Kenya imetoa ruhusa ya wapenzi wa jinsia moja kujumuika

William ruto ni msengerema tokea kitambo sana hivyo sishangai.
Odinga asingeruhusu hii kitu

Ruto https://jamii.app/JFUserGuide you wherever you are πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©πŸ’©
 
Hata hapa Tanzania ni suala la muda tu. Mzungu hajawahi kushindwa ktk Jambo lake analolisimamia.

Mlipinga chanjo ya korona lkn mwisho wa siku ikaingia
Tz hii nayoijua au tz yako ya ndotoni kama hamjawahi kuona civil war siku hiyo ndo mtaona sasa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ under my dead body mkuuu tz never ever
 
Mke wa Biden akawasili kenya ijumaa
Juma mosi majaji wanaruhusu ushoga
Kenya wanapokea billion 16 chap hii dunia ni hataree
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…