Kenya Election 2007: Outcomes

Kenya Election 2007: Outcomes

Hakuna habari za uhakika kuhusu idadi ya viti vya ubunge kwa vyama.

Hata hivyo, likelihood ni ODM kushinda viti kati ya 115 - 119! Hii ni maoni ya watu wa ODM
 
Tofauti moja kubwa ni kwamba Zanzibar mna mamluki wa kukodi toka Bara ili kuongeza kura za CCM wakati kule Kenya tume yao ni huru zaidi ya hii ya kwetu.

CCM wangeacha kuiba kura Zanzibar, wangesha shindwa tokea mwaka 1995.

Hivi naomba mwenye kujua namna hii tume ya Kenya ya Uchaguzi inavyoundwa!!! maana huenda mwenyekiti wa Tume ndiye ana msimamo!!! badala ya kusema ni huru... mara ya mwisho huyu mwenyekiti wa sasa wa tume ya uchaguzi nakumbuka alilazimisha kuteuliwa kwa kipindi cha miaka minne/mitano otherwise abwage manyanga!!!

Mh. Zitto...kama bado upo... kuna tofauti gani kati ya muundo wa Tume yetu na ya Kenya...

1. Kitaifa...
2. Usimamizi wa Kura kule kwenye majimbo?
 
Hakuna jinsi ya Kibaki kushinda au hata kuiba. Wakiiba, tusubiri wakimbizi kutoka Kenya
 
MTU WA PWANI......

moja kati ya sifa ya CCM ni kila mwaka kuja na MBINU mpya,usione wamekaa kimya tu hao,wanatafuta mbinu kushinda tena 2010.
CCM kiboko yao PEMBA tu basi,unakumbuka ule uchaguzi wa marudio znz? CCM anapata kura 1000 YES ,kura 6000 zinasema NO.
 
OK

HAWA MAWAZIRI WAWILI PIA WAMETIMULIWA NA ODM.

1. Njeru Ndwiga - PNU - Minister for Cooperatives
2. Joseph Munyao - PNU - Minister for Livestock


3. Secretary General wa KANU iliyokuwa inasapot KIBAKI chini ya muungano wao huo wa PNU - Justin Muturi pia red kadi.
 
Hivi naomba mwenye kujua namna hii tume ya Kenya ya Uchaguzi inavyoundwa!!! maana huenda mwenyekiti wa Tume ndiye ana msimamo!!! badala ya kusema ni huru... mara ya mwisho huyu mwenyekiti wa sasa wa tume ya uchaguzi nakumbuka alilazimisha kuteuliwa kwa kipindi cha miaka minne/mitano otherwise abwage manyanga!!!

Uundaji wa Tume hauna tofauti sana na hapa kwetu Tanzania. Rais ndiye anayeteua Mwenyekiti wa tume pamoja na makamishina wa tume. Lakini kulikuwa na proposal kwamba uteuzi huo uwahusishe pia wapinzani ili katika tume hiyo kuwe na mchanganyiko wa makamishina kutoka pande zote ili tume iweze kuwa fair zaidi.

Few months kabla ya uchaguzi term za baadhi ya makamishina zilikuwa zina-expire na Kibaki alijaza mapengo hayo kwa kuteua makamishina wapya watatu kama sikosei. Kulikuwa na malalamiko sana kutoka upande wa upinzani kuhusiana na huo uteuzi, lakini nadhani ombi alilolisikiliza ni kumwacha Mwenyekiti wa Tume maana na yeye muda wake ulikuwa una-expire na ninadhani huu ni uchaguzi wake wa mwisho na amesema hataki astaafu kwenye tume akiwa na kashfa kwenye uchaguzi.

Kuhusu utendaji wa tume sina hakika na sijui ukoje!

Kwa hiyo nadhani msimamo wa mwenyekiti pamoja na makamishina unasaidia kuwafanya wawe huru zaidi badala ya kuwa vibaraka wa serikali.
 
ODM leads in parliamentary seats

ODM …………..77

PNU……………19

ODM-K…………7

KANU…………..5

SAFINA…………3

NARC……………2

Source : KTN
 
Hivi naomba mwenye kujua namna hii tume ya Kenya ya Uchaguzi inavyoundwa!!! maana huenda mwenyekiti wa Tume ndiye ana msimamo!!! badala ya kusema ni huru... mara ya mwisho huyu mwenyekiti wa sasa wa tume ya uchaguzi nakumbuka alilazimisha kuteuliwa kwa kipindi cha miaka minne/mitano otherwise abwage manyanga!!!

Mh. Zitto...kama bado upo... kuna tofauti gani kati ya muundo wa Tume yetu na ya Kenya...

1. Kitaifa...
2. Usimamizi wa Kura kule kwenye majimbo?

Tume ya Uchaguzi ya Kenya ni matokeo ya majadiliano ya muda mrefu kati ya chama tawala cha wakati huo KANU na vyama vya upinzani. Walisaini makubaliano kuifanya Tume kuwa huru na hivyo Tume ikawa na wajumbe kutoka pande zote za vyama vya siasa.

Hata hivyo, Tume ya Kenya imepata bahati tu ya kuwa na Mwenyekiti mwenye nguvu sana,lakini hivi juzi Kibaki aliteua wajumbe bila kujali uwakilishi wa vyama vingine. Hivyo tume hii ya sasa imejaa watu wa Kibaki sana. Kivuitu yeye aliamua toka mwaka 2002 kuwa anajenga legacy yake na heshima kwa wakenya na hivyo akawa mwenye nguvu na hata Kibaki alipotaka kumtoa jamii ya kimataifa ilimwunga mkono maana muda wake ulikuwa unaisha wiki moja hivi kabla ya uchaguzi.

Tume hii ya Kenya inaajiri watumishi wake yenywe katika ngazi za chini. Huku kwetu tume haina watumishi bali hutumia watendaji wa Halmashauri za Wilaya ambao ni CCM wakutupwa. Hapa ndio tofauti kubwa iliyopo.
 
Kenya Tanzanian Unaweza Kutupa Chanzo Cha Hizo Habari Zako ? Manake Zina Utata Kidogo - Sio Kwa Shari Au Naomba Uniandikie Pm Basi Kueleza Unapozipata Au Zilipo
 


MATOKEO YA LANGATA CONSTITUENCY HAYA HAPA:


RAILA AMOLO ODINGA(ODM LEADER) - 61,996

STANLEY LIVONDO (PNU) - 15, 975


WAHESHIMIWA NIMESWITCH KWA STESHENI NYINGINE NA WANASEMA HAPA LANGATA BADO KIDOGO KURA ZINNGINE AMBAZO ZIMEWASILI SASA.....KUNAKO NI! HII KALI WACHA TUSIKUBALI HIZO NAMBA NIMEPOSTI HAPO NI DHIBITISHE HII RIPOTI.
 
NARC najua mmoja ni Ngilu, mama Rainbow. wapili ni nani? Au ni yule dada ambae Ngilu alienda kumtoa polisi Ann Njogu alikuwa anagombea Kamkunji? Kama ni huyo basi Bunge litakoma!
Mnakumbuka hiyo kasheshe ya mama Ngilu kumtoa activist polisi?
 
Kenya Tanzanian Unaweza Kutupa Chanzo Cha Hizo Habari Zako ? Manake Zina Utata Kidogo - Sio Kwa Shari Au Naomba Uniandikie Pm Basi Kueleza Unapozipata Au Zilipo

Shy bwana, weli ukipenda, chongo utaliita kengeza. Mbona husemi huo utata upo wapi? Weka wazi hapa ili kama kuna utata wote tujue mambo ya PM ya nini?
 
Sasa hizi graphs za Nation zinazoonyesha "negative" maanake ndio nini?

Kwa kweli, inahitaji utaalamu kidogo kusoma hizo data
 
Kenya Tanzanian Unaweza Kutupa Chanzo Cha Hizo Habari Zako ? Manake Zina Utata Kidogo - Sio Kwa Shari Au Naomba Uniandikie Pm Basi Kueleza Unapozipata Au Zilipo

WAHESHIMIWA,

RIPOTI ZOTE NILISEMA KWA POST YA AWALI KABISA NITAZITOA KWENYE TELEVISHEN STESHEN IITWAYO KENYA TELEVISION NETWORK AU KTN.

RIPOTI ZANGU ZOTE ZINATOKA MOJA KWA MOJA KWA KTN NA MARIPTA WAKE WALIO KILA PEMBE YA NCHI.

KWA WAKATI HUU NI KWELI STESHEN TOFAUTI ZITATOA RIPOTI TOFAUTI ILA UKWELI UTABAINIKA TU.

MUHIMU: WENZANGU WENGINE WANAWEZA FUATA STESHENI AU SOURCES ZINGINE HALAF SISI WANA JF TUTAFANYA KUZILINGANISHA NA KUZICHANGANUA PAMOJA. AU MUNAONAJE?

AHSANTE.
 
ODM leads in parliamentary seats

ODM …………..77

PNU……………19

ODM-K…………7

KANU…………..5

SAFINA…………3

NARC……………2

Source : KTN

Keil,
kwa matokeo haya ODM wanahitaji viti 30 tu kuwa na 51% ya wabunge wote. Ingekuwa katiba yao ni kama ya Tanzania maana yake ni kwamba wangeunda serikali (produce Prime Minister). Kwa Kenya ikitokea Kibaki akashinda na ODM wakapa viti 118 kama wanavyodai, utaona Kibaki atakavyonunua wabunge wa upinzani halafu utaona power struggle ndani ya opposition. Hili linanitia wasiwasi sana maana sioni discipline kwa wanasiasa wa Kenya!

Ni vema Agwambo ashinde na hiyo majority ili kuimarisha mfumo wa vyama Kenya maana vyama vya Kenya ni fluid sana.
 
Big winners, Big losers

By Standard Team


There were big losers; then there were big winners and finally, the big returnees of the Tenth General Election. And President Kibaki's Number Two, Vice-President Moody Awori topped the list of those whose fall reverberated countrywide.

They included at least seven Cabinet ministers (results confirmed by ECK) and scores of other high-flying politicians. They all were key planks of President's Party of National Unity in their regional blocs.

They are Cabinet ministers Mr Musikari Kombo (Local Government), Mr Mutahi Kagwe (Information), Mr Moses Akaranga (Public Service), Mr Paul Sang' (Health), Mr Raphael Tuju (Foreign Affairs), and Mr Joseph Munyao (Livestock), who voters rejected.

Other big Cabinet losers were Dr Mukhisa Kituyi in Kimilili, Mr Mohamed Abdi and Dr Newton Kulundu in Lurambi. Also in the group are former Cabinet minister Mr Nicholas Biwott and Mathira MP Mr Nderitu Gachagua.

Also defeated were three of retired President Moi's sons, Gideon, Jonathan and Raymond in Baringo Central, Eldama Ravine and Rongai.

And there are the big returnees; those who had previously been knocked out of elective politics, but have now received fresh mandate.

Leading the list is the ODM presidential running mate, Mr Musalia Mudavadi, former fiery politician Mr James Orengo and Mr Dalmas Otieno.

And among the big winners was rank outsider Mr Fred Kapondi, who beat Mr John Serut in Mt Elgon and Mr Kabando wa Kabando, who ejected Kagwe, a Kibaki insider.

Funyula voters yet again rejected a Vice-President - as several other high profile leaders trailed their opponents even as results came in - thereby completely changing President Kibaki's political matrix, if he wins.

Awori's more than two-decade-old political career, most of it under the Kanu regime, and only five years under the Narc administration, was ended by debutant Dr Paul Otuoma of ODM (15,940 votes).

Awori garnered 9,599, in the poll in which ODM-Kenya's presidential running mate, Dr Julia Ojiambo, also lost.

Mudavadi is the only other VP to have been shown the door in the 2002 General Election, but was cheerful after trouncing his opponent, Akaranga.

The ODM presidential running mate garnered 33,543 against Akaranga's 2,770.

Former Cabinet Minister John Koech also lost his battle to retain Chepalungu seat to Mr Isaac Ruto of ODM.

Big guns in Central Province are running neck-and-neck, with former Internal Security minister Dr Chris Murungaru facing imminent defeat in Kieni Constituency.

In Mukurweini, Kagwe lost narrowly to rival Mr Kabando wa Kabando. Kagwe garnered 22,065 against Kabando's 23,865.

Another of President Kibaki's key lieutenants in Mount Kenya region - Environment Minister David Mwiraria - is second in North Imenti as vote counting is still on. It was, however, too early to predict the outcome.

In Imenti South, Energy Minister Kiraitu Murungi has taken a comfortable lead with 6,882 votes against his closest challenger Mr Elphas Riungu of Sisi kwa Sisi, who had 2,242 votes in 27 polling stations.

In Gachoka, PNU's Mutava Musyimi had taken an early lead ahead of ODM Pentagon member Mr Joseph Nyagah in the four polling stations tallied.

The storm that ripped through the Kibaki Cabinet also blew away Sang', who has only been in office for about two months. He was appointed to replace Ngilu, who was fired after she defected to ODM.

Sang' lost the Bureti seat to one time State House Comptroller and former Nominated MP, Mr Franklin Bett, who scored 42,687 against Sang's 7,819.

Tuju, the outgoing Rarieda MP, did not survive the ODM wave. He fell to Mr Nicholas Gumbo, with only 7,759 against the winner's 31,793.

Regional minister Abdi lost to Mohammed Emil, while Kituyi lost to Dr Simiyu Eseli in Kimilili.

Kombo, on the other hand, lost to Mr Alfred Sambu in the hotly contested battle for the Webuye seat.

Agriculture Minister Kipruto Kirwa was on the verge of losing the Cherang'any seat to Joseph Kutuny.

Defence Minister Njenga Karume was trailing Stanley Githunguri in most polling stations in Kiambaa constituency.

Early today, the impact of the ODM-Kenya wave in Ukambani was being felt with Munyao falling in the hands of Mr Mutula Kilonzo.


True to the prediction of pollsters, the presidential race between President Kibaki and Mr Raila Odinga lived up to the billing as a cliffhanger. Each one was scoring highly in their strongholds.

Preliminary results showed Raila, the ODM presidential candidate, leading Kibaki in six of eight provinces in results that had been tallied from various polling stations.

ODM-Kenya's Kalonzo Musyoka, who initially was billed to make the battle for the presidency a three-horse race looked virtually out of the contest, scoring poorly nationally, except his lower Eastern backyard.

The earliest results also showed Cabinet ministers Mr Henry Obwocha and Dr Wilfred Machage battling a stiff challenge mounted by ODM debutants.

Others, however, were still locked in a tight race as we went to press, this morning.

Little-known Mr Jackson Kiptanui for the Keiyo South parliamentary seat thrashed former powerman Biwott.

Sports minister and former Starehe MP Maina Kamanda was battling to close the gap with evangelist Margaret Wanjiru after she started with a foot ahead.

Narc's Robert Monda, a veterinary doctor, sent Nyachae packing. ODM's Chris Bichage made little impact.

Evangelist Moses ole Sakuda gave Education minister Prof George Saitoti a fright, taking an early lead in Kajiado North, a seat the one-time VP has occupied for more than two decades.

Like Saitoti, Obwocha was also fighting to keep up with former Nyanza Provincial Medical Officer, Dr James Gesami, who was setting the pace in West Mugirango.

But on a day of big fights, Pentagon's Mrs Charity Ngilu appeared poised to stage the biggest upset by winning back the Kitui Central seat, after setting an unassailable lead.

But while the fight between the ministers and their opponents appeared predictable, that between President Kibaki and Raila was a close shave in Gusiiland.

It also emerged last night that all was not well for the ODM Treasurer Mr James Omingo Magara, who was trailing Ford-People's Mr Manson Nyamweya and Rajid Muyonga of PPK.

Former Cabinet minister Dalmas Otieno beat immediate outgoing MP, Mr Ochillo Ayacko, of Narc.

In Ugenya, Orengo (ODM) made a come-back to big time politics after walloping Steven Mwanga (Kaddu) to recapture the Ugenya seat he lost after he fell out with Raila.

Source: The Standard

K-T, ni kweli Dr. Mukhisa Kituyi kapigwa chini???????????
 
Tume hii ya Kenya inaajiri watumishi wake yenywe katika ngazi za chini. Huku kwetu tume haina watumishi bali hutumia watendaji wa Halmashauri za Wilaya ambao ni CCM wakutupwa. Hapa ndio tofauti kubwa iliyopo.

Ahsante Mh. Zitto (MB)

Kwa hiyo Tanzania Tungekazia zaidi kwenye Mwenyekiti wa Tume kuwa mtu,,, anayejiheshimu huenda ingesaidia kidogo say Jaji Mkuu mstaafu kama yupo/wapo!

Hivi tume inapoajiri wafanyakazi wake yenyewe is this a temporary employment au permanent? maana naona uchaguzi mara nyingi unafanyika mara moja kwa miaka mitano,,, au pengine mara mbili especially kwenye by-elections

NB: Muungeni mkono Kenyan-Tanzanian kwa kutumia system ya "thanks"
 
Musikari Kombo na Dr. Mukhisa Kituyi naona wametoka ngoma droo, mmoja kamwaga mboga na mwingine kamwaga ugali na wote wakalala njaa. Politics za Kenya ninazipenda sana, maana undava undava!
 
WAHESHIMIWA,

Bado sijapata hiyo ya Mukhisa Kituyi. Nipeni dakika kadhaa.

Ila nina uhakika kwa hili: Minister of Defence ambaye anacontrol Armed Forces za Kenya ameangushwa na kijana chipukizi. Njenga Karume pia ni mndani mkubwa wa Kibaki na ni bwanyenye mwenye hela zake lakini chini kapigwa mieleka


KTN: POLL UPDATES

TIME: 3.45pm


RAILA ODINGA (ODM) 2, 650, 000 Million
KIBAKI (PNU) 1, 760, 000 Million
 
MTU WA PWANI......

moja kati ya sifa ya CCM ni kila mwaka kuja na MBINU mpya,usione wamekaa kimya tu hao,wanatafuta mbinu kushinda tena 2010.
CCM kiboko yao PEMBA tu basi,unakumbuka ule uchaguzi wa marudio znz? CCM anapata kura 1000 YES ,kura 6000 zinasema NO.

nakumbuka, yalimkuta hata makamo wa rais Shein hayo kule Mkanyageni
 
Back
Top Bottom