Vitu hvo tulifanya kitambo sana, zama zile ilikua huwezi jiunga chuo kikuu mpka upitie NYS...bt hyo sheria sai ni vile imetolewa, kwhyo mkae mkijua vitu mnavyoona eti mnafanya sai mjue kenya imevifanya kitambokama vipo kwenu basi vinafanywa kizushi.
usingeshangaa sisi kuita polisi jeshi.labda sababu mnaiga wanaume zenu na mmeziba masikio ndio unakosa exposure kudhani hivyo ndio formular duniani.
nenda china kajifunze jeshi la kijamaa limekaa mfumo gani.
Hahaha!!wenzako wamezikwa hko we ngojea serikali ikwambie[emoji23][emoji23]Any evidence so far? Story za vijiweni
Kigogo ndio kasema? [emoji1][emoji1][emoji1]
Kwhyo unabisha km kuna vyuma vinashika moto na kujama[emoji23][emoji23][emoji23]kama utataka kueleweshwa tuliza kalio.ila ukiendelea kuruka ruka namna hii hatutafanikisha zoezi la kuondoa ujinga kichwani kwako.
Vitu hvo tulifanya kitambo sana, zama zile ilikua huwezi jiunga chuo kikuu mpka upitie NYS...bt hyo sheria sai ni vile imetolewa, kwhyo mkae mkijua vitu mnavyoona eti mnafanya sai mjue kenya imevifanya kitambo
Kwhyo unabisha km kuna vyuma vinashika moto na kujama[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha!!umefanya vyema pia kunyamazammefanya na maamuzi yenu why tufanye sababu mliishafanya budaa!!!!!!
huo ndio utaratibu wetu,nyie wasee wa polisi cervice,admin police na gen polisi pia ndio utaratibu wenu.
na wala hatuwashangai.
Jamaa ilkua anaongelea ubora wala sio kujam wala nnkama unajua kuna vyuma vina jam,usingebeza hiyo silaha maana ni 60% plastics,ndio maana nikasema hiyo field msiwe waongeaji sana maana mnasiliba vitu msivyovifahamu vyema.
Jamaa ilkua anaongelea ubora wala sio kujam wala nn
Hadi wameengezewa 30% ya mishara yao na mwamerika napia after every mission allowances za maanaKwanza hao Team 18 ni wabaya. Hawa wame beba maghaidi hata kutoka somalia ndani kati kati ya al-shabaab,na kuwa safirisha moja kwa moja mpaka Guantamo, ni kama hao ni special force ya CIA ndani ya Gsu. Lakini wako fully equipped na 60% funded na CIA.
Km vile Range na Accuracyubora upi unaouzungumzia??
unaijua hiyo silaha sawa sawa??
Km vile Range na Accuracy
Shoplifters tuliona waliyofanya pale westgetHiki kitengo cha GSU ni moto, kwenye vita vya fire arm to firearm, hiki kikosi kinaweza kusambaratisha TPDF vibaya.
kwa bunduki hakuna kitu kama flexibility, enda udanganye watanzania wenzako. Kuna accuracy, uzito, additions kama grenade launcher etc. Wewe na flexibility yako utakufa kabla ufungue mdomo.and what about flexibility!!!!
hivi unajua hata sababu ya kutumia pistol kumlinda rais kweli???ulinzi wa viongozi ni elimu hii sio maonyesho[emoji16][emoji16][emoji16].
Hehehe!!nimekupa mifano miwili umeanza kujeuza gear angani tayari[emoji23][emoji23]and what about flexibility!!!!
hivi unajua hata sababu ya kutumia pistol kumlinda rais kweli???ulinzi wa viongozi ni elimu hii sio maonyesho[emoji16][emoji16][emoji16].
Mkuu, mi nashuku sana wale wazee waliotinga dusit sio recce..naona nkm tumezibwa macho tu walaiTeam -18 took 24 mins to end the Garissa university siege.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa bunduki hakuna kitu kama flexibility, enda udanganye watanzania wenzako. Kuna accuracy, uzito, additions kama grenade launcher etc. Wewe na flexibility yako utakufa kabla ufungue mdomo.
Mkuu, mi nashuku sana wale wazee waliotinga dusit sio recce..naona nkm tumezibwa macho tu walai
Ni Hawa?Infact team 18 of the gsu, is trained to the same level as KDF special operations regiment, while recce is trained to the same skill level as the british sas.
Administration police border patrol unit are trained to be equivalent to the 75th ranger regiment of the American army.
FN SCAR L is for special operations...Zina shida hizo za kupata joto,kujam and mulfunctioning....wenye akili wezipiga Chini wamewauzia poyoyo Kenya ambao wamazipigia selfie na kujimwambafaiIko bunduki ya kijinga, hiyo waliobeba hawa accuracy yake iko chini sana, tena iko na recoil mingi.
Afadhali mununue bunduki kama za polisi ya kenya hizi hapa chini.
i) cz scorpion evo rifle kwa kila polisi
View attachment 1621278
ii) M4A1 carbine ya special squads kama Team 18 ya gsu na recce
View attachment 1621283
iii) Glock pistol
View attachment 1621277
iv) FN scar L ya special squads za polisi kama administration police special warfare force. Hii sii FN scar H ambayo ni ya KDF pekee .
View attachment 1621279