kadinali JM
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 379
- 304
Impacts of African politics,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizi niakili zakijinga ulizo nazoInatisha bora uhuru abaki na aendelee kuwa rais utulivu utekuwepo. Ila wakenya wakifanya kosa kumchagua rafiki ya Sizonje kutakuwa na umwagaji damu wa hatari kwasabab jamaa ni dikteta
Mwili wa Meneja wa Mawasiliano wa Tume ya Uchaguzi nchini Kenya,Chris Musando umepatikana ukiwa umeharibika huku akiwa hana mikono yote. Tume hiyo ililipoti jana Polisi kuwa afisa wake hajulikani alipo tangu siku ya Ijumaa ya Julai 28 mwaka huu.Polisi wamesema kuwa mwili wake umehifadhiwa katika Hospitali ya Jiji la Nairobi. Tukio hili la kuhuzunisha linatokea huku nchi hiyo ikiwa imebakiza siku 8 kufanya uchaguzi mkuu
Pamoja na escort magari mawili na ulinzi wa polisi sita wabaya wake wamemua. Kenya 2017 election claims its first victim.
Unakumbuka jana tulichangia kuwa huenda Ametakwa au Amesepa. Yamkini hatukukosea kuwa Ametakwaso sad
We si umeona kafa na mwanamke so ilikuwa mtegoPamoja na escort magari mawili na ulinzi wa polisi sita wabaya wake wamemua. Kenya 2017 election claims its first victim.
Hawa wakenya ni watu Wa ajabu sana yani. Wanauana kwa mambo ya kipuuz tu
Sent using Jamii Forums mobile app
dogo tulia ungejua mimi ni nani usingebishana na mimi. Kama kufa ningekufa zaman awam ya kwanza pili na ya tatu. Nilikuwa naonja kila chakula kambarage mwinyi na mkapa kabla hawajala.Hizi niakili zakijinga ulizo nazo
yani Ben kauwawa kikatili. Nachukia watu wanaosoma kwa kukariri hadi wanapata miphd fekiTofauti na Tanzania, Kenya mtu akitoweka atapatikana akiwa amekufa..
Walau ndugu na jamaa wanajua ndugu yao amekufa..
Lakini Tanzania, mtu hatopatikana kabisa mfano Ben Saanane.
Where is Ben Saanane jamani??
Yap, kama watu wanavyoiuliza serikali kuhusu kupotea kwa Ben...Muulizeni Lowassa na Mbowe, maana mnamuunga mkono mgombea urais aliyeko madarakani na huyo jamaa wa IEBC amepotea chini ya utawala wa rais-mgombea
Kauwawa na Nan? Mmhhh wajamen mengne mkaage kimya tuuyani Ben kauwawa kikatili. Nachukia watu wanaosoma kwa kukariri hadi wanapata miphd feki