Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

Bora maana mimi na wajaluo aaaa
Kwa UHURU hata akiniita leo nitaenda na kuimba sana Kenya iwe na Amani na hata Tanzania CHADEMA mjifunze maoni ya Wananchi ni Maoni ya MUNGU

Kwa nini unasema hivyo kuhusu Wajaluo?

Kwani ni watu wabaya?
 
Hii issue iko clear alishindwa, angalia kwenye bunge na seneta. Huu uchaguzi hata ungerudiwa RAO angeshindwa tu. Mie ninachohisi wizi ulitokea kama vile,-manipulation kufika 50+1 kwa round ya mwanzo, kama kweli ilitokea. Lakini hii Raila angeshindwa tu. URP na TNA ukiangalia kila chama kina wabunge/maseneta wanaokaribiana sana na cord nzima.
 
Pumzika baba Railla naona ilipaswa litimie andiko ya kuwa Hutakuja kuwa raisi wa Kenya
 
Tume huru za Uchaguzi ndo kiboko ya hawa wanaojifanya wamekamata Kontena Feki la 40FT LENYE KURA ZA MPINZANI WAKE
 
Uhuru kuapishwa Tarehe 9 April Tumpe hongera zake kwa kupewa uraisi na majudge... japo wamekataa kuhesabu kura zilizoachwa za wakenya
 
umeisoma hiyo hukumu?
Hukumu haiuhusiana na kauli yangu kuwa Kenya ni kinara wa demokrasia Afirka Mashariki.
Nimetumia misingi ifuatayo:
1. Kuna haki ya kupinga matokeo ya Urais
2. Rais hawezi kuapishwa hadi hukumu itoke
3. Mahakama inaweza kuamuru uchaguzi urudiwe

Hapa Tanzania hilo ni ndoto ya mchana!
 
Nilisemz mimi...odinga hana kitu ni mlalamishi tu
 
unexpectedly all the six judges arrived at the same judgement as if the petitioners were just trying!!

Shameful.

Clearly there were major irregularities enough to deny Uhuru an outright first round victory.

But they didn't see it. I don't blame them though. I saw this coming way before even the hearings began.

It was almost a foregone conclusion.
 
Hongereni sana wana-jubilee.
The tradition persists, always supreme courts are conservative.
Let's wait for detailed written judgement ili tuchambue zaidi. Kwa sasa ni hongera Uhuru Kenyatta, hongera William Rutto.
 
Mahakama nchini kenya The Suprime court imemtangaza Uhuru Kenyatta kuwa ni mshindi halali katika uchaguzi uliofanyika mapema mwezi huu march,hivyo ataapishwa tarehe 9April.Hongereni wakenya kwakua watulivu kwa kipindi chote
 
Verdict itaruka live kupitia The citizen. Wenye king'amuzi cha Star times wataweza kuona live.

Tuna mengi ya kujifunza hapa! Wenzetu wanarusha kesi live kwenye runinga, sisi inaitwa kuingilia uhuru wa mahakama! Na wale wajinga wengine wanataka eti hata bunge lisirushwe live.

Sisi kwetu ni; Kiongozi mmoja, Watu Wamoja na Nchi Moja. (NUKTA)

 
Back
Top Bottom