Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania. Should this necessarily be "quid pro quo"?

Ukweli mchungu huu,sasa ni kama tunaanza moja,
Tuliongozwa na wajinga wenye mawazo ya kimasikini,

Walioamini kila mwenye hela ni mwizi, na matatizo /umasikini wao umesababishwa na wenye hela,

Hakika Kama mateso tuliyapata hasa
 
Kwani huyu mama umemuona na kasoro gani....ndo nyie muliokua mnamshabikia mwendazake kwasabb anatesa nakufunga matajiri wakati anaua uchumi....huyu mama ameanza kurekebisha mmeanza dharau zenu
Pwapwa toka mwanzo nilisema huyu mama simwamini hata kidogo, japo ana nafuu kuliko yule dikteta
 
Ukweli mchungu huu,sasa ni kama tunaanza moja,
Tuliongozwa na wajinga wenye mawazo ya kimasikini,

Walioamini kila mwenye hela ni mwizi, na matatizo /umasikini wao umesababishwa na wenye hela,

Hakika Kama mateso tuliyapata hasa
Kimsingi mwendazake alichelewa kuondoka, alitakiwa kundoka tangu 2017
 
Wajifunze Kiingereza lakini wasikitelekeze Kiswahili.

..haiwezekani kukitelekeza Kiswahili kwa mazingira ya Tanzania.

..mtoto wa Kitanzania atake asitake lazima atakijua Kiswahili.

..Challenge iko kwenye Kiingereza ambacho kwa bahati mbaya serikali ya awamu ya 5 imekipiga vita kwa mafanikio makubwa sana.
 
Sisi tuliwachezwa vp nao au taasisi zetu hatuna vitengo hivyo vya kupambana na mambo ya kiuchumi!

Ova
 
Hawa hawa walioshindwa kudhibiti siri nzito za serikali kuvuja kwa Kigogo kwa miaka mitano mizima au wengine? Ulishaona wapi taasisi makini ya intelijensia inakuwa na mole miaka na miaka bila kumgundua?

Hopulesi !!!
Hata taasisi kubwa Duniani zinakutana na changamoto za kiitelijensia tena kubwa na zenye siri nzito anavyoongea kigogo ni vitu vya kawaida tu ambavyo vinajulikana na vingi ni uongo na yupo ki propaganda zaidi.
 
Sisi tuliwachezwa vp nao au taasisi zetu hatuna vitengo hivyo vya kupambana na mambo ya kiuchumi!

Ova
Taasisi hizo zipo ila zimejikita sana kwenye siasa na kutetea maslahi ya wanasiasa watawala
 
Kenya ni adui wa Tanzania na hajawai kuwa rafiki wa kweli wa Tz na Serikali yetu inajua ila uhusiano huu wa Mama Samia na Mh. Uhuru sina shaka nao kiulinzi na kiusalama ni kama ule wa Hayati Magufuli na PK wa Rwanda mwanzoni mwa utawala wa JPM. Urafiki wao tuliona kama anahatarisha usalama wetu kama nchi ukizingatia miaka michache nyuma kulikua na mgogoro mkali wa ki diplomasia kati ya nchi hizi mbili na ulipilekea kutoleana maneno makali kati ya Rais Kikwete na Kagame. Sidhani kama kuna kitu kitabadilika katika mambo ya ujasusi wa kiuchumi kati yetu na wao watadeal nao perpendicular.
 
Yaan we jamaa kula likes 1m.

Huwa sipendi kabisa kuinekana mnyonge katika hii dunia.

Uzembe wetu utufanye tuendelee kujifingia.

Eti voda ife kisa mkenya.

Tujiandae kupambana kwa akili na maarifa kukuza uchumi wetu na maslahi ya nchi yetu lakn sio kwa ujinga huu mnaotaka tuogpe kila mtu asiye mtanzania.
 
Mentality ya mtanzania kulalamikalalamika na kuhisi anaonewa na kuibiwa ilipaliliwa sana na mwendazake.

Kwenye hotuba zake mara nyingi amekuwa akiwalalamikia mabeberu wanatupiga mara nchi hii imechezewa sana.

Now hayupo mataga waliobaki wanaendeleza mwendo wa kulalamika tunaibiwa mara sijui wakenya wezi na blah blah nyingine.
 
Sisi kama Watanzania tukubali au tukatae, lakini ukweli utabakia pale pale, Wakenya wametuacha mbali sana kiuchumi, kitaaluma na kiujanja. Huo ni ukweli mchungu na hakuna namna bali kukubaliana nao.
Tanzania bado tuko nyuma sana kwenye kila sekta ukilinganisha na Kenya. Tulichowazidi Wakenya ni hii "amani" yetu nayo ni amani sababu ya "uwoga" wetu (cowardice) na siyo amani halisi.
Hivyo basi ni lazima tukubali tu katika maakubaliano waliofanya Rais SSH na UMK, atakayenufaika zaidi ni KENYA na sio TANZANIA.
 
Hawa hawa walioshindwa kudhibiti siri nzito za serikali kuvuja kwa Kigogo kwa miaka mitano mizima au wengine? Ulishaona wapi taasisi makini ya intelijensia inakuwa na mole miaka na miaka bila kumgundua?

Hopulesi !!!
word
 
Kwenye mambo ya uchumi analeta mabavu!!na visasi, akiambiwa anasema watakuja wengine!hao wengine wako wapi, siasa za miaka ya 60, za kupigania uhuru ndio uzitumie miaka hii LAZIMA U FAIL TU MJINI!!
 
sema kenya sijawahi kuwa na imani nayo kwenye uchumi wetu
rais mwenyewe mtoto wa mjini kama wanavosema watoto wa town
 
Hivi niwaulize,corporate tax ni asilimia ngapi Tanzania?Ninaskia mnalia sana kuhusu sheria kandamizi na kampuni za TZ kutorokea kenya...sielewi kwa sababu huko kwenu Income tax naskia ni 8% tu na huku kwetu ni 30% lakini ni progressive hadi 35% kwa wale wanaolipwa $60,000 per year.
 
1-Waendeshaji magari ya kitalii wa Tz wanaruhusiwa kuenda hadi JKIA bila shida,wa Kenya kupita staight ivo hakuna.
2-kuvuka game parks from KE to Tz, unatozwa hela kibao, wanaotoka Tz kuingia KE, hawapitii hayo.
3-bidhaa za KE, kama maziwa, mayai, kuku, ukija Tz, taxes ziko juu. Bidhaa za Tz zikija KE, sivyo.

Juzi, Uhuru kaweka sheria ya kutozwa kodi kwa chupa za glass kutoka Tz, imekuwa balaa hadi kesi inaendelea.
NB;mnaosema KE inawanyemelea kwa nia fiche isiyonzuri kwa taifa la Tz, hivi hapo juu unaona nani ndio anafaa alalamike, KE ama Tz! Na bado KE wamenyamaza, nyie ndio fujo tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…