Kenya inachezewa kamchezo kadogo sana na Tanzania, Viongozi wanajua wananchi hawaelewi

hali itakua mbaya sana wakishusha waendelee kukaza apo apo
 
hali itakua mbaya sana wakishusha waendelee kukaza apo apo
Kwanza hawawezi kushusha kwasababu, kengo huwa ni ku-boost EXPORTS na kuvutia wawekezaji.

Sasa wawekezaji wa viwanda huwa wanataka umeme wa bei ndogo.

Ke ya kashafeli, hapo, kwasasa anafanya udalali wa kununua umeme Ethiopoa na Tanzania na kuuza kwa walaji. Sasa mwekzaji wa kiwa da anaona ni bora aje TZ directly au aende Ethiopia.
 
Ndio uleule ujinga wa kusema uchumi wa Tanzania unafanya vizuri kuliko ule wa Amerika. Au eti jeshi letu ni no. 6 kwa ubora duniani.
 
Ndio uleule ujinga wa kusema uchumi wa Tanzania unafanya vizuri kuliko ule wa Amerika. Au eti jeshi letu ni no. 6 kwa ubora duniani.
mm nadhan ungesoma kuelewa huenda ungetoka na kitu kipya leo
 

Uchumi wa Kenya unabebwa na financial sectors (mabenki na masoko ya hisa) sababu kubwa benki kuu ya Kenya imeweka riba ya chini kabisa ya 9.5 .
Hii imezifanya benki na taasisi za fedha kutoka nje kupendwa kuwekeza kwenye mabenki na masoko ya mitaji hivyo kupatikana kwa pesa kwa kigeni kwa wingi .
Hata hivyo kuwepo kwa riba kubwa kumepandisha riba kwa wakopeshwaji hasa wanataka kuwekeza kwenye viwanda kutokana na kuwa na riba kubwa hivyo kulazimika kutumia gharama kubwa kuwekeza na kulazimika kuweka bei kubwa kwenye bidhaa zao .
Mfano kwa upande wa usafirishaji kwa ticket ya kutoka nairobi-kisumu kwa basi kama guardian ni 1650ksh ambayo ni sawa 33,000 tsh urefu km 352 . Nauli hiyo ni ya dar Dom kwa luxury Tena lenye choo ndani .
Tanzania bot wameweka riba ya 5.5% hivyo mabenki kwa matajiri wakubwa wapi wanaopokea riba ya mpaka 9, ndo maana uwekezajini makubwa sana Tanzania zaid tunavyoona .
 
Ndio uleule ujinga wa kusema uchumi wa Tanzania unafanya vizuri kuliko ule wa Amerika. Au eti jeshi letu ni no. 6 kwa ubora duniani.
Mambo mengine sio kupinga jamani , alichoeleza jamaa yuko sahihi sana hasa kwa mtu ambaye anafanya biashara za kununua vitu tz kupeleka nje hawez ombea shilling ipande.
 
Mambo mengine sio kupinga jamani , alichoeleza jamaa yuko sahihi sana hasa kwa mtu ambaye anafanya biashara za kununua vitu tz kupeleka nje hawez ombea shilling ipande.
na uhakika hata kusoma hajasoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…