Hapa ndio wendawazimu wenu unapoanza, mwanzoni mlisema mnazo maabara nyingi, baada ya kujua ni mbili mnasema zinatosha[emoji23][emoji23][emoji23].
Ngoja nikuambie, idadi ya maabara sio muhimu, muhimu ni:
1) Uwezo wa maabara, unaweza kuwa na maabara yenye kupima sample 200 kwa siku, wakati mwengine anayo yenye kupima 1000 kwa siku.
2) Idadi ya sample katika nchi husika, Tanzania, Uganda na Rwanda, tumeamua kutofanya
"mass testing", tunapema wale tu ambao ni close contacts na wameanza kuonyesha dalili, lakini njia tunayotumia kubwa ni kufanya "Quarantine" kwa siku 14.
Kuhusu hivyo vitanda vya ICU, Kenya nzima ina vitanda chini ya hivyo 160. Kwasababu baadhi ya hivyo vitanda havifanyi kasi.
Ushauri wangu ni kwamba, badala ya kuendelea kupinga na kujipa moyo, chukueni hizo changamoto na mzifanyie kazi. Jambo lingine ni kwamba, Kenya imeshazidiwa na hili tatizo la Corona, jaribuni kutafuta njia ingine itakayopunguza kasi ya maambukizi.
Sent using
Jamii Forums mobile app