Kenya kama Malawi, wapanga kupeleka vibarua wa Mashamba ya Israel kwa ujira wa Ksh. 228,000 (4,000,000Tsh)

Kenya kama Malawi, wapanga kupeleka vibarua wa Mashamba ya Israel kwa ujira wa Ksh. 228,000 (4,000,000Tsh)

Binafsi sioni Kama ni wazo zuri kwa serikali zetu kushawishi raia wake waende sehemu Kama hizo haswa ukizingatia na Hali iliyopo kwa sasa.

Hatuna uhakika kama kweli ni shortage of labour au wanataka raia wetu wakawe front kwenye vita Yao.

Serikali iliangalie hilo swala kwa umakini na sio kuruhusu tu raia waondoke kwa kigezo cha kazi.
 
Baada ya mgogoro wa Israel na Palestina, Israel imekiri uhaba wa nguvu kazi hivyo kuhitaji watu 40,000 kutoka Afrika kuziba pengo lililopo. Pengo walilonalo waisrael limetokana na wafanyakazi kutoka Palestine kutoruhusiwa kufanya kazi. Wafanyakazi kutoka Palestina ni 20% ya wafanyakazi walioko Israel.

Wizara ya Kazi ya Kenya imeripoti kupeleka watu 1500. Hatua hii inakuja baada ya Malawi kupeleka watu 221. Israel inatarajia kupata watu kutoka Kenya, Tanzania na Uganda ili kuziba pengo.

Baadhi ya wakenya wamekosoa suala la watu kupelekwa Israel wakidai mazingira mabovu ya kazi na usalama ulipo Israel.

Tusubiri Tanzania watu waanze kupelekwa huko.
View attachment 2836234
Mods unganisha huu Uzi hapa
 
Binafsi sioni Kama ni wazo zuri kwa serikali zetu kushawishi raia wake waende sehemu Kama hizo haswa ukizingatia na Hali iliyopo kwa sasa.

Hatuna uhakika kama kweli ni shortage of labour au wanataka raia wetu wakawe front kwenye vita Yao.

Serikali iliangalie hilo swala kwa umakini na sio kuruhusu tu raia waondoke kwa kigezo cha kazi.
Huyo serikali imeweza.kuwapa ajira watu wake, au inawapa ruzuku wasio na ajira.
 
Our secretary of state please workout on that issue.
Milioni nne kwa mwezi sio mchezo.

Kwanza. Kifo ni suala la kawaida hata ukiwa Tanzania kama muda umefika unakufa.
Pili. Vita vinaelekea ukingoni Hamas hawana namna
Tatu. vita vinapigwanwa gaza mashamba ya Israel yalipo ni mahali salama.
Rose mhando aliwahi kusema,:- Uoga wako ndo umasikini wako
Mwisho. Nipo tayari kwenda Israel kufanya kazi mashambani hata kesho.
Acha kukurupuka mtu mwenyewe hata mgambo hujawahi kukimbia ukimuona tu mgambo mmoja wahamas utajiharishia.
 
Back
Top Bottom