Kenya: IEBC ICT Manager, Chris Musando body found at City Mortuary three days after he went missing

So sad tuiombee Amani Kenya MUNGU ainusuru wakiharibikiwa hatusalimika Kabisa
 
Kuna ile thread ya kupotea kwake nilisema jamaa lazma apatikane amekufa... Kenya is more than you thinking.... Huko kenya ni mafia.. Siyo sehemu salama ya kuishi muda wote
Yule jamaa makamu hata akiongea unajua jamaa ni roho ya Mamba
 
Studio Interview with security expert George Musamali: The death of Chris Msando

Source: KTN News Kenya
 
Muulizeni Lowassa na Mbowe, maana mnamuunga mkono mgombea urais aliyeko madarakani na huyo jamaa wa IEBC amepotea chini ya utawala wa rais-mgombea
Na ndio itakavyokuwa..
Rafiki yake Dikteta Uchwara hawezi kushinda..
Mwagaji la Damu lile.
 
Hivi ni kweli huyo mtaalamu wa computer alikuwa analindwa na askali wa Kenya? Je. Hakuacha trail zozote za kuwajua watesi wake? Maana Inasemekana hawa jamaa wa IT huwa wanaacha death codes ambazo huwa zinakuwa na mambo muhimu kuwahusu. Yaani wanakuwa na kitu kama black box ya ndege!! Wana IT ebu climbeni mwenza pata hiyo black box

====
R.I.P Chris Musando
Muulizeni Lowassa na Mbowe, maana mnamuunga mkono mgombea urais aliyeko madarakani na huyo jamaa wa IEBC amepotea chini ya utawala wa rais-mgombea
Hivi
 
Chris(R.I.P) alikuwa anakaimu nafasi ya Chebukati. Baada ya Chebukati kufurushwa kwa kutotoa ushirikiano na kamati ya uchunguzi!
HAPANA. Aliyepewa ulinzi wa kufa mtu ni mwenyekiti wa tume Bw. Chebukati, baada ya mfanyakazi mwenzake Chris Musando kupotea.
S
 
Kumkata mkono watu wanataka kuhack through his fingerprint?

Sent using Jamii Forums mobile app
Was questioning meself the same thing, lakini kama ni fingerprints, si mkono mmoja tu au kiganja au kidole ingetoshea. Sasa kwanini waikate yote, jibu la haraka haraka hapa itakuwa alikatwa akiwa hai, either walihitaji finger prints or hawakuhitaji, he was tortured to death.
RIP.
 
Kwani ni Nani huyo mkuu hebu tuambie tu..
 
mtu anaitwa chebukati. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Endeleeni kuuana tu.

Hatupokei wakimbizi safari hii.
 
Hivi finger print inaweza fanya kazi hata kama damu imeshaganda na hakuna mzunguko wa damu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…