KENYA: Government switches off NTV, Citizen TV and Radio!

Wanasema wame switch off local transmitter(free to air) lakini mimi naangalia live hapa mitaa ya kimbangulile hapa
 
KWELI UNA KIWANGO KIDOGO! TUNDU LISSU NI NANI HUKO KENYA?
 
Msimamo wa serikali ni upi? Mwanasheria mkuu alimwonya Raila kwamba akiapishwa atashtakiwa kwa uhaini. Leo 30Jan Raila anapanga kuapishwa serikali inafungia vyombo vilivyojiandaa kurusha kiapo hicho.Kwa nini serikali inababaika?
 

Ah we nawe, sasa uchaguzi umefanyika, na mshindi ametangazwa na ameapishwa

Anakuja mtu mwingine kusema ameshinda yy na anaapishwa na wahuni

Kwaiyo democracy unayotaka ww hapo ni ipi?


Tena alitakiwa wamkamate na kumfunga kabisa coz anachochea vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…