Kenya: IEBC ICT Manager, Chris Musando body found at City Mortuary three days after he went missing

Wakenya ombeni Amani sana mtangulizeni Mwenyezi Mungu kwa kila jambo....

Kumbukeni kuna Maisha baada ya uchaguzi.....

Viongozi wa kisiasa mna dhamana ya kuimarisha na kuhubiri Utulivu na Amani ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majirani mkumbuke Kuna maisha baada ya uchaguzi
 

Na Lowassa alisema CHADEMA inamuunga mkono mgomeba aliye madarakani
 
Aiseee So CHADEMA wanashirikiana na Jubilee Kuwaua Viongozi wa Tume ya Uchaguzi
 
Hawa wakenya ni watu Wa ajabu sana yani. Wanauana kwa mambo ya kipuuz tu

Sent using Jamii Forums mobile app

....Unasema ''Wanauana kwa mambo ya kipuuz tu'' mkuu? unakumbuka kale kawimbo kanakosema ''madaraka ya kulevya''? hiyo ndiyo hatari yake, kuindoa uhai wa mtu wanaona si tatizo kabisa.....hata huku kwetu wapo tuu si unaona yaliyowapata akina mawazo, ben saanane etc??
 
Mkurugenzi wa kitengo cha kmpyuta (ICT) wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Chris Musando aliyepotea Ijumaa usiku amekutwa amefariki dunia.
Polisi wamesema leo asubuhi kwamba mwili wa Musando pamoja na wa mwanamke ambaye bado hajatambuliwa imekutwa maeneo ya Kikuyu na imehifadhiwa katika chumba cha maiti.


Mapema asubuhi gari lake aina Land Rover Discovery lilikutwa likiwa halijaaribiwa katika eneo la maegesho la TRM, barabara ya Thika saa 7.00 usiku wa kuamkia leo.
Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) wa jiji la Nairobi, Ireri Kamwende alisema gari hilo halikuaribiwa na msako umeimarishwa ili kumpata ofisa huyo mwandamizi.


Mwenyekiti wa Tume, Wafula Chebukati alisema Musando alionekana kwa mara ya mwisho Ijumaa usiku. "Mawasiliano ya mwisho kutoka kwake yalikuwa ujumbe mfupi wa SMS ambao ulitumwa kwa mmoja wa marafiki zake saa 9.00 usiku wa kuamikia Jumamosi,” alisema Chebukati.

Aliongeza kwamba ujumbe huo ulionyesha Msando alikuwa na fahamu zake na anayejua uelekeo wa siku hiyo.
Musando alikuwa anajaza nafasi ya mkurugenzi wa ICT wa IEBC James Muhati ambaye alilazimishwa kwenda likizo ya siku 30 baada ya kushindwa kutoa ushirikiano na idara ya ukaguzi
 
Hizi niakili zakijinga ulizo nazo
dogo tulia ungejua mimi ni nani usingebishana na mimi. Kama kufa ningekufa zaman awam ya kwanza pili na ya tatu. Nilikuwa naonja kila chakula kambarage mwinyi na mkapa kabla hawajala.
 
kenyans take politics seriously,...mungiki washaanza
 
Reports indicate that IEBC's Chris Musando feared for his life; his car found Roysambu near Kikuyu in Nairobi, Kenya

Source: KTN NEWS KENYA
 
Tofauti na Tanzania, Kenya mtu akitoweka atapatikana akiwa amekufa..
Walau ndugu na jamaa wanajua ndugu yao amekufa..

Lakini Tanzania, mtu hatopatikana kabisa mfano Ben Saanane.
Where is Ben Saanane jamani??
yani Ben kauwawa kikatili. Nachukia watu wanaosoma kwa kukariri hadi wanapata miphd feki
 
Duuu Wakenya kwa hili mmetuzidi sana watz..Pumzika kwa amani ndugu Chris Musando.
 
Muulizeni Lowassa na Mbowe, maana mnamuunga mkono mgombea urais aliyeko madarakani na huyo jamaa wa IEBC amepotea chini ya utawala wa rais-mgombea
Yap, kama watu wanavyoiuliza serikali kuhusu kupotea kwa Ben...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…