Kenya imetoa ruhusa ya wapenzi wa jinsia moja kujumuika

Kenya imetoa ruhusa ya wapenzi wa jinsia moja kujumuika

Unaonesha usivyotaka uwepo wa Katiba Mpya, wakati wake ukifika itakuja tuu.

Hujui hata hii Katiba iliyopo inaruhusu uwepo wa haki sawa kwa makundi tofauti ya kijamii.
Sawa mtetezi wao
 
Haya yatakuwa kama vile ni matokeo ya Kenya kuwa na katiba mpya
Mmeanza upuuzi!! Kenya ni nchi ya kibepari miaka mingi so msihusishe katiba mpya ya Tanzania na issue za maadili ya Kenya. Ndio Yale Yale Kila katiba mpya ikidaiwa utasikia "sultan atarudi Zanzibar..... Mara ushoga utaingizwa kwenye katiba'' yaani hofu za kipuuzi as if hamkufuta maoni ya Warioba ndio sembuse msifute maoni ya ushoga/sultan kurudi!!
 
Si Kenya waliandika katiba mpya na haya ni matokeo yake au mie sielewi?
Kifungu Gani kimesema ushoga ni ruksa? Kwani mtikila alipokua anashinda kesi kuhusu mgombea binafsi ilikuwepo kwenye katiba?

Hiyo ni lawsuit alifungua mtu Wala haihusiani na uwepo wa katiba mpya.
 
.
JamiiForums-2137375301.gif
 
Msishangae hata kidogo, Hili suala kwa kenya liko kiuchumi zaidi. Wako katika hali mbaya sana kifedha na kiuchumi kwa ujumla. Ndiyo maana kila ngoma inayopigwa na mabeberu, watakuwa wa mwanzo kucheza. Swali langu ni je, unafuu unaotegemewa kutokea utapatikana kwa kupuuza misingi ya utamaduni wenu??
Msiwasingizie mabeberu wakati nyie wenyewe mnapenda kufirana.
 
Haya mambo ya ushoga huwa naona mnapenda sana kuyafatilia na kutaja taja, mko too obsessed, halafu wengi mnayafanya sana ukanda huo wa kuanzia Tanga, Dar hadi Pemba, huko ambapo dini yenu imetamalaki.
Thibitisha
 
kinacho sikitisha ni kwamba nchi za africa tumeshika kisu kwenye makali. Na venyew mama etu anapenda tumikopo na tumisaada sasa, mh
 
Back
Top Bottom