Dr Msweden
JF-Expert Member
- Nov 3, 2020
- 2,629
- 9,530
Sasa ndugu yangu ya nini kunitukana kuniita mbuzi? Kuna sehemu niliyokukejeli?Wewe nae ni mbuzi tuu, kwenye Mpango wa Saudia na UAE Kuna watu wa fani mbalimbali wakiwamo hao uliowakariri.
Mwisho Samia hawezi wauza watu wake kisa Pesa.Kati ya maslahi ya kibiashara na utu,siku zote ccm inasimama upande wa utu.
Kumbe Manamba na watumwa ambao mko tayari kuuzwa mko wengi hivi? 😁😁Daah.bora ningekuwa Kenya.
Samia nae mbona haoni hizi fursa jamani tuna nini sisi?
Mtakapoanza kunyanyaswa huko msije kusema hamkuambiwa.Mimi nafikiri hizi ni fursa kwa Vijana Afrika kupata Ajira!
Ni kuzichangamkia!
Kuliko wakikaa huku Afrika ambako mwisho wengine wanajiingiza kwenye vitendo vya ukabaji bora waende huko!
😁😁😁Motivational quotes,uhalisia ni mgumu mno,acha longolongo
Ongezea na kubeti imewawehusha watoto na wanakuwa nazoUtumwa ni maamuzi ya MTU ili mtu akufanye mtumwa anaanza kucheza na hisia zako Kwa kuamini bila kufanya kazi ngumu utakufa njaa.
Huwa nasema Kama ilivyo ccm inatumia simba na yanga kuitawala nchi Kwa kuwapumbaza watoto ,vijana na wazee
MTU ukiona hataki utumie Akili zako Bali hisia lazima akutawale Leo kesho daima.
Wadada huko wanakiwa jicho wanapigwBora hao beki 3 kama unavyotaka isomeke wanaenda sehemu salama hakuna vita.
Vipi kama ingekua wanaenda kufanya kazi Saudi Arabia au nchi yeyote ya Kiarabu,unge comment hivi hivi?Utumwa gani hapo. Hiyo salary hata daktari hapati na ndio wanaenda kupewa tena kwenye mazingira mazuri, haki zinazingatiwa, bima, mapumziko, na mkataba unaovunjwa au wenye kikomo.
Kuna mmoja namjua ameenda Israel kakaa mwaka karudi na some few millions kwa diploma yake ya kilimo kutoka LITA. Kaja wiki kadhaa kabla ya mashambulizi ya Hamas alikuwa kwenye ufugaji.
Daah.bora ningekuwa Kenya.
Samia nae mbona haoni hizi fursa jamani tuna nini sisi?
Hata nyanya au mchicha uliwahi kulima? au unataka ujifunzie shambani.Hivi vitu rais samia ndio vya kuhangaikia afanye mpango watanzania na sisi twende uko sio kuhangaikia house girl kwenda OMAN kwa mshahara wa laki 6.
Wanahamia kwenye dini gani?Kuna watu wakisikia Israel wanahamia kwenye dini.
Kwani diaspora ni watumwa?
Vipi kama ingekua wanaenda kufanya kazi Saudi Arabia au nchi yeyote ya Kiarabu,unge comment hivi hivi?
Wadada huko wanakiwa jicho wanapigw
Wanafanyiw unyama wa kila aina
Ova
Wanashangilia ila hawajui mateso yake,unatumikishwa kama punda wa kulima.Wadada huko wanakiwa jicho wanapigw
Wanafanyiw unyama wa kila aina
Ova
Daah.bora ningekuwa Kenya.
Samia nae mbona haoni hizi fursa jamani tuna nini sisi?
Halafu kutwa wanasema nauza kitandaIla wabongo tunadharau sana. Leo milioni nne tunaita utumwa?. Huo mshahara hara Assistant Lecture haipati labda Dr mwenye PhD. Acha wake ya wakapate fursa.
Uarabuni mbona mbali sana, tuanzie Tanzania. Kama unakubali daktari kulipwa 1.5M kwa mwezi, kwanini ukatae kibarua kulipwa milioni 4 kwa mwezi Israel?Vipi kama ingekua wanaenda kufanya kazi Saudi Arabia au nchi yeyote ya Kiarabu,unge comment hivi hivi?