Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania. Should this necessarily be "quid pro quo"?

Kenya imecheza sana ujasusi wa kiuchumi dhidi ya Tanzania. Should this necessarily be "quid pro quo"?

Umemaliza, na hapa ndipo mtu kama Diamond anapowapiga bao wenzake huku wengine wakikalia kujivunia kipaji!!
Angalia pia hardworking Christiano Ronaldo na Talented Lionel Messi wana tofauti kubwa sana.

Rolado kacheza ligi karibia 4 na kutwaa mataji na timu tofauti tofauti ukilinganisha na Messi aliyeanza na kuzeekea Barcelona.
 
You're right... huo ni mfano muafaka at a global level!
 
The Entrepreneur and his Environment (mjasiriamali na mambo yanayo mzunguka). Kwasasa mjasiriamali biashara zake zinakufa kwasababu ya sera za kukurupuka ama zinazobadilikabadilika(regime uncertainty).

kwenye kitabu changu cha ujasiriamali nimelezea kwa undani jinsi Siasa,Magonjwa ya mlipuko na yanayomzunguka mfanyabiashara, vinavyo athiri uchumi wa inchi na biashara (Political, physical, and Environmental factors affecting entrepreneurship)
 
The Entrepreneur and his Environment (mjasiriamali na mambo yanayo mzunguka). Kwasasa mjasiriamali biashara zake zinakufa kwasababu ya sera za kukurupuka ama zinazobadilikabadilika(regime uncertainty). kwenye kitabu changu cha ujasiriamali nimelezea kwa undani jinsi Siasa,Magonjwa ya mlipuko na yanayomzunguka mfanyabiashara, vinavyo athiri uchumi wa inchi na biashara (Political, physical, and Environmental factors affecting entrepreneurship)
Hivi unajua kwa kuna uhusiano mkubwa sana kati ya ujasusi na siasa? Nimeamua kukukumbusha hivyo baada ya kuona umeorodhesha political factors kama moja ya sababu za kufa kwa biashara.
 
Back
Top Bottom