Kenya imetoa ruhusa ya wapenzi wa jinsia moja kujumuika

Kenya imetoa ruhusa ya wapenzi wa jinsia moja kujumuika

BBC Swahili wanalipoti kuwa mahakama ya juu nchi kenya imeanza vyema kuruhusu wapenzi wa jinsia moja kuwa na haki ya kujumuika hii ni ishara sasa kenya inaelekea kule walipo waliokaaga mwanzo kisha wakakubaliana na hali .

Hili ni tukio baya sana kwa ukanda wetu ambapo ile nguvu moja ya kiafrika ya kukutaa ushoga,usagaji na ndoa za jinsia moja hapa mwenzetu ametusaliti katika mapambano.

Naiomba serikali ya Tanzania usikubali kuingia mkenge kwenye hili ikaze uzi ,izidi kukaza uzi labda sisi na waganda bado tutatoboa maana ndio wanaume halisi tuliobaki



USSR

Msishangae hata kidogo, Hili suala kwa kenya liko kiuchumi zaidi. Wako katika hali mbaya sana kifedha na kiuchumi kwa ujumla. Ndiyo maana kila ngoma inayopigwa na mabeberu, watakuwa wa mwanzo kucheza. Swali langu ni je, unafuu unaotegemewa kutokea utapatikana kwa kupuuza misingi ya utamaduni wenu??
 
Una hakika gani mbona unaleta tetesi ?..umeona kwamba usapot ujinga kwa kutokea mifano kanda fulani kama wewe na ukoo wako huko kwenu mnaona ni haki why are convincing the rest ...Eti sorry ni haki una akili timamu kweli?

Unachafua eti Mila za kipwani sema ni wapi? Achanga na porojo na chuki unafundishwa kanisani kwenu.

Mila za waarabu,upinge usipingwe jamii ya watu wa pwani hiyo michezo wanaifanya sana.
 
Kenya ilikua suala la Muda wanapenda sana misaada. Kama sahivi wanahali ngumu sana kiuchumi lazima wakubali

Nimeami kweli njaa ni mbaya. Hata uwezo wa kufikiri, hata utu wako una kuwa bure. Ina nikumbusha kisa cha Kaini na Abeli, yule kwa sababu ya njaa ya mlo mmoja, akapuuza ile stahili au haki yake ya kuzaliwa wa kwanza.
 
acha uzushi babwabwa we viongozi wenu wa juu wa dini akiwemo papa wenu wanalihalalisha hili na hutujasikia yoyote aliepinga na kauli ya papa huko

Kunatofauti gani kati ya uzinzi na ufiraji??
 
Haya yatakuwa kama vile ni matokeo ya Kenya kuwa na katiba mpya
 
Kwanza hao wapenzi wanatambulika huko Kenya ?

Maana kama haiwatambui wanakuwaje na haki ya kukusanyika!

Ni sawa na kusema machangu wanaweza kukusanyika ili hali hawatambuliki.
 
Naona wanataka kuwa jua ili wawauwe kama yule kijana aliye kuwa model!
Walimkatakata mapanga walahi!
 
Haya mambo ya ushoga huwa naona mnapenda sana kuyafatilia na kutaja taja, mko too obsessed, halafu wengi mnayafanya sana ukanda huo wa kuanzia Tanga, Dar hadi Pemba, huko ambapo dini yenu imetamalaki.
Kabisa mambo ya pwani wanatuletea huku
 
Back
Top Bottom