers as flawed.

The move comes amid fears that some of the commissioners had contemplated quitting following pressure from members of their various communities.

At least two of the commissioners had their houses in their rural areas razed after last Sunday’s release of the presidential election results and the swearing-in of President Kibaki.

The decision to go to court, if implemented, would open another front to the already raging dispute between Mr Odinga’s ODM and President Kibaki’s Party of National Unity.

But an assistant minister for foreign affairs and MP-elect for Sirisia Mr Moses Wetangula wondered how the ECK could originate such a motion on its own yet it is not one of the aggrieved parties.

“Once the ECK named the winner and losers in the poll they became functus officio(no longer seized of the matter). Their business was done”, the assistant minister who is also a lawyer added.

The Commission can only be enjoined in a suit filed by one of the aggrieved parties or appear as a witness, he said.

ODM is on record as having said that it was no longer interested in the re-tallying of the presidential votes claiming that key documents may have already been “doctored”.

The Law Society of Kenya last week said it would go to court this week to have the presidential poll probed by an independent body.

One of the 22 commissioners who spoke to the Sunday Nation on condition of anonymity said their petition will hinge on sections 84 and 123(8) of the Constitution.

According to Section 84 of the constitution, any Kenyan who feels that their fundamental rights have been violated can go to the High Court to seek redress.

The fundamental rights include liberty and security of persons, freedom of association, expression and the right to live and work anywhere in the country.

And section 123(8) empowers the courts to hear any matter brought before it as long as it does not contravene the country’s supreme law.

While the ECK may not have jurisdiction to originate a motion to have its own conduct examined, the elections body has found itself in an awkward situation where neither the loser nor the winner wants to go to court.

It also risks becoming irrelevant following a disastrous performance and conflicting information from its chairman, Mr Samuel Mutua Kivuitu.

The move by the ECK commissioners follows the rejection of the presidential elections polls results announced by the Mr Kivuitu last Sunday in which he named the incumbent President Mwai Kibaki as the winner.

Serious challenger

Mr Odinga, the President’s most serious challenger, has however contested the results saying he was robbed of victory. But he has refused to go to court maintaining that they are not independent.

Already the ECK is consulting South African and Ugandan poll officials on how to get out of the fix.

South African elections officials were expected in the country last Thursday on the same flight as the Nobel Peace Prize laureate Archbishop Desmond Tutu.

Also to be consulted by the ECK are judges from South Africa and Uganda who were expected to arrive in Nairobi this weekend. The judges failed to get flight connections to Nairobi due to the heavy travel during the Christmas and New year festivities.

A long-serving ECK commissioner Mr Jack Tumwa said none of the delegations from South Africa and Uganda had arrived in the country by Friday evening.

Mr Tumwa was one of the four commissioners who held a Press conference last week suggesting that a way be found to set up an independent audit team for the presidential ballots.

Sources at ECK headquarters informed the Sunday Nation that an observer mission from South Africa-The Election Institute of South Africa-had offered their proposal on the way out of the rigmarole that has become of the Kenyan election.
 
Mtanzania,
Ni wazo zuri sana, lakini nina mashaka sana na jinsi Kibaki na watu wake watakavyolipokea hilo. Unadhani ni kwanini Kibaki amegoma kuwa na msuluhishi wa kimataifa? Ninahisi (sina uhakika) hata hao majaji na maofisa wa tume za uchaguzi za Afrika ya Kusini na Uganda wanaweza wakatolewa baruti. Kwanini iwe ngumu sana kwa waganda kuingia Kenya au kwanini Askofu Tutu apate flight halafu hao wengine kutoka Afrika ya Kusini wakose? Hapo bado ninaona kuna mkono wa serikali ya Kibaki.

Ngoja tusubiri tuone mwisho wa hii kasheshe ni nini au tuone next move ya ECK.
 
May I respond to some people collectively..

Hivi unakumbuka kilichotokea kwenye uchaguzi wa Marekani mwaka 2000 ambapo George Bush alitangazwa Mshindi? Unakumbuka yaliyotokea Florida ya "hanging chad" na wadogo zake. Unajua jinsi gani Supreme Court ya Florida ilivyojaribu "kisheria" kumpa ushindi Gore ambapo baadaye wakawa thwarted na US Supreme Court ambayo nayo ikimpa ushindi George Bush. Unakumbuka Jaji Mkuu Rehnquist baadaye alijuta kwa Mahakama yake kuchukua kesi hiyo?

Unajua ni kwa kiasi gani Democrats walijihisi kuwa wameibiwa uchaguzi na kuna baadhi hadi leo hawatambua ushindi wa Bush wa mwaka ule? Unajua kuna watu waliangusha machozi siku ile na wengine kushindwa hata kula kutokana na kitendo cha "injustice" walichofanyiwa (au kuhisi kufanyiwa).. ?

Je ulisikia wameanza kukata mapanga na kuchomeana nyumba, magari, n.k ? Inawezekana kwa sababu wao ni "wazungu" na "wamarekani" mambo ya kuchinjana hayawezi kutokea.. au labda wenzetu wana "moral superioriy" ambayo inawafanya kujizua kufanya mambo ya kinyama kama hayo kwa sababu za kisiasa. Unajua hata Marekani pamoja na Demokrasia yao yote hawawezi kuandamna kirahisi rahisi na ni upotoshaji mkubwa wa demokrasia kudai kuwa watu wakitaka kuandamana basi waandamane tu hata kama Polisi wanawakatilia.

Hakuna taifa duniani linaloweza kuruhusu hivyo. Hata hivyo, haki ya wananchi kuonesha manung'uniko yao dhidi ya serikali yao haiwezi kuondolewa na chombo chochote kile, kwani haki ya kutawala inatoka na kubakia na watu wenyewe. Kama Wakenya wanaamini kuwa Kibai siyo rahisi halali na ni rahisi wa "bandia" kama kijana mmoja wa Chuo Kikuu alivyomwita leo, basi wanayo haki ya kuandamana hadi Ikulu na kumfukuza! Hayo yalitokea Ukraine na Georgia! Hiyo ni haki ya wananchi wa Kenya.

Sasa, kuna baadhi ya watu wanataka tuamini japo kwa mbali kuwa masuala ya mauaji hayana hisia za ukabila na ni suala la upigaji kura na uhesabuji kura. Watu hawa wanataka tuamini kuwa machafuko ya kisiasa Kenya yametokea kwenye hali tupu (vacuum); kwamba hayana historia na hayana chanzo kingine. Watu hawa wanataka tufumbe macho na tusiangalie vikolombwezo vya ukabila ambavyo vimetokea kabla ya kupiga kura, siku ya kupiga kura na baadaye baada ya kupiga kura. Watu hawa hawawatendei haki watu wa Kenya.

Machafuko haya ya kisiasa hayakutokea hewani. Kama vile machafuko ya Rwanda miaka karibu 18 huko nyuma machafuko ya Kenya yanachanzo. HIsia ya ukabila nchini Kenya ni ya zamani kama historia ya nchi hiyo. Kuna makundi ya watu ambao wanaamini tena kwa viapo kuwa Wakikuyu ni kabila lililopendelea na kujipendelea mno tangu utawala wa Mzee Kenyatta na baadaye Moi. Watu hawa wanaamini kabisa kuwa Wakikuyu walipata nafasi nyingi na kulindwa kwa kiwango kikubwa na KANU na viongozi wa juu wa nchi hiyo na matokeo yake ni resentment toward the Kikuyu.

Kwa wale ambao tumewahi kuishi Kenya au kutembelea pale mgawanyiko huu wa hisia za kikabila umejikita sana kwenye jamii ya Kenya. Kuna mahali mtu huwezi kwenda na Mkikuyu kwa sababu atasema "ni kwa Mluo" na wakati mwingine huwezi kwenda na mwenyeji wako Mluo kwenye joint ya Wakikuyu kwa sababu ni "ya Wakikuyu". Wenyewe wa Kenya labda wamezoea hilo kama "hali halisi".

Hisia hizi za manung'uniko, kufanywa duni, na kwa namna fulani kujiona bora zaidi (upande wa wa Kikuyu) zimedumu kwa muda mrefu na zimekuwa zikitafuta mahali pa kutokea.

Uchaguzi huu uliopita ilikuwa ni nafasi muafaka ya mgawanyo huu kuchorwa ardhini moja kwa moja au kuvunjwa moja kwa moja. Kibaki na wale waliomuunga mkono waliendelea kuonesha hisia ya "ubora wa Wakikuyu". Ingawa maneno mengi yametolewa kama maneno ya kisiasa lakini kauli zao kampeni zilikuwa zimejaa sentiments hizi sana. Raila na upande wake walikuwa wanajiandaa kuvunja dominance ya Wakikuyu katika serikali ya Kenya kwa kutumia sanduku la Kura.

Wakati ameenda kupiga kura Raila alishindwa kutokana na matatizo fulani ya kiutendaji. Kwa haraka akaenda kwenye vyombo vya habari na kudai "ukabila"! kuwa kuna jaribio la kuwafanya watu wa makabila fulani wasipige kura. Baada ya kura kupigwa na matokeo kuanza kucheleweshwa hisia za kuchezea kura zilianza kila pande ikihisi mwenzie anafanya mchezo mchafu.

Kosa kubwa ni kitendo cha Tume ya Uchaguzi ya Kenya kuendelea na kutangaza matokeo wakati wakiona taratibu zinakiukwa. Na kosa kubwa ambalo limeonesha udhaifu mkubwa wa Kivuitu ni kumtangaza Kibaki Rais na hivyo kuharakisha kuapishwa kwake. Kitendo hicho hakikusaidia fukuto la hasira ambalo lilikuwa limeanza kuingia nchini Kenya.

Kitendo cha Jeshi, Mahakama na Polisi kumtambua mara moja Rais Kibaki (kwa ushahidi wa uwepo wao kwenye kuapishwa) kilikuwa ni kile ambacho kinaitwa "ufito wa mwisho uliovunja mgongo wa ngamia". Watu wa Kenya hasa vijana waliona kuwa "wameibiwa" haki yao. Na hapa ndipo makosa ya Raila yalipojitokeza.

Raila alikuwa anajua passion ya watu kwenye uchaguzi huu. Uamuzi wake wa mwanzo wa kusema na yeye ataanda "kutawazwa" kwa "Rais wa Watu" ilikuwa ni kumwagilia mafuta kwenye moto wa hasira. Watu wenye sababu zao wakaona kuwa Raila lazime apewe Urais wake. Kina nani basi walimpigia kura Kibaki? BIla ya shaka Wakikuyu wenzake wengi na wale ambao bila ya shaka walinufaika na utawala wa Kibaki.

Ndipo mauaji yakaanza. Kilele cha mauaji haya ni kitendo cha kihalifu kwenye Kanisa la Pentekoste kule Eldoret ambapo watu zaidi ya 30 wa kabila la Kikuyu waliojaribu kuokoa maisha yao walipojikuta wanatiwa "kiberiti" kwa sababu ambazo wahalifu hao wanazijua. Tuliobahatika kuangalia TV unaweza kukumbuka jinsi kijana mmoja wa Kikikuyu alivyocharangwa mapanga hadi kifo akitembea mtaani kule Kibera. Matokeo yake ni kuanza kuona watu wakitembea na mabango yakitangaza "No Raila no Peace".

Raila, hakukemea hayo yote na hakujitokeza kuyakana na kutoyahusisha na kampeni yake. Jibu lake standard lilikuwa "wananchi wanatekeleza haki yao ya kidemokrasia ya maandamano ya amani". He ignored the plight of the Kikuyu people and other people who were caught in the crossfire of mapangas! He justified that by saying "the security forces are assassinating" hawa wananchi wanaotaka haki yao. Kwa maneno mengine, kama polisi wanaua wananchi kwanini na sisi tuzuie wananchi kuuawa.

Raila didnot step up to the plate and lead the nation to calm but by his mediocre actions he fanned the flame of anger and hatred.

Kuna watu wanataka tuamini kuwa Raila hakuwa na uwezo wa kutuliza passion ya watu wake. Kama vile Kibaki anavyowajibika na kitendo cha uharibu na wizi mkubwa wa kura ambao umesababisha mamia ya watu kuuawa na Raila naye anahusika moja kwa moja kwa ukimya wake katika mateso yaliyowapata watu wa Kenya. For this he is as culpable as anyone and from where I stand, he failed his nation, he failed his people.

As people demand that President Kibaki resign (and rightly so), Raila should not be given a blank check. It'll be another tragedy if the people of Kenya would overlook the actions of Raila and reward him with the presidency. He do not deserve it.

Hapa ndipo suala la maandamano ya Tanzania linapokuja. Wapinzani wa Tanzania walitaka kujitokeza kumuunga mkono Raila regardless of his actions and his inactions during this crisis. It was a wrong move and inappropriate at the time.

Kwangu mimi mauaji ya watu zaidi ya 300 yameniuma zaidi kuliko malumbano ya watu hawa wawili. The 300 or so Kenyans who died during this upheaval died unnecessarily. These were not heroes; The did not die in the quest for freedom or justice! They died because some political bigwigs in Kenya wanted to take advantage of the situation. Raila could show that Kibaki's government is responsible while Kibaki and his team could point to the situation and cry "ethnic cleansing and genocide".

Vifo vya watu hawa 300 huko Kenya still remains as the saddest part of this whole story. They did not have to die. Those children in Eldoret who thought that running ilikuwa ni kitu cha kuokoa maisha yao hakuna anayeweza kuwatabiria "ushahidi"!

Hofu yangu ya Tanzania hasa wapinzani wa Tanzania kuchukua uamuzi wa haraka wa kumtetea Raila ni kupandikiza mbegu za chuki zaidi. Leo hii kikundi cha "Mungiki" kikiwa kimejificha mahali na kuanza kupanga revenge.. Afrika ya Mashariki tujiandae. Nakumbuka vizuri Interahamwe walipanga mauaji ya kimbari kule Rwanda na jinsi walivyoamka usiku mmoja na kufanya "chinja chinja". Leo hii Mungiki wameshasambaza vikaratasi kutishia maisha ya Waluo..! Are we really ready for this?

Binafsi naamini kabisa kuwa wapinzania wangeweza kuandamana kama vile vijana wa vyuo vyetu vikuu walivyopanga kuandamana tarehe 12 (sijui kama wanajua ni siku ya Mapinduzi hiyo au wamesahau). Wao wanataka kuandamana kupinga uvunjaji wa haki za binadamu na umwagaji damu usio na sababu uliotokea Kenya. Wapinzani wangeaandaa maandamano kuishia Jangwani ambapo wangekemea uvunjwaji haki, kuikemea tume ya uchaguzi na kuwapigia kelele Kibaki na Raila na kuwataka wakae chini na kutafuta muafaka utakaowafaa watu wa Kenya.

Hata hivyo hilo lingekuwa gumu, kwani kwao Raila ni shujaa! Lakini ana ushujaa gani Raila kwenye hili? Wakati akitangaza maandamano amekuwa kama mtani wetu Seif ambaye wenzie wanaandamana yeye amejificha pembeni! Kama Raila kweli anataka kuandamana aache kuita watu wengine au yeye na viongozi wengine wawe mstari wa mbele kama walivyofanya mapema leo kina Balala kule Mombasa.

Kama Raila anataka kuonesha mfano wa kuandamana yeye awe wa kwanza kumwagiwa maji na kupigwa mabomu ya machozi, na asirudi nyuma! Asonge mbele kuelekea Uhuru Park. Kama Raila anataka kuonesha mfano asiwachombeze vijana wa Kenya ambao wanamhusudu waende na kupatwa kibano cha Polisi wakati yeye anakimbilia kwenye vyombo vya habari kuahirisha maandamano hadi "siku nyingine". Atajipatia umaarufu mkubwa na huruma kutoka kwa watu kama watamuona Raila kama Mrema kule Tanga anapigwa mabomu na kumwagiwa maji na vikosi vya Polisi akidai haki yake!

For me, siyo Raila wala Kibaki wanaostahili kukalia kiti cha Ikulu ya Kenya kwani wote wana damu mikononi mwao! Damu ambayo inalia na kuita Kenya, iponywe!
 
Kenya chaos hits Uganda economy
By Abraham Odeke
BBC News Online
Malaba, eastern Uganda

In the Ugandan town of Malaba, not even the sex trade has escaped the shockwaves from the political violence just over the border in Kenya.

Bicycle taxis are operating across the border, but not the buses
"We have lost our customers to these Kenyan girls who have decided to reduce the sex charges," says Claire, who operates a brothel near Dombolo Executive pub.

"Until they return to Kenya we shall continue incurring heavy losses. Every man has focused their attention on the cheaper Kenyans."

In the few days since violence broke out, more than 1,000 Kenyans have fled across the border into Uganda: many of them members of the Kikuyu ethnic group who have fled attacks by opposition supporters who see them as government sympathisers.

About 800 Kenyans are camped inside the St Jude Catholic Church Primary School in the northern area of Malaba town, which has been brought into service as reception centre. Another 500 have occupied the lodgings and the hotels triggering acute shortage of cheap accommodation in the border town.

Margaret says neighbours turned against her after the election

"Our own immediate neighbours and friends turned against us, as if we were the real Mwai Kibaki (Kenyan President), whom they accuse of rigging the elections," says Margaret, who used to operate a booming electronics shop near the Railway Bridge, on the Malaba-Busia Road before she run into Uganda carrying only her one-year-old baby.

"I actually can't imagine that I am now in this unfamiliar village endowed with mosquitoes," says Margaret, who is now among the volunteer cooks preparing porridge and other meals for the children at the noisy St Jude School reception centre.

'Economically finished'

Jeremy Kamau and his wife Agnes, also at St Jude School, regret that all the wealth they amassed after several years of hard work just vanished in a split second.

I saw some police officers who fired at the heavy padlocks on our shop doors to offer the looters access to the buildings

Paul Murunga, refugee

"We are economically finished. Everything has been turned upside down. I do not know the devil which made me buy the piece of land on which we live in western Kenya."

Mrs Kamau says hundreds of youths chanting the pro-Orange Democratic Movement slogans first raided her supermarket in the centre of Malaba town early in the morning and carried away everything.

The same people stormed her farm and rustled all the cows, the pigs and the chickens.

Nearly all the refugees I spoke to accused the Kenya police at Malaba of providing "extra protection" to the violent youths as they ransacked the supermarkets, the pharmacies and the hardware shops.

"I saw some police officers who fired at the heavy padlocks on our shop doors to offer the looters access to the buildings," Paul Murunga said.

"We need an investigation into the biased behaviour of some of the Kenya policemen on the streets of Malaba town," he added.

The Ugandan government, which has congratulated President Mwai Kibaki for winning the contested elections, has tightened security around the reception camps and along the River Malaba which forms the natural boundary between Uganda and Kenya.

Trade shutdown

Meanwhile, cross-border trade has almost halted. Before the chaos in Kenya there was a steady flow of cargo trucks and the long-distance buses that crossed the border.

Trains have been halted at the border

Now the border posts are quiet, and all you can see are the boda-boda (bicycle taxi) operators ferrying passengers to and from the border.

John Ozo, a customs clearing agent in Malaba, is disappointed that the political crisis in Kenya has triggered poverty and near starvation among the people who earn their living by clearing the cargo trucks on behalf of the Uganda revenue Authority and the Kenya Revenue authority.

At the station on the Kenyan side of the border, locomotives are standing still with wagons loaded with foodstuffs for the World Food Programme, and the fuel badly needed by landlocked Kampala.

Apart from the motorists who have been hit by the fuel shortages, the majority of the ordinary villagers in eastern Uganda can no longer find kerosene for lighting their candles and other basic essentials they used to fetch cheaply from across the border in Kenya.

The officials of the Rift Valley Railways (RVR) which operates the Nairobi-Kampala trains said they were optimistic that all the stranded cargo destined for Kampala would cross into Uganda by the end of the week, following an assurance by the senior security at the border that they would escort the trains into Uganda.

Equally affected are the money changers dealing in dollars and the east African currencies.

There is decreased demand for the currencies, especially Kenyan shillings, because all the shops and the petrol stations where the Ugandans used to ferry huge volumes of essential commodities and fuel in Kenya have remained closed.

May I respond to some people collectively..

Hivi unakumbuka kilichotokea kwenye uchaguzi wa Marekani mwaka 2000 ambapo George Bush alitangazwa Mshindi? Unakumbuka yaliyotokea Florida ya "hanging chad" na wadogo zake. Unajua jinsi gani Supreme Court ya Florida ilivyojaribu "kisheria" kumpa ushindi Gore ambapo baadaye wakawa thwarted na US Supreme Court ambayo nayo ikimpa ushindi George Bush. Unakumbuka Jaji Mkuu Rehnquist baadaye alijuta kwa Mahakama yake kuchukua kesi hiyo?

Unajua ni kwa kiasi gani Democrats walijihisi kuwa wameibiwa uchaguzi na kuna baadhi hadi leo hawatambua ushindi wa Bush wa mwaka ule? Unajua kuna watu waliangusha machozi siku ile na wengine kushindwa hata kula kutokana na kitendo cha "injustice" walichofanyiwa (au kuhisi kufanyiwa).. ?

Je ulisikia wameanza kukata mapanga na kuchomeana nyumba, magari, n.k ? Inawezekana kwa sababu wao ni "wazungu" na "wamarekani" mambo ya kuchinjana hayawezi kutokea.. au labda wenzetu wana "moral superioriy" ambayo inawafanya kujizua kufanya mambo ya kinyama kama hayo kwa sababu za kisiasa. Unajua hata Marekani pamoja na Demokrasia yao yote hawawezi kuandamna kirahisi rahisi na ni upotoshaji mkubwa wa demokrasia kudai kuwa watu wakitaka kuandamana basi waandamane tu hata kama Polisi wanawakatilia.

Hakuna taifa duniani linaloweza kuruhusu hivyo. Hata hivyo, haki ya wananchi kuonesha manung'uniko yao dhidi ya serikali yao haiwezi kuondolewa na chombo chochote kile, kwani haki ya kutawala inatoka na kubakia na watu wenyewe. Kama Wakenya wanaamini kuwa Kibai siyo rahisi halali na ni rahisi wa "bandia" kama kijana mmoja wa Chuo Kikuu alivyomwita leo, basi wanayo haki ya kuandamana hadi Ikulu na kumfukuza! Hayo yalitokea Ukraine na Georgia! Hiyo ni haki ya wananchi wa Kenya.

Sasa, kuna baadhi ya watu wanataka tuamini japo kwa mbali kuwa masuala ya mauaji hayana hisia za ukabila na ni suala la upigaji kura na uhesabuji kura. Watu hawa wanataka tuamini kuwa machafuko ya kisiasa Kenya yametokea kwenye hali tupu (vacuum); kwamba hayana historia na hayana chanzo kingine. Watu hawa wanataka tufumbe macho na tusiangalie vikolombwezo vya ukabila ambavyo vimetokea kabla ya kupiga kura, siku ya kupiga kura na baadaye baada ya kupiga kura. Watu hawa hawawatendei haki watu wa Kenya.

Machafuko haya ya kisiasa hayakutokea hewani. Kama vile machafuko ya Rwanda miaka karibu 18 huko nyuma machafuko ya Kenya yanachanzo. HIsia ya ukabila nchini Kenya ni ya zamani kama historia ya nchi hiyo. Kuna makundi ya watu ambao wanaamini tena kwa viapo kuwa Wakikuyu ni kabila lililopendelea na kujipendelea mno tangu utawala wa Mzee Kenyatta na baadaye Moi. Watu hawa wanaamini kabisa kuwa Wakikuyu walipata nafasi nyingi na kulindwa kwa kiwango kikubwa na KANU na viongozi wa juu wa nchi hiyo na matokeo yake ni resentment toward the Kikuyu.

Kwa wale ambao tumewahi kuishi Kenya au kutembelea pale mgawanyiko huu wa hisia za kikabila umejikita sana kwenye jamii ya Kenya. Kuna mahali mtu huwezi kwenda na Mkikuyu kwa sababu atasema "ni kwa Mluo" na wakati mwingine huwezi kwenda na mwenyeji wako Mluo kwenye joint ya Wakikuyu kwa sababu ni "ya Wakikuyu". Wenyewe wa Kenya labda wamezoea hilo kama "hali halisi".

Hisia hizi za manung'uniko, kufanywa duni, na kwa namna fulani kujiona bora zaidi (upande wa wa Kikuyu) zimedumu kwa muda mrefu na zimekuwa zikitafuta mahali pa kutokea.

Uchaguzi huu uliopita ilikuwa ni nafasi muafaka ya mgawanyo huu kuchorwa ardhini moja kwa moja au kuvunjwa moja kwa moja. Kibaki na wale waliomuunga mkono waliendelea kuonesha hisia ya "ubora wa Wakikuyu". Ingawa maneno mengi yametolewa kama maneno ya kisiasa lakini kauli zao kampeni zilikuwa zimejaa sentiments hizi sana. Raila na upande wake walikuwa wanajiandaa kuvunja dominance ya Wakikuyu katika serikali ya Kenya kwa kutumia sanduku la Kura.

Wakati ameenda kupiga kura Raila alishindwa kutokana na matatizo fulani ya kiutendaji. Kwa haraka akaenda kwenye vyombo vya habari na kudai "ukabila"! kuwa kuna jaribio la kuwafanya watu wa makabila fulani wasipige kura. Baada ya kura kupigwa na matokeo kuanza kucheleweshwa hisia za kuchezea kura zilianza kila pande ikihisi mwenzie anafanya mchezo mchafu.

Kosa kubwa ni kitendo cha Tume ya Uchaguzi ya Kenya kuendelea na kutangaza matokeo wakati wakiona taratibu zinakiukwa. Na kosa kubwa ambalo limeonesha udhaifu mkubwa wa Kivuitu ni kumtangaza Kibaki Rais na hivyo kuharakisha kuapishwa kwake. Kitendo hicho hakikusaidia fukuto la hasira ambalo lilikuwa limeanza kuingia nchini Kenya.

Kitendo cha Jeshi, Mahakama na Polisi kumtambua mara moja Rais Kibaki (kwa ushahidi wa uwepo wao kwenye kuapishwa) kilikuwa ni kile ambacho kinaitwa "ufito wa mwisho uliovunja mgongo wa ngamia". Watu wa Kenya hasa vijana waliona kuwa "wameibiwa" haki yao. Na hapa ndipo makosa ya Raila yalipojitokeza.

Raila alikuwa anajua passion ya watu kwenye uchaguzi huu. Uamuzi wake wa mwanzo wa kusema na yeye ataanda "kutawazwa" kwa "Rais wa Watu" ilikuwa ni kumwagilia mafuta kwenye moto wa hasira. Watu wenye sababu zao wakaona kuwa Raila lazime apewe Urais wake. Kina nani basi walimpigia kura Kibaki? BIla ya shaka Wakikuyu wenzake wengi na wale ambao bila ya shaka walinufaika na utawala wa Kibaki.

Ndipo mauaji yakaanza. Kilele cha mauaji haya ni kitendo cha kihalifu kwenye Kanisa la Pentekoste kule Eldoret ambapo watu zaidi ya 30 wa kabila la Kikuyu waliojaribu kuokoa maisha yao walipojikuta wanatiwa "kiberiti" kwa sababu ambazo wahalifu hao wanazijua. Tuliobahatika kuangalia TV unaweza kukumbuka jinsi kijana mmoja wa Kikikuyu alivyocharangwa mapanga hadi kifo akitembea mtaani kule Kibera. Matokeo yake ni kuanza kuona watu wakitembea na mabango yakitangaza "No Raila no Peace".

Raila, hakukemea hayo yote na hakujitokeza kuyakana na kutoyahusisha na kampeni yake. Jibu lake standard lilikuwa "wananchi wanatekeleza haki yao ya kidemokrasia ya maandamano ya amani". He ignored the plight of the Kikuyu people and other people who were caught in the crossfire of mapangas! He justified that by saying "the security forces are assassinating" hawa wananchi wanaotaka haki yao. Kwa maneno mengine, kama polisi wanaua wananchi kwanini na sisi tuzuie wananchi kuuawa.

Raila didnot step up to the plate and lead the nation to calm but by his mediocre actions he fanned the flame of anger and hatred.

Kuna watu wanataka tuamini kuwa Raila hakuwa na uwezo wa kutuliza passion ya watu wake. Kama vile Kibaki anavyowajibika na kitendo cha uharibu na wizi mkubwa wa kura ambao umesababisha mamia ya watu kuuawa na Raila naye anahusika moja kwa moja kwa ukimya wake katika mateso yaliyowapata watu wa Kenya. For this he is as culpable as anyone and from where I stand, he failed his nation, he failed his people.

As people demand that President Kibaki resign (and rightly so), Raila should not be given a blank check. It'll be another tragedy if the people of Kenya would overlook the actions of Raila and reward him with the presidency. He do not deserve it.

Hapa ndipo suala la maandamano ya Tanzania linapokuja. Wapinzani wa Tanzania walitaka kujitokeza kumuunga mkono Raila regardless of his actions and his inactions during this crisis. It was a wrong move and inappropriate at the time.

Kwangu mimi mauaji ya watu zaidi ya 300 yameniuma zaidi kuliko malumbano ya watu hawa wawili. The 300 or so Kenyans who died during this upheaval died unnecessarily. These were not heroes; The did not die in the quest for freedom or justice! They died because some political bigwigs in Kenya wanted to take advantage of the situation. Raila could show that Kibaki's government is responsible while Kibaki and his team could point to the situation and cry "ethnic cleansing and genocide".

Vifo vya watu hawa 300 huko Kenya still remains as the saddest part of this whole story. They did not have to die. Those children in Eldoret who thought that running ilikuwa ni kitu cha kuokoa maisha yao hakuna anayeweza kuwatabiria "ushahidi"!

Hofu yangu ya Tanzania hasa wapinzani wa Tanzania kuchukua uamuzi wa haraka wa kumtetea Raila ni kupandikiza mbegu za chuki zaidi. Leo hii kikundi cha "Mungiki" kikiwa kimejificha mahali na kuanza kupanga revenge.. Afrika ya Mashariki tujiandae. Nakumbuka vizuri Interahamwe walipanga mauaji ya kimbari kule Rwanda na jinsi walivyoamka usiku mmoja na kufanya "chinja chinja". Leo hii Mungiki wameshasambaza vikaratasi kutishia maisha ya Waluo..! Are we really ready for this?

Binafsi naamini kabisa kuwa wapinzania wangeweza kuandamana kama vile vijana wa vyuo vyetu vikuu walivyopanga kuandamana tarehe 12 (sijui kama wanajua ni siku ya Mapinduzi hiyo au wamesahau). Wao wanataka kuandamana kupinga uvunjaji wa haki za binadamu na umwagaji damu usio na sababu uliotokea Kenya. Wapinzani wangeaandaa maandamano kuishia Jangwani ambapo wangekemea uvunjwaji haki, kuikemea tume ya uchaguzi na kuwapigia kelele Kibaki na Raila na kuwataka wakae chini na kutafuta muafaka utakaowafaa watu wa Kenya.

Hata hivyo hilo lingekuwa gumu, kwani kwao Raila ni shujaa! Lakini ana ushujaa gani Raila kwenye hili? Wakati akitangaza maandamano amekuwa kama mtani wetu Seif ambaye wenzie wanaandamana yeye amejificha pembeni! Kama Raila kweli anataka kuandamana aache kuita watu wengine au yeye na viongozi wengine wawe mstari wa mbele kama walivyofanya mapema leo kina Balala kule Mombasa.

Kama Raila anataka kuonesha mfano wa kuandamana yeye awe wa kwanza kumwagiwa maji na kupigwa mabomu ya machozi, na asirudi nyuma! Asonge mbele kuelekea Uhuru Park. Kama Raila anataka kuonesha mfano asiwachombeze vijana wa Kenya ambao wanamhusudu waende na kupatwa kibano cha Polisi wakati yeye anakimbilia kwenye vyombo vya habari kuahirisha maandamano hadi "siku nyingine". Atajipatia umaarufu mkubwa na huruma kutoka kwa watu kama watamuona Raila kama Mrema kule Tanga anapigwa mabomu na kumwagiwa maji na vikosi vya Polisi akidai haki yake!

For me, siyo Raila wala Kibaki wanaostahili kukalia kiti cha Ikulu ya Kenya kwani wote wana damu mikononi mwao! Damu ambayo inalia na kuita Kenya, iponywe!

Umenena, hata hivyo kuna ukweli mwingine sambamba na ukweli ulo sema.

Wazungu wamekatana mapanga kwa miaka mingi sana.

Enzi za kukatana kwao mapanga hata radio tu hazikuweko.

Walikatana mapanga Ulaya wakakimbilia Marekani huku wakakata mapanga Wahindi wekundu walipoisha wakingia kuktana wenyewe kwa wenyewe tena kwa miaka mingi mpaka kundi moja likashindwa na Amani kutangazwa na kundi lililoshinda.

Hii ni zamu yetu Afrika kutafuta suluhu na mwafaka.

Kuzaliwa na kufa kunafanana tu.
Kabla ya kuzaliwa ulikuwa wapi?
Baada ya kufa utakuwa wapi?

Duniani ni wajanja kama Nyoka na Wapole kama hua tu ndiyo watakao dumu.

Amani siku zote inaletwa na ncha ya panga na inalindwa na ncha ya Panga.

Hakuna Amani mpaka mahabithi wote wasalimu Amri.

Amani Duniani kote imepatikana kwa gharama kubwa ya kumwaga damu za mamilioni ya watu.

Kama kuna mtu anadhani amani itapatikana kwa kutangaza amani ageuke nyuma aangalie historia ya dunia.
 
Marekani ni nchi kubwa sana tena ni complex sana kiasi kuwa siyo rahisi watu kuanza kupigana wenyewe kwa wenyewe kwa ajili ya Uchaguzi. Walishakuwa na taratibu za kufuata inapotokea mgogoro hata kama ziko flawed, wanakubaliana nazo. Hata hivyo kuna nchi nyingine kadhaa za wazungu ambao wamewahi kupigana wenyewe kwa wenyewe (kwa namna moja ama nyingine) kutokana na matokeo ya uchaguzi hasa nchi za Eastern Europe.
 
All that granted, naamini kuwa jukumu la viongozi wetu ni kuhakikisha kuwa Raila na Kibaki wanakaa chini without any preconditions na kujadili mustakabali wa Taifa lao. Sidhani kama ukubwa wa Marekani unazuia wao kuuana... Pamoja na ukubwa wao wote walipopata nafasi ya kuchinjana walichinjana (civil war). Na hata miaka ya karibuni wakati wa civil right movement kuna matukio yaliyotokea ambapo wamarekani waliuana.

Sasa kwangu hiyo siyo hoja kubwa zaidi kuliko haja ya kujifunza kukaa chini na kuzungumza licha ya tofauti zetu. Mfano wa uchaguzi wa 2000 unakusudia kuonesha kuwa matokeo ya uchaguzi yanaweza kuwasha passion ya watu kwa kiasi kikubwa sana. NI wakati kama huo ndipo tunaweza kuona viongozi wametengenezwa kwa vitu gani.

Ninaangalia the senseless killing of these 300 Kenyans and I still don't see any justifiable reason why they died. Hakuna. NI kushindwa kwa uongozi wa kisiasa nchini Kenya ndiko kulikosababisha haya na to me ingawa kwa kiasi tofauti, Raila na Kibaki ni accomplices of bloodshed! Wao wawili kwa kiu yao ya madaraka na hamu yao ya kutaka kuthibitisha kuwa wao ndiyo wanastahili kushika hatamu wamesababisha by action and ommission umwagikaji mkubwa wa damu.

Je, katika ulimwengu wa leo, tuendelee kukubali na kutoa udhuru pale watu wanauana wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ya kura? Je Kenya ilikuwa katika wakati mgumu kabisa wa kiuchumi, kisiasa ambapo mazungumzo yasingekaribishwa? Kenya chini ya Kibaki haikuwa mbaya sana na pamoja na makosa ya Kibaki (kugeuka ahadi ya Katiba Mpya, kuvunja mahusiano na Raila, na kushindwa kukabili ufisadi) yote hayo bado hayahalalisha hata kidogo kwanini watu zaidi ya 30 kuchomwa moto kule Eldoret!

Labda I am too idealistic kwenye mambo haya.. can somebody please explain to me why 300 Kenyans had to die? Na kama Raila na Kibaki wangeweza kupunguza idadi hiyo..
 
For one, wapinzani have to do away with the law or regulation that prevents them from forming coalitions for the purpose of winning elections. They need to look at all the impending laws working against their interests, and get rid of those through constitutional reform.

Unfortunately, time is running out pretty fast for 2010.

Kitila and Company, please do the needful first; you will succeed eventually.

Hili sheria itakuwa imetungwa ifikapo 2010 nadhani msajili wa vyama yuko already on final stages on this,,, kwa hiyo tu-plan mengine!!!

Lakini pia tuwe realistic, so far we can only increase the number of MPs in 2010,,, tukidhani tutachukua nchi tunaweza kosa vyote wabunge wa kutosha na urais pia!!! mawazo tu!!!

Moja ya kitu kinachompa Odinga mamlaka ya kudai uchaguzi umekwibwa ni pamoja na number ya wabunge aliopata, na moja ya kitu kinachomkosesha amani Kibaki ni kuanguka kwa mawaziri wake na Uwingi wa wabunge wa ODM!!!

sasa kwa Tanzania ukishinda kwa mfano kama Kibaki,,, unatolewa kwenye kuidhinisha waziri mkuu, au kwenye bajeti ya Serikali,,, kwa kuwa hayo mawili yakikataliwa mara tatu na bunge,,, inabidi uvunje bunge na kuitisha uchaguzi upya.
 
Mwanakijiji,

Kosa lako ni kulinganisha Mambo ya West na third world. Hizo nchi ni tofauti na hata solutions za matatizo mbalimbali huwa tofauti. Hata kama
tatizo linafanana, wajuzi wanasema kuna contingecy factors ambazo muda wote zitakuwa ofauti.

Kwanza USA kuna perception kwamba mahakama ni huru na inatenda haki wakati perception ya Wakenya na nchi za Afrika ni kwamba mahakama sio huru na inapendelea watawala au inaonea wanyonge. Hiyo perception ndio tatizo kubwa la migogoro ya Afrika.

Nimewahi kuona Tanzania, kunakuwa na tatizo la mipaka, mtu unataka kusuluhisha kiungwana, lakini jamaa anakuja na panga, anataka zipigwe. Ni shauri ya perception yake kwamba hawezi kuipata haki yake kwa kuzungumza. Angalia TZ kibaka akiiba, anachomwa moto, wakati USA au West huwezi hata kumpiga kofi au ukimpga na kumvunja mguu, kila mtu atakuona wewe ndio hukuwa reasonable, why? NI kwasababu ya perception hiyo hiyo kwamba kuna vyombo vya kutosha vya kushughulikia haki yako ikiibiwa au kunyang'anywa.

Hata mataifa yaliyoendelea yamepitia vipindi hivyo, kama utasoma historia ya dunia. Ubepari ulianza kuwa mfumo wa walio nacho kuwanyonya wasio nacho na mpaka sasa umekuwa mfumo wa ufanisi kwenye uzalishaji. Ubepari wa West
na hasa Europe kwasasa inapokuja kwenye watu ni sawa tu na ujamaa wa baadhi ya nchi, yaani haki za watu kupata kipato na maisha yanayostahili vinapewa nguvu.

Sasa tukija kenya, Raila alikuwa hana nguvu ya kuzuia wafuasi wake wasiingie mitaani na kuanza kuwashambulia maadui wao. Hiyo perception tayari ilikuwepo kwamba Wakikuyu na Kibaki wataiba kura. Ni sawa na kwamba kulikuwa na mafuta kila sehemu, kilichokuwa kinasubiri ni kijiti cha moto kitupwe baada ya hapo dawa pekee ilikuwa ni vitu vyote viungue mpaka moto ukose nguvu.

Matatizo yako Mwanakijiji ndio hayo hayo tunayoyaona kwa serikali ya USA na baadhi ya serikali za West. Wanafikiri kila kitu kinachofanya kazi West basi kitafanya kazi Iraq, Afghanistan au Afrika. UK kwa muda mrefu walikuwa wanalijua hili shauri ya matatizo waliyoyapata kwenye makoloni yao. Through viongozi mbalimbali wa kwenye idara ya diplomasia, wana uzoefu wa kutosha na masuala ya third worlds na ndio maana huko nyuma walikuwa na mafanikio kwenye kutatua baadhi ya migogoro. Bahati mbaya na wenyewe miaka ya karibuni, wamekuja vijana ambao hawana uzoefu na past, walitaka kuja na theories zao za kumaximise solutions kwa muda mfupi, wamechemsha mno.

Solutions za matatizo yetu Afrika ni taratibu kuanza kuondoa hii perception ya kwamba huwezi huwezi kupata haki yako kupitia proper channels. Dawa ni taraibu kuanza kuimarisha katiba ili ilinde maslahi ya walio wengi na wala sio watawala, kuongeza nguvu za mahakama na kuondoa corruption, kuimarisha bunge, kutatua tatizo la umaskini uliokithiri na kujenga pereception ya kwamba ukifanya kazi kwa nguvu unaweza kufanikiwa.

Solutions za West zitatusaidia tu kama tools za kufuata wakati na sisi tunataka kujenga jamii zetu, lakini muda wote lazima tutumie contingency theory kuweza kugundua factos zipi ziko tofauti na solution inayofit USA, tuibadili vipi ili iweze kufit Tanzania au Kenya.

Dawa pekee ya matatizo yetu ni kujenga perception kwa watu wetu kwamba haki inatendekea, vinginevyo hata Desmon Tutu hakuweza kuzuia baadhi ya mauaji ya weusi kwa weusi kule SA.

Kama uliangalia Orange revolution kule Ukraine, jamaa walitumia language kali kuliko za akina Raila, au hata kule Georgia, lakini watu hawakwenda mitaani na kuanza kuua wabaya zao, why? Jamaa walijaribu hata kuwachukua baadhi ya wanajeshi ili waasi, lakini bado hawakupigana bunduki na mapanga barabarani, why? Bila kuwa na hayo majibu, hata siku moja huwezi kutatua matatizo ya Afrika.

La pili ni kwamba wakati wowote palipo na tatizo, dawa ni kutibu cause of the problem. Hapo tatizo lote linarudi kule kule kwamba tujitahidi sana kutunga sheria, katiba na kuunda tume za uchaguzi zilizo huru. Kwasasa hata Wakikuyu wanajua Kibaki kaiba kura, sasa hata uje na njia ipi bado vurugu hazitakoma kabisa. Dawa pekee ni kuhakikisha tatizo la kuiba kura linashughulikiwa.

Nakumbuka kuna siku Mkandara aliniambia kwamba, tatizo lako Mtanzania, unataka kwenda TZ na kuwafundisha watu namna ya kutumia umma na visu, kinachotakiwa ni kurudi nyumbani na kurudi kutumia mikono, kisha baada ya hapo ndio taratibu mnafundishana mengine, nakubaliana naye kwa kiasi kikubwa.

Ukiwa West unaweza kusema ingelikuwa hivi au vile lakini ukweli ni kwamba mambo ya Afrika huwezi kuyatabiri kirahisi unless unajua mazingira ya kule nyumbani. Hata Rwanda ilishangaza sana wachunguzi wa mambo, lakini huo ndio ukweli. Huwezi kuamini
familia inaweza kuwageuka hata ndugu na kuamua kuwachinja kwasababu tu wana damu ya kihutu au kitusi. Kwa mimi haiingii akilini, lakini it is not about me or about you Mwanakijiji, it is about majority of our people in Afrika.
 
1. Wasi2 wangu tu kama kama anavyosema MADELA WA MADILU- nasi tusije kuwa mafisadi endapo upinzani utachukua dola- mifano hii ipo Zambia, Malawi na hata Kenya- ufisadi uliongezeka baada ya upinzani kuchukua dola!
Mzalendohalisi,

Heri yako umelitambua hili, mimi huwa nasema ugomvi wangu sio CCM au CHADEMA au SHETANI bali, composition ya Wabunge wa Upinzani vs Wa chama tawala chochote!!!

Maana ni ukweli ulio wazi kwamba kuna siku CCM itakuwa chama pinzani, kama ilivyo KANU na vingine vya Zambia na Malawi... leo hii CHADEMA ikipewa ushindi wa Tsunami watalala pia,,, kwani watu sio hao hao!!! unafikiri CHADEMA itatoa viongozi wake wa Siasa Kenya au Tanzania?

Niliwashangaa wanaupinzani kuwa upande wa ODM, wasijue kwamba positive performance na kupitishwa kwa PNU ingekuwa positive kwa vyama vya Upinzani,,, kwamba vikiingia madaraki vina-pay promise, tulichoona Kenya ni kituko,,, Zambia the same,,, Malawi hivyo hivyo haya tujadili!!!

Lakini msimamo wangu umeendelea kuwa 35% to 65% or 45% to 55% MPs composition for Opposition and Incumbent Political party respectively... This is what I will call healthy polical environment and this will real be productive!!!

Sio sasa hivi!!! 15% to 85% na ni-kwa sababu ya Kisiwa cha Pemba ambao wabunge hao hawana mpango wowote na matatizo ya mikindani, mpanda, Rombo, masasi
 
Wizi wa kura uliotokea Kenya huwezi ukaulinganisha na yaliyotokea Florida. Kama Kibaki kweli hakuiba kura kwa nini aliapishwa chapchap bila hata wageni waliikwa kutoka nchi jirani? Suluhu hapa ni yeye kuachia kiti cha uraisi ambacho hakushinda. 2000 mbona hawakuharakisha kumwapisha Dubya?
 
Back to the violence. Every chap of average intelligence is well aware that the burning of churches in Eldoret will have to be avenged. The killing of Kikuyu folk countrywide will have to be avenged. Let us keep it real folks. Mungiki folk have been sharpening their pangas since the eve of Dec 27th, 2007. Yes my friends, these jamaas are fast regrouping and this time with the support of every Kikuyu who saw pictures of heavily protected Kikuyu-folk-laden convoys enroute from RV to Central. We will never be too sure but we have an idea of what the humanitarian govt. forces deployed in opposition areas are all about. Looking for answers in the bullet riddled bodies in Kisumu morgues is of no consequence. Yes my friends, ukweli ni mbaya. We are all victims.

So what next? Mungiki will soon strike and more tears will flow. The govt. will then follow-up and use all its military might to purge any signs of anti-govt. rebellion. After a couple of weeks of running battles, the Kenyan people will get tired and slowly revert to their normal day to day activities. They will give up to the powers that be at which point, Kazi Itaendelea. Yes folks, let us not imagine that Kibaki will step down or budge from the seat of power. The reality is that Kenyans must pay rent and put food on the table. We actually will have no choice but to retreat to our obscure shelters as we watch Kimunya, TransCentury and other assorted Kibaki lieutenants share out Safaricom among other delicacies. Yes folks, with one policeman on every street for months, an uneasy peace will return to Kenya. What about the anti-Kikuyu sentiments? What of those who say that Kibaki's action has legitimized every fallacy they've heard of Kikuyu's before? Yes we will walk the streets again, but what will happen when lets say a Luo man driving in the deep of Nyeri accidentally knocks down and kills an old Kikuyu woman crossing the street? Do you now see the type of scars a stolen election has etched onto the Kenyan psyche? Will we ever be brothers and sisters again under a tattered flag that does not recognize the value of our votes? These wounds will remain with us for years after these jamaas have retired to their Muthaiga homes. These wounds will follow us to every ballot box going forward. These wounds will determine the city we choose to work in, the schools we send our children to and the areas we choose to open up businesses. These wounds will make us turn a blind eye to the evils committed against our brothers from other communities. With these wounds, the jokes of Bwana Ojwang and Mama Kayai will loose meaning. With these wounds, some sheng words such as Musakhulu, Musapere and Mujaka will no longer be politically correct. The reality is that some of us are very happy with the turn of events. Some of us are mad as hell. All of us will remain insecure for years. Ask yourself why, the next time you board matatu number 16A to Kayole.

We will return to our work stations throughout the country and use the next five years trying to relocate to work areas close to our native homes. Only an insane Luo man will take up that promotion in Muranga town. This is serious trouble my friends. You see, the thing is that as a country, we have lost innocence. We can never talk of Rwanda with a chip on our shoulders. In all, the theft at KICC has made us grown men. Never again will we be able to propagate the notion that Kenya is a peace loving country. We are as fallible and as volatile as all other African countries. Kenya, as a bastion of democratic ideals, has been buried by the actions of Mwai Kibaki. This is the only man who could have ordered the PNU machinery to stop and desist from topping up the vote results from his strongholds. This is the man who may have chosen to resign after seeing the questions raised by the ECK chairman and some commissioners, observers etc. Any prudent man of singular leadership qualities and intelligence would have averted the crisis at KICC by doing the right thing......i.e. let the people decide.

But more importantly, when the election news is old news, what will Kenyans do to ensure peace in future? This is what I suggest. First and foremost, the fallacy that Kikuyus are bent on dominating other Kenyans must be dismantled. Let us choose to really get to know our neighbors. More often than not, you will find out that the struggles faced by most Kikuyus are similar to those faced by all Kenyans. They are just as poor and led by a coterie of the same bunch of inept leaders that the rest of the country displays. Whereas it is unlikely that you will find other communities doing business or settling in Central Kenya, the prevalence of Kikuyus in other areas may well be a simple result of population growth. If we have ever needed each other, this is the time. This is the time for national healing and reconciliation. Do not expect solutions from political leadership. Let us join multicultural churches. Let us demand that our workplaces reflect the face of the country. Let us choose peace.

I say, time will tell.
Hapa tunafanya ushabiki kufurahisha baraza; at the end of the day, it will be everybody for himself and God for us all; wengine watakuwa wamepoteza wake/waume/wazazi/wakwe etc; and JF will be there, talking about other things
 
Matatizo yaliyotokea kenya na ambayo hutokea/yatatokea Africa chanzo chake ni kukosa viongozi (leaders). Kwa kiasi kikubwa Africa hakuna viongozi bali kuna watawala!!! Sifa kubwa ya kiongozi ni kuwa na VISION, uwezo wa kuona yale wengi wasiyooweza kuona, hii ndio tofauti kubwa ya akina Nyerere, Mandela na watu kama Moi, Kibaki, na wengine wengi mnaowajua. Katika Biblia kuna mahali pameandikwa "where there is no vision people perish" maana yake ni kwamba where there is no leader people will die. Wakenya 300 wamekufa kwa kuwa KIBAKI sio kiongozi, wapemba walikufa zanzibar kwa kukosa viongozi Tanzania. A true leader is one who is willing to forego his/her interests for the sake of helping others. Mandela and Nyerere proved that!! Please someone assist me how many people in Africa of such character do we have? In my own opinion Kenyans have their Mandela/Nyerere in the name of Raila Odinga
 
In my own opinion Kenyans have their Mandela/Nyerere in the name of Raila Odinga

..only that some people wont let that be!

..huyu jamaa ilikuwa zawadi ya mwaka mpya kwa wakenya. alas,wezi wakaiiba!

..it'll take some time,itapatikana tu!
 
WANA JF TUOMBEENI JAMENI SISI WENZENU KENYA

34583379.jpg
 
Kenyan-Tanzanian,

Obama anakubalika kwa kiasi gani hapo Kenya?
Huenda angetoa msimamo uchaguzi urudiwe angeweza sikilizwa kuliko diplomat yeyote wa kimataifa!
Just thinking aloud with you!!
 
Mtanzania.. bado sijaelewa how can Kenyan leaders justify the killing of 300 people kwa kusema ati matatizo ya Africa na matatizo ya Magharibi ni tofauti... Tunaiga magharibi mambo mengi kweli hadi lafudhi.. sasa kwanini hatuigi jinsi wanavyotatua matatizo!!?
 
Wa kulaumiwa ni huyo mwizi Kibaki. Kama kuna vitu vya kuiga basi tungeiga culture ya kukubali kushindwa pale unaposhindwa na si kung'ang'ania ushindi ambao hukuupata. Hivi maisha yako kwenye uraisi/ siasa tu? Kwani kushindwa uraisi ndio imekuwa mwisho wa dunia? I can't stand these motherfu.ckers. I just can't stand them. Tatizo hapa ni Kibaki na the only way ya kulitatua ni yeye kuachia ngazi. Sijui lini tutastaarabika.
 
Back
Top Bottom