Kenya Election 2007: Outcomes

Kenya Election 2007: Outcomes

It is evident that Kibaki has lost. Kenyans have rejected his government - starting with his vice president Moody Awory and 20 ministers. Statistics show that Kibaki enjoys support from only two regions; not enough to make him president. Having rejected all those behind Kibaki, incuding Moi's three sons, Kenyans would in no way reinstate Kibaki!

Above all, even if the ECK announced Kibaki as winner, it would be hard for him to govern without support of parliament. The majority of elected MPs belong to ODM and they would definitely impeach him in a matter of few weeks!

As a gentleman, Kibaki should concede defeat and hand over power. That move will win him enormous fame and he will retire a happier man.

Currently, though, Kenyans have elected their 4th president. Woud they be ready to have twp presidents at a time? That is where chaos starts. But Kibaki is the only person to avert it - by cobceding defeat and calming the country.

NGURUMO ANSBERT
 
Jamani kaka Yangu Kitila Mkumbo amezimia!!! mbona simsikii!!!
MIMI NINA IMANI MUNGU ATATUEPUSHIA MAUAJI YA RWANDA, WAKENYA NI WATU WEREVU!!! NA MFULULIZO WA MASHUDA KUTOKA PNU NA ECK WANAOTOKEA WAMETUMWA NA MUNGU ILI HAKI ITENDEKE...
KWA IMANI ZETU NYOTE TUSEME AMEEN/AMIN

Mkuu kilitime, naona Mkuu wetu Kitila yupo hapanaye anaangaza macho nadhani atakuwa kama tulivo wengi haamini kinachoendelea hapo!


Currently Active Users Viewing This Thread: 90 (43 members and 47 guests)
NakuliliaTanzania, tanzactive, Mlalahoi, Keil, Shiduki, Masatu, Mtu, Jasusi, Zitto, mwafrika, Mtu Mzima, mkamap, Keen, MSAUZI, COMRADE44, kilitime, Jembajemba, kakindomaster, Rwabugiri, Mzuzu, johnshaaban, Kenyan-Tanzanian, Mtanzania, shemzigwa, Kitila Mkumbo, Verily Verily, Dua, Kadogoo, gamba la nyoka, green29, Halisi, Pundit, ulate, eddy, sabasaba, KULIKONI UGHAIB, LUGASA, nampula, kapinga, mtu66, jamco_za, maya, Koba
 
Kwakweli inatia huruma na hasira sana! Hapo CCM wapo macho yamewatoka kama mijusi wakijua nao zahama yao inakuja 2010! ''Wapeni wananchi kitu ile inataka!''

ccm si umewasikia na tivitii yao wakipiga debe kibaki ashinde bila kujua kuwa mambo yanaweza kubadilika hata kesho na raila akawa raisi sijui wataanza kufanya nini (poor foreign policy).

afrika ikipiga step moja mbele, kuna wengine wanairudisha hatua kibao tu nyuma
 
Mungu aepushe Rwanda nyingine!

Njia pekee ya kuiepusha ni Kibaki kukubali kushindwa!

Lakini kama atakomaa na msimamo wa kwamba kashinda basi hakuna kingine zaidi ya hicho, wakikuyu wote itabidi warudi Central, maana kuishi mikoa mingine na esp. ya Magharibi na Nyanza, itakuwa ni ku-risk kuuawa ama kuvamia na "majambazi" kila siku. Hapo ndipo hata hao wakikuyu wanaomuunga mkono Kibaki watagundua kwamba walifanya kosa.
 
SARAKASI INAENDELA SASA !!!!!!!!!!!!!

ALIYEKUWA MBUNGE WA JUJA HUKO CENTRAL AMBAYE NI MKIKUYU PIA ANAONGEA KWA WAKENYA LIVE KWA KTN

ANASEMA KURA ZILIIBIWA NA KIBAKI ALIAPATA 48, 000 HUKO JUJA NA ALISHUHUDIA MWENYEWE NA MACHO MABOXI YAKIINGIZWA NA KURA HARAMU HADI ZIKAFIKA 103, 000 YA KIBAKI


AMESEMA PIA ANAOGOPEA MAISHA YAKE LAKINI AMEONA NCHI INAINGIA TABU YA KIRWANDA NA AMEKUJA KUSEMA UKWELI ULIOFANYIKA
ANAITWA WILLIAM KABOGO NA NI MILIIONAIRE MWENYE HELIKOPTA YAKE NA AMEAPA WIZI WA KURA ULIFANYIKA KWA ENEO BUNGE LAKE!

STIMA IMEPOTEA KICC

SASA CARDINALI JOHN NJUE AMBAYE PIA NI MKIKUYU NA ALISAPOT KIBAKI KWA KAMPEINI ANAONGEAA SASA KWA MEDIA

ANASEMA AMANI KWA WAKENYA WOTE

What a shame..!!Usipofuatilia hivi vituko baadaye unaweza kusimuliwa usiamini...!!! huko zanzibar wakati ule ccm ilicheza michezo michafu kama hii..but watuwalikuwa hawaaamini...nafikiri hapakuwa na watu jasiri na wakujitolea muhanga kama hawa wa Kenya...but we have learned the lesson ..tunasubiri 2010 kwa hamu na shauku..HAIBI MTU KURA TENA!!!!
 
Njia pekee ya kuiepusha ni Kibaki kukubali kushindwa!

Lakini kama atakomaa na msimamo wa kwamba kashinda basi hakuna kingine zaidi ya hicho, wakikuyu wote itabidi warudi Central, maana kuishi mikoa mingine na esp. ya Magharibi na Nyanza, itakuwa ni ku-risk kuuawa ama kuvamia na "majambazi" kila siku. Hapo ndipo hata hao wakikuyu wanaomuunga mkono Kibaki watagundua kwamba walifanya kosa.

ukisikia kinachosemwa kwenye website za kalenjin pia kuna hatred kubwa dhidi ya kikuyus. Kuna kazi kubwa kwa wakikuyu maana wengi wao wako maeneo mengi pia ya rift valley kama nakuru, eldoret nk.

wakikuyu wana kazi kubwa sana mbele yao kama wakiiba hii kura
 
Azimio Jipya Unafikiri Fujo Na Vitisho Ndio Suluhisho La Kupata Democrasia Makini Na Haki Zako ?
 
Hakuna cha Rwanda hapa hawa wezi watatolewa mkuku tu. Unafahamu za mwizi ni arobaini na zikitimia huna ujanja. Hivi Moi angefanya hivi wakati yeye alishindwa ingekuwaje?

Wakenya wataanza kumkumbuka Moi wakati ndiye alikuwa mwizi mkubwa. Tatizo litakaloweza kutokea ni kushuka kwa uchumi wa Kenya kwa haraka sana. Angalia siku zinakwenda na nchi iko kwenye hali kama hii, hakuna uzalishaji na wananchi wanapoteza mali zao kwa vibaka. Hii ni aibu kubwa sana kwa viongozi wote wa Afrika.
 
Kibaki na ECK wanakosa washauri wazuri. Kibaki kama nilivyosema awali hawezi kutawala tena Kenya.

Kwa kifupi hawezi kukubali kirahisi kuwa ameanguka.

Alipigwa Bomu wakati anapigania madaraka lakini la sasa linaweza likamtoa barabarani
 
Njia pekee ya kuiepusha ni Kibaki kukubali kushindwa!
Lakini kama atakomaa na msimamo wa kwamba kashinda basi hakuna kingine zaidi ya hicho, wakikuyu wote itabidi warudi Central, maana kuishi mikoa mingine na esp. ya Magharibi na Nyanza, itakuwa ni ku-risk kuuawa ama kuvamia na "majambazi" kila siku. Hapo ndipo hata hao wakikuyu wanaomuunga mkono Kibaki watagundua kwamba walifanya kosa.

Ohh yes!!! Mpaka sasahivi tunategemeemuujiza kama huo:"]Njia pekee ya kuiepusha ni Kibaki kukubali kushindwa![/SIZE]...but ni mujiza ambao hauna hata probability yeyote
 
Azimio Jipya Unafikiri Fujo Na Vitisho Ndio Suluhisho La Kupata Democrasia Makini Na Haki Zako ?

wamarekani kabla ya kupigana civil war walikuwa wanaitana majina kibao kama yankees etc. kulikuwa hakuna heshima. Walivyopigana na kila siku wanatishana kujitenga ndio maana kuna heshima leo.

Wauropa pia walipigana mara mbili katika karne iliyopita ndio wakatia adabu na kuanza kuheshimiana. Afrika kuna watu wanazani kuwa wana haki ya kutawala wengine kwa hiyo mpaka wapigwe au wajue kuwa wanaweza kupigwa basi hakuna kuheshimiana.

Kama unaangalia KBC hebu sikiliza huyo profesa mkikuyu anavyotoa maneno ya kashfa na kucheka as if nothing has happened. Wakikuyu wanazani kuwa kenya ni ya kwao peke yao. Wanasahau kuwa hata KANU ilimove hands toka kwa Odinga (RIP) senior kwenda kwa Kenyata (BIH) kabla ya uhuru.

Bila anachofanya Raila, wakikuyu na mpambe wao moi hawataacha power hata kidogo!
 
Wapambe wa Kibaki ndio wanakataa matokeo.Mzee kachoka keshakubali kupigwa nao.
 
JUZI WAKATI ANATOKA KUPIGA KURA ALIULIZWA MAONI YAKE NA MWANDISHI WA BBC - UNAJUA ALICHOSEMA NI NINI ? WACHA USHENZI NA HUYU NDIO MTU WA KUONGOZA KENYA KWA MARA YA PILI
 
Jamani kaka Yangu Kitila Mkumbo amezimia!!! mbona simsikii!!!

MIMI NINA IMANI MUNGU ATATUEPUSHIA MAUAJI YA RWANDA, WAKENYA NI WATU WEREVU!!! NA MFULULIZO WA MASHUDA KUTOKA PNU NA ECK WANAOTOKEA WAMETUMWA NA MUNGU ILI HAKI ITENDEKE...
KWA IMANI ZETU WOTE TUSEME AMEEN/AMIN

Nipo ndugu yangu naomboleze haya ya wenzetu ambayo ni taswira halisi ya viongozi waliopigania uhuru Africa. Wanafikiri kwa kuwa walikuwepo wakati wa uhuru basi wataendelea kuwepo milele madarakani hata kama wananchi hawawataki.

Ninatiwa moyo na hamasa na ujasiri wanaonyesha wenzetu wakenya, kushuhudia hadharani jinsi kura zilivyoibwa-hii si bure ni Mungu tu anawaongoza. Watching and reading keenly and intriguingly.
 
matokeo yametangazwa na kibaki amepata 4.5 milioni wakati Raila amepata 4.3 million
 
To play the tribal card is silly.Kibaki needs to win this election with all tools available.
 
Back
Top Bottom