komora096
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 20,548
- 5,647
Vitu hvo tulifanya kitambo sana, zama zile ilikua huwezi jiunga chuo kikuu mpka upitie NYS...bt hyo sheria sai ni vile imetolewa, kwhyo mkae mkijua vitu mnavyoona eti mnafanya sai mjue kenya imevifanya kitambokama vipo kwenu basi vinafanywa kizushi.
usingeshangaa sisi kuita polisi jeshi.labda sababu mnaiga wanaume zenu na mmeziba masikio ndio unakosa exposure kudhani hivyo ndio formular duniani.
nenda china kajifunze jeshi la kijamaa limekaa mfumo gani.