Kenya inaongoza uzalishaji Avocado Afrika. Tusipokuwa makini chini ya CCM kuna siku Kenya itailisha Tanzania

Kenya inaongoza uzalishaji Avocado Afrika. Tusipokuwa makini chini ya CCM kuna siku Kenya itailisha Tanzania

kAKUZI WAMEANZA KUZALISHA AVOS NA MATUNDA MENGINE MIAKA YA 50 HUKO, SISI TUMEANZA JUZI HAPA. kAMA SI AKINA RUNGWE, AFRICADO ETC TUNGEKUWA BADO. MWENDO NI HATUA, WAKENYA WAMETUFUNGUA PAKUBWA KWENYE HILI LA AVOS.

..wenzetu kupitia Kakuzi wana kitu kama Nanenane ya Parachichi.

..angalia hapa chini.

 
Hakuna kwa sababu anajua zaidi akili za watu wake

..kwanini unasema tuna-support gmo?

..gmo ilikuwa imezuiliwa kenya kwa zaidi ya miaka 10.

..ni majuzi tu baraza la mawaziri ndio limeruhusu nafaka za gmo kuingizwa kenya.

..sisi hapa tunazungumzia matunda, specifically, avocado, sielewi kwanini umeleta hoja ya gmo.
 
Back
Top Bottom