Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni unataka tu sio lazimaWanapelekwa kwa ulazima au ni matakwa Yao?
Mods unganisha huu Uzi hapaBaada ya mgogoro wa Israel na Palestina, Israel imekiri uhaba wa nguvu kazi hivyo kuhitaji watu 40,000 kutoka Afrika kuziba pengo lililopo. Pengo walilonalo waisrael limetokana na wafanyakazi kutoka Palestine kutoruhusiwa kufanya kazi. Wafanyakazi kutoka Palestina ni 20% ya wafanyakazi walioko Israel.
Wizara ya Kazi ya Kenya imeripoti kupeleka watu 1500. Hatua hii inakuja baada ya Malawi kupeleka watu 221. Israel inatarajia kupata watu kutoka Kenya, Tanzania na Uganda ili kuziba pengo.
Baadhi ya wakenya wamekosoa suala la watu kupelekwa Israel wakidai mazingira mabovu ya kazi na usalama ulipo Israel.
Tusubiri Tanzania watu waanze kupelekwa huko.
View attachment 2836234
Huyo serikali imeweza.kuwapa ajira watu wake, au inawapa ruzuku wasio na ajira.Binafsi sioni Kama ni wazo zuri kwa serikali zetu kushawishi raia wake waende sehemu Kama hizo haswa ukizingatia na Hali iliyopo kwa sasa.
Hatuna uhakika kama kweli ni shortage of labour au wanataka raia wetu wakawe front kwenye vita Yao.
Serikali iliangalie hilo swala kwa umakini na sio kuruhusu tu raia waondoke kwa kigezo cha kazi.
Hao wanapelekwa vitani wewe hakuna cha mashamba wala bustani wewe unadhani kwanini wathailand na wahindi wamekimbia?Utumwa toleo jipya, yaani Utumwa mamboleo.
Jiandae kwenda kupigana vita dhidi ya hamas hakuna mashamba wala bustani huko. Unalima vipi rocket zinapita kila baada ya dk.1 ?kweli ujinga mzigo.Serikali yetu inasubiri nini uamuzi wa maana kama huu?
Acha kukurupuka mtu mwenyewe hata mgambo hujawahi kukimbia ukimuona tu mgambo mmoja wahamas utajiharishia.Our secretary of state please workout on that issue.
Milioni nne kwa mwezi sio mchezo.
Kwanza. Kifo ni suala la kawaida hata ukiwa Tanzania kama muda umefika unakufa.
Pili. Vita vinaelekea ukingoni Hamas hawana namna
Tatu. vita vinapigwanwa gaza mashamba ya Israel yalipo ni mahali salama.
Rose mhando aliwahi kusema,:- Uoga wako ndo umasikini wako
Mwisho. Nipo tayari kwenda Israel kufanya kazi mashambani hata kesho.
nimependa moyo wk mkuu..we mvaa kobaz mwenye akiri mingi.Daah.bora ningekuwa Kenya.
Samia nae mbona haoni hizi fursa jamani tuna nini sisi?
Kote hakuna shida mkuu sema maslah israel kwa kaz za unskilled ni mazuri kulko uarabunBora Israel kuliko Arabuni.
Wanaenda kupigana na Hamas acha kudanganyika wewe uliwahi kuona wapi watu wanalima kwenye uwanja wa vita?Wanaenda kulima. Watanzania wameshauzwa saudi arabia kuwa mahausi gel na hausiboi
Wanaenda kupigana na Hamas acha kudanganyika wewe uliwahi kuona wapi watu wanalima kwenye uwanja wa vita?
Sio suala la imani huo ndio uhalisia. Serikali ya Kenya inawauza wakenya vitani wananchi wanapaswa kulijua hilo.Mkuu amini unavyoamini ila sioni sababu za kupanic.