FN SCAR L is for special operations...Zina shida hizo za kupata joto,kujam and mulfunctioning....wenye akili wezipiga Chini wamewauzia poyoyo Kenya ambao wamazipigia selfie na kujimwambafai
Answer (1 of 7): The top answer here is wrong, so I’m going to chime in, despite this question being roughly two years old. The correct answer is that the SCAR L (or Mk 16 as it is known in US Military terminology) was discontinued almost immediately after it was adopted as it was deemed redunda...
www.quora.com
Naona mapepo za mababu wako zimepanda, mpaka ujinga ya kitanzania ikakuzidi.
i) FN scar haina shida ya kupata joto hiyo ni porojo yako kama mtanzanzania kwa sababu nchi yenyu haiwezi nunua hii bunduki.
ii) Link umeeka hapo ulisahau kusoma jibu ya Bailey Craig(Us army mechanic 2009-2015), ambaye amesema hiyo jibu siyo sahihi na kuwa hii bunduki iko reliable kama AK na iko accurate kushinda M4A1 carbine na pia inatumika kwa long range na close quarter combat. Ndiyo maana lazima tukuwe na zote mbili.
iii) Nimeona umesahau kuona kuwa ni special operations units za Kenya police zinatumia hii bunduki kwanza inaitwa special warfare force. FN scar H sahi inatumika na KDF special operations regiment lakini GOK inampango wa kuifanya iwe kwa mkono ya kila mtu wa KDF alafu zile M4 za jeshi zipewe polisi wa gsu na ap.
iv) Hii bunduki inatumika na special force dunia mzima, lakini africa ni Kenya tu ndiyo tuko nayo. Israel, saudi arabia, Malaysia, Canada, britain etc kwa hivyo hiyo porojo yako ya kichawi na uwivu, imeangukia pua.
Hawa hapa KDF special operations regiment wakiwa na FN scar H zao.
Haya hapa chini ona mmoja wa Team 18 Kenya police (Gsu) akiwa na FN scar L yake. Ujue huyu ni polisi siyo jeshi.
v) Hata Israel wanapokea funding ya $5 billion kila mwaka kutoka CIA na Pentagon. Pia sisi hatutakataa watusaidie kama maumivu yana kuzidi, meza wembe.
Haya ona hapa chini special warfare force ya Kenya police (AP), wakiwa na M4 carbine zao na trainer wao wa 75th ranger regiment ya american army.
Haya tena hapa chini ona Crisis Response Unit Kenya police (Gsu)
Yani TPDF hata vitu kama hizi hawajaona, na huku Kenya ni police wanatumia.