Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,021
- 79,710
- Thread starter
-
- #61
You mean to justify the killing and bombing of civilian villages since you think they are Al Shabaab?Al shabab are civilians.
They hide in homes, wear normal clothes have no formal training.
If Al shabab was a conventional army, we would have crashed them in one afternoon.
Ask your brother first to prove that 50,000 Alshabab have been killed by KDF.Why are you spreading lies jiwe LA joto? Can you prove that 100k Kenyans have been killed during terror attacks?
Moderator futa huu uchafu
Museveni alishaliona hili mapema kabisa na ndio maana aliibrand KDF kuwa nia "career army". They can not fight Al Shabaab.Wewe ni mwongo sana na hujui lolote zaidi ya kupiga domo, Alshabab ni jeshi rasmi, wanatumia silaha kubwa na magari, kumbuka wanatumia magari ya kijeshi na silaha zingine kubwa walizozikamata waliposhambulia kambi za jeshi la Burundi, Uganda na Kenya, kumbuka huwa wanakamata silaha nyingi sana, kama wanajichanganya na watu, je hayo magari ya kijeshi pia wanaingia Mayo ndani ya Nyumba za raia?
Alshabab kwa miaka mingi sana walikua wanashikilia miji mikubwa kama Mogadishu na Kismayu, baada ya kuolewa huko, sasa hivi wanashikilia South west part ya Somamalia, KDF South East, Uganda na Burundi ni Central na Mogadishu, Northern ni Djibouti. Utakumbuka ndege ya Kivita F-5 ilipodunguliwa mwaka 2014 ilianguka ndani ya eneo linaloshikiliwa na Alshabab hivyo kushindwa kwenda kupata maiti ya rubani na hata kupata mabaki ya ndege yenyewe.
Kwa taarifa yako Alshabab ni jeshi kamili, linashikilia eneo kubwa tu la Somalia, ila mbinu ya vita wanayotumia ni Gorrila war, wanashambulia kwa kuvizia, na huko wanakoshikilia wanajificha, lakini kuna wakati drones za USA zinagundua maficho na kuwashambulia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Come on, huo sasa ni uzalendo uchwara. Kwamba watu wasiongee wanayoyaona Kenya au kwasababu tunasema sisi wa Tz ndio inawauma.Why are you spreading lies jiwe LA joto? Can you prove that 100k Kenyans have been killed during terror attacks?
Moderator futa huu uchafu
We are not talking about invicibility here my lady. I am repeating this; we are not here to brag about military prowess.So where were you to tell the truth if the gvt failed to do so? Were you among the attackers? Why don't you people MYOFB??
Just a bunch ofvociferous ignominious maniacs trying to sound relevant by criticizing others. Why don't you go and fight this battle if you believe in your invincibility? It's not easy!!! Just that!!
Hamna kitu kama hicho, una catch feelings tu na hata ukisoma original post utapata content ina nia gani. Ila kutokana na mabishano yenyu ndio na kukataa hali halisi ndio inafanya mpaka ifikie kuona kuwa sisi ni 'mbwa mwitu'.Eee ifutwe kabisa!! Nyinyi ni mbwa mwitu waliovalia ngozi ya kondoo!! Kazi yenu kucheka wengine wakiwa na matatizo. Mmefungua nyuzi nyingi sana.Mbona mnafurahia vifo vya wakenya mpaka mnaua walio hai kwa kuongeza idadi ya wafu?
Acha hizo wewe. Siubishe kwa hoja asa uzi ukifutwa ndio itasaidia nini? Ukweli unauma sio? Ndio kawaida ya watu weusi, hatupendi kuambiwa ukweli. Mtu akikuambia ukweli mchungu unamuona msaliti.This thread should be closed, this idiots jus want to force deaths on kenyans to be happy, zombies
Sent using Jamii Forums mobile app
You must try to be humble sometimes, if you continue bragging, the number will rise even higher.This thread should be closed, this idiots jus want to force deaths on kenyans to be happy, zombies
Sent using Jamii Forums mobile app
Ondoeni majesh huko mnadhalilishwa hko somaliaand you drove them out of kismayu?? tanzagiza imejaa wapumbavu!
Wanasema wanapambana na moto kwenye chanzo chake.
You mean to justify the killing and bombing of civilian villages since you think they are Al Shabaab?
Hahahaha wewe ni pimbi kweli, hadi Leo serikali yenu imekataa kutoa idadi kamili ya KDF waliouliwa El- ede camp, bado unasema unlike Tanzania, kwa taarifa yako, more than 600 KDF solders died.
Kuhusu terrorists attacks, Mombasa, Lamu, Carissa, karibu kila siku watu wanavamiwa, vituo vya POLISI na magari ya polisi yanalipuliwa na land mines, watu wengi wanapoteza maisha kutokana na hizi attacks kuliko hizo big attacks.
Sent using Jamii Forums mobile app
You a fighting a losing battle. As long as KDF remains in Somalia, Kenya will always be shaken with terror. Al Shabaab have cemented themselves inside Kenya it's hard to thwart them with ease.
Uganda for all those years had been operating in a six to seven block radius around Mogadishu where alshabaab were not very active. They never dared to operate in the real bush to face the gorillas .Its during this time that alshabaab were gaining strength and even started hijacking ships in the Indian ocean .They controlled almost all trade in somalia .Kdf entry was the ultimate game changer on the whole somalia issue.Museveni alishaliona hili mapema kabisa na ndio maana aliibrand KDF kuwa nia "career army". They can not fight Al Shabaab.
Lets all hope for the best boss. You seemed to misconceived the intent of this thread thus overreacting and leading everyone OP.The thousands of dead Alshabab beg to differ.
Even with the mungiki threat we had like 15 years ago, (and it was more deadly than Al shabab), government returned fire with fire.
Right now, Mungiki does not exist.
Not to say that the government killed all Mungiki members, but when the organization is weakened enough, remaining followers will think twice and drop their arms.
At least M7 knew he wouldn't be able to engage Al Shabaab and neither do you.Uganda for all those years had been operating in a six to seven block radius around Mogadishu where alshabaab were not very active. They never dared to operate in the real bush to face the gorillas .Its during this time that alshabaab were gaining strength and even started hijacking ships in the Indian ocean .They controlled almost all trade in somalia .Kdf entry was the ultimate game changer on the whole somalia issue.