Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania. Should this necessarily be "quid pro quo"?

Tutawafanyia figisu la mama wa kambo mpaka wataiona Tanzania chungu
Na ni kweli wakenya wana dharau. Wanajiona watu bora wakiwa na mbongo ( superiority complex ).

Na kwasababu na sisi siku zote huwa tunajiona weak mbele zao, wanatumia nafasi hiyo kukuumiza.

Nobody can make you inferior without your consent.

Hii hali ya kunyanyaswa na kudharauliwa unaweza kuiruhusu wewe mwenyewe.
 
Hapa pana ukweli wote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yap....hayo ndio maneno. Sio woga tu kila siku toka miaka na miaka. Na kwanza tumewazidi vitu vingi tu.

Hata tukiamua hapo kwenye mahindi na michele.....hili soko la eac na congo ni kubwa vya kutosha. Watakuwa tegemezi kwetu kwa chakula. Tuna mito, maziwa na ardhi kubwa na nzuri. Tunakwama wapi mpaka tuanze kuwalaumu/kuwaogopa wakenya?
 
Ninawaza kuajiri mkenya Kama business manager/ farm manager wangu..

Watanzania ukiwaajiri wanaangalia Leo...hawazingatii kazi mfano hawalishi wanyama..hawafanyi usafi mabandani..hawaxhomi sindano ...wanaiba vyakula na vifaa Tiba vya wanyama....hawaamini katika matokeo.....hawajali kama.mnyama anannenepa au hanenepi...

Uko ofisini unawaza kama nguruwe wamelishwa na maji wamepewa....

Inaongeza huduma shambani wanyama wanazidi kujikondea

Mbongo nae sio mtu dah
 
Wewe unatumiwa na Kenya ili kuonesha watanzania ni wavivu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…