Kenya GSU parade - fire

Kenya GSU parade - fire

Iko bunduki ya kijinga, hiyo waliobeba hawa accuracy yake iko chini sana, tena iko na recoil mingi.
Afadhali mununue bunduki kama za polisi ya kenya hizi hapa chini.

i) cz scorpion evo rifle kwa kila polisi
View attachment 1621278

ii) M4A1 carbine ya special squads kama Team 18 ya gsu na recce
View attachment 1621283

iii) Glock pistol
View attachment 1621277

iv) FN scar L ya special squads za polisi kama administration police special warfare force. Hii sii FN scar H ambayo ni ya KDF pekee .
View attachment 1621279
 
kwa bunduki hakuna kitu kama flexibility, enda udanganye watanzania wenzako. Kuna accuracy, uzito, additions kama grenade launcher etc. Wewe na flexibility yako utakufa kabla ufungue mdomo.

unaongea kama manamba wa matatu, halafu unataka watu na akili nyingi wakuelewe!!!

ule ni ulinzi wa rais sio mashindano ya kurenga shabaka,tukiwaambie muwe watulivu na fani za watu mnashangaa.
 
Hehehe!!nimekupa mifano miwili umeanza kujeuza gear angani tayari[emoji23][emoji23]
We si uliuliza ubora km gani nikakujibu, sasa taarab za nn

Alafu hyo flexibility tueleze

gia anga la wapi!!!kwanini mnapenda kuparamia fani za watu??

unachambua silaha halafu hujui hata unachoongea.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Flexibility!!nilishtuka kiasi ila nkaona haina haja nijitie kujua sana, ila nkaonelea acha nimpe nafasi anieleze kw kina hyo flexibility

na sitakaa nikwambia,enda usome kwa wakati wako.
 
FN SCAR L is for special operations...Zina shida hizo za kupata joto..na vile vile wenye akili wezipiga Chini wamewauzia poyoyo Kenya ambao wamazipugia selfie..

haya mazuzu yanaangali rangi na kushangiria [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Iko bunduki ya kijinga, hiyo waliobeba hawa accuracy yake iko chini sana, tena iko na recoil mingi.
Afadhali mununue bunduki kama za polisi ya kenya hizi hapa chini.

i) cz scorpion evo rifle kwa kila polisi
View attachment 1621278

ii) M4A1 carbine ya special squads kama Team 18 ya gsu na recce
View attachment 1621283

iii) Glock pistol
View attachment 1621277

iv) FN scar L ya special squads za polisi kama administration police special warfare force. Hii sii FN scar H ambayo ni ya KDF pekee .
View attachment 1621279
 
Kwanza hao Team 18 ni wabaya. Hawa wame beba maghaidi hata kutoka somalia ndani kati kati ya al-shabaab,na kuwa safirisha moja kwa moja mpaka Guantamo, ni kama hao ni special force ya CIA ndani ya Gsu. Lakini wako fully equipped na 60% funded na CIA.
Kuwa funded na CIA you feel proud on that..CIA hawanaga rafiki wa kudumu zaidi ya interest za Marekani..Sasa sijui Wakenya mnaakiki gani kufuraia kuwa na kikosi ambacho kipo funded 60% na nchi ingine..
 
Na nyinyi wenye key sector EDUCATION iko funded more than 50%!!!
 
FN SCAR L is for special operations...Zina shida hizo za kupata joto,kujam and mulfunctioning....wenye akili wezipiga Chini wamewauzia poyoyo Kenya ambao wamazipigia selfie na kujimwambafai
Naona mapepo za mababu wako zimepanda, mpaka ujinga ya kitanzania ikakuzidi.

i) FN scar haina shida ya kupata joto hiyo ni porojo yako kama mtanzanzania kwa sababu nchi yenyu haiwezi nunua hii bunduki.

ii) Link umeeka hapo ulisahau kusoma jibu ya Bailey Craig(Us army mechanic 2009-2015), ambaye amesema hiyo jibu siyo sahihi na kuwa hii bunduki iko reliable kama AK na iko accurate kushinda M4A1 carbine na pia inatumika kwa long range na close quarter combat. Ndiyo maana lazima tukuwe na zote mbili.

iii) Nimeona umesahau kuona kuwa ni special operations units za Kenya police zinatumia hii bunduki kwanza inaitwa special warfare force. FN scar H sahi inatumika na KDF special operations regiment lakini GOK inampango wa kuifanya iwe kwa mkono ya kila mtu wa KDF alafu zile M4 za jeshi zipewe polisi wa gsu na ap.

iv) Hii bunduki inatumika na special force dunia mzima, lakini africa ni Kenya tu ndiyo tuko nayo. Israel, saudi arabia, Malaysia, Canada, britain etc kwa hivyo hiyo porojo yako ya kichawi na uwivu, imeangukia pua.

Hawa hapa KDF special operations regiment wakiwa na FN scar H zao.

1604819891298.png

1604820033111.png

Haya hapa chini ona mmoja wa Team 18 Kenya police (Gsu) akiwa na FN scar L yake. Ujue huyu ni polisi siyo jeshi.
1604820751619.png

v) Hata Israel wanapokea funding ya $5 billion kila mwaka kutoka CIA na Pentagon. Pia sisi hatutakataa watusaidie kama maumivu yana kuzidi, meza wembe.

Haya ona hapa chini special warfare force ya Kenya police (AP), wakiwa na M4 carbine zao na trainer wao wa 75th ranger regiment ya american army.
1604821492212.png

Haya tena hapa chini ona Crisis Response Unit Kenya police (Gsu)
1604821930392.png

Yani TPDF hata vitu kama hizi hawajaona, na huku Kenya ni police wanatumia.
 
The number of Kenya police armoured vehicles stands at 50+ while the whole of TPdf has 70 😂😂...
images (24).jpeg
images (22).jpeg
 
FN SCAR L is for special operations...Zina shida hizo za kupata joto,kujam and mulfunctioning....wenye akili wezipiga Chini wamewauzia poyoyo Kenya ambao wamazipigia selfie na kujimwambafai
Emu rudia tena jomba[emoji1787][emoji1787]
haya mazuzu yanaangali rangi na kushangiria [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mazuzu wawaili wanajiriji[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom