Gamal Sankara
JF-Expert Member
- Jun 27, 2019
- 301
- 265
Wewe kweli huna exposure, kujifungia hapo kariakor kweli kumekudhuru.sema kenya sijawahi kuwa na imani nayo kwenye uchumi wetu
rais mwenyewe mtoto wa mjini kama wanavosema watoto wa town
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kweli huna exposure, kujifungia hapo kariakor kweli kumekudhuru.sema kenya sijawahi kuwa na imani nayo kwenye uchumi wetu
rais mwenyewe mtoto wa mjini kama wanavosema watoto wa town
Anachokifanya Rais Samia ndicho hasa kazi ya serikali.Yaan we jamaa kula likes 1m.
Huwa sipendi kabisa kuinekana mnyonge katika hii dunia.
Uzembe wetu utufanye tuendelee kujifingia.
Eti voda ife kisa mkenya.
Tujiandae kupambana kwa akili na maarifa kukuza uchumi wetu na maslahi ya nchi yetu lakn sio kwa ujinga huu mnaotaka tuogpe kila mtu asiye mtanzania.
Ukweli kabisa ,kwani sisi tuna nini mpaka tujione wa thamani/wanyonge kuliko wakenya kwenye mwingiliano wa shughuli zetu za kiuchumi?Kwani baada ya kumkataa Sylivia Mulinge kuna mtanzania anayeendesha VodaCom kama CEO au shida ni Mkenya ??
Ziara ya Rais Samia ni kubwa na imechukuliwa kwa ukubwa sana na wakenya ila kwetu sisi,
Muda wote ni wanyonge kazi yetu ni kujishuku shuku muda wote, kujiona wanyonge tutapigwa, hatujiwezi. Aisee
Huu ni ulemavu hakika.
Ningekuwa Rais nchi hii, ningegawa passport kwa kila mtu akazurule huko nje labda unyoronyoro ungetoka.
Mbongo muda wote ni kulalamika na kuhisihisi kujiona anaonewa muda wote.
This is too much.
Kenyatta amemtega Rais Mama Samia
Kazi ya mzazi wanahamishia serikali, mwisho wa siku wanashindwa kuibana serikali iwape vikubwa Kama hospital za kisasa za serikali kila mkoa mpaka hao wakenya waje kutibiwa huku pato la Taifa liongezeke.Watz wengi bado mabwege wengi mpaka sasa bado wanataka Serikali iwasaidie kwa kila kitu
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Hawawezi kukitekelekeza kiswahili kwasababu ndo wanatumia kuwasiliana humu nchini.Wajifunze Kiingereza lakini wasikitelekeze Kiswahili.
Na wakati umasikini wao umesababishwa na kuchezea muda, kuanzia mtoto mpaka mzee hakuna wa kumsaidia mwenzake atumie muda wake vizuri.Ukweli mchungu huu,sasa ni kama tunaanza moja,
Tuliongozwa na wajinga wenye mawazo ya kimasikini,
Walioamini kila mwenye hela ni mwizi, na matatizo /umasikini wao umesababishwa na wenye hela,
Hakika Kama mateso tuliyapata hasa
Hahaaa! Tatizo wamezoeshwa kutojiamini Ili wawe wanyonge na wanaojiamini wapae juu wawe juu yao.Wabongo bana..kila kitu wanaibiwa tu. Kwanini na nyinyi msiende kuiba?
Wametusumbua sana hao wanyonge na bongo zao zilizogandaNa wakati umasikini wao umesababishwa na kuchezea muda, kuanzia mtoto mpaka mzee hakuna wa kumsaidia mwenzake atumie muda wake vizuri.
Swadakta kabisa mkuu, kinachoigharimu Tz yetu ni mifumo ya hovyo na ujanja² wa kiswahili. Mtoa mada + MATAGA wanahangaika sana kulinda legacy ya Jiwe, hawataki kusema ukweli kwamba uchumi wa Tz kudorora ni matokeo ya;
Hamna cha ujasusi wala nini.
- Sheria kandamizi
- siasa chafu
- ulimbukeni wa viongozi
- visasi
- wivu wa kitoto kwa wenzetu n.k n.k
Mama aambiwe ikiwezekana aanzeshe Ruzuku Maalumu kwa wafanyabiashara wakati..Looh!!
..Wafanyabiashara ndio hao wamenyang'a nywa fedha.
..Maana yake hawana mitaji ya kushindana na Wakenya.
..Vijana nao wanaambiwa wasijifunze Kiingereza watakuwa watumwa na ni kukosa uzalendo.
..Maana yake huyu kijana akienda kwenye usaili wa kampuni ya wawekezaji wanaotoka nje atashindwa kupata kazi.
..Tunalalamika elimu yetu ni ya nadharia. Na juu ya hilo tunawalemaza vijana kwa kuwanyima communication skills.
..Tunawafanya vijana wetu wasiweze kushindana ktk soko la ajira la Afrika Mashariki. Tumesalimu amri kabla hata mchezo haujaanza.
Akikujibu nami niite nisome ccm imeharibu akili za matz mengi
Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
Hakika wewe ni unprejudicedHakuna Chama wala mtu anayeweza kukuharibu Ni tamaa na ujinga wako. Mbona Kuna kundi humu la CDM kama wameuza ubongo wao. Kila kitu kusupport tu na kila kitu kupinga.
Wantanzania tusipobadilika,tukaendelea na uvivu na janjanja ya mafanikio Bila jasho,tutaachwa nawenzetu wengi duniani,na hata majirani zetu,matokeo yake,tutaishia kusasingizia wao ndi sababu ya kutofanikiwa kwetu.Kwenye work permit mama asijaribu,huku tayari wakenya wengi sana kwenye mahoteri ya kitalii kuliko watz na sisi hawawezi kutupa ajira huko.
Ni lugha za kisiasa tu.