Kenya kama Malawi, wapanga kupeleka vibarua wa Mashamba ya Israel kwa ujira wa Ksh. 228,000 (4,000,000Tsh)

Kenya kama Malawi, wapanga kupeleka vibarua wa Mashamba ya Israel kwa ujira wa Ksh. 228,000 (4,000,000Tsh)

Hata mimi wakija tanzania naenda,mshahara wa laki 6 ninazolipwa kama mwalimu niliyefanya kazi kwa zaidi ya miaka 10 hautoshi kabisa yaani ,watoto watatu,mke jumlisha mikopo ya bayput ,nmb,crdb,napaki na kiasi cha 200K,sasa mtu unalipwa 4M kwa mwezi mbona pesa ndefu,waje na tz, I will be the first
Nenda tu mkuu hali si hali
 
John Israel hakuna vita,vita vipo gaza. Israel wanajenga uchumi wao huku wakiendelea kuchimbua magaidi pangoni
Kumbe huna ujualo. Kwa taarifa tu nikupe huko israeli hakukaliki wanaporomoshewa rocket siyo mchezo. Jeshi la IDF ni mabingwa wa kuficha taarifa za athari za kivita. Waseme ili waonekane wameshindwa?
 
Kumbe sasa punguza kulia lia. Nenda kawasaidie hamas hakuna anaekukataza

Anaelia lia ni mimi au wewe? Hamas hawasaidiwi na mtu wale siyo kama IDF kabebeshwa silaha za dunia nzima kutoka marekani tena bila kificho.
 
Aliyeanza kumquote mwenzie ni mimi au wewe. Punguza kulia lia ovyo,kawasaidie hamas wasiendelee kuchimbuliwa kama panya shambani.

IDF kamasi zinawatoka huko uwanja wa vita hawakujua mambo yangekua magumu kiasi hiki.
 
Tafuta financial freedom Kwa kuwekeza na Kuwa na matumizi sahihi ya jala zako .

Paycheck to paycheck life ,ulibidi kuachana nayo baada ya Mwaka wako Wa kwanza Wa ajira.

Your problem is not about meager salary but financial intelligence

Whatever what you earn all you need is to set goals toward into financial freedom.

Bright and broke is only you looking for
Too theoretical kind of economic jaggeries, ni sawa na yale maneno ya hovyo hovyo kwamba kuanzisha biasharala pesa siyo ishu halafu unakuta Mo Dewji anadaiwa na mabenki akina Bakhresa vilevile sasa unagundua kuna stori nyingi ni za kipumbavu kwenye uchumi ni sawa na aliyeandika kitabu chenye title "HOW TO FIND MONEY" halafu akakosa hela ya kuchapisha kitabu ndipo akaambiwa asome kitabu chake.
 
Hata mimi wakija tanzania naenda,mshahara wa laki 6 ninazolipwa kama mwalimu niliyefanya kazi kwa zaidi ya miaka 10 hautoshi kabisa yaani ,watoto watatu,mke jumlisha mikopo ya bayput ,nmb,crdb,napaki na kiasi cha 200K,sasa mtu unalipwa 4M kwa mwezi mbona pesa ndefu,waje na tz, I will be the first
mimi too ntaenda
 
Kwa msiojua milion 4 ni mshahara wa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hapa tz kwa hiyo mnaoukataa nawapa pole
 
Hata mimi wakija tanzania naenda,mshahara wa laki 6 ninazolipwa kama mwalimu niliyefanya kazi kwa zaidi ya miaka 10 hautoshi kabisa yaani ,watoto watatu,mke jumlisha mikopo ya bayput ,nmb,crdb,napaki na kiasi cha 200K,sasa mtu unalipwa 4M kwa mwezi mbona pesa ndefu,waje na tz, I will be the first
Hata mimi mkuu. Niunganishe nao wakija Tanzania.
 
Kenya inapanga Kupeleka Vijana wapatao 1,500 kuwa Vibarua wa Mashamba ua Wayahudi Kufuatia Vibarua zaidi ya 10,000 wengi wao kutoa Thailand kukimbia Vita vya Israel vs Hamas hivyo kuacha mashamba ya waloweso yakiwa hayana Vibarua.

Israel Kwa Sasa imekuwa inakimbilia Afrika ambako watu Wana shida na njaa Kali kupata Vibarua wa Mashamba Kwa kuingia makubaliano na Nchi zinazotaka kuwauza watu wake kuwa Manamba.Kenya imeungana na Malawi katika ku export Manamba bila kujalisha vita vinavyoendelea.

View: https://twitter.com/Kenyans/status/1732659113245409360?t=dKV8Sq3MVESiicFRnoy9vQ&s=19

Kwa mtu mweusi utu sio kipaombele akina pesa ndio maana wakati wa biashara ya utumwa mawakala walikuwa Weusi wenzetu.

Swali.
Je Wabongo mko tayari kuwa Manamba kwenye mashamba ya Wayahudi mlipwe Ujira wa Shilingi Milioni 4?

View: https://twitter.com/BBCAfrica/status/1732724178812387367?t=3YyJH021dtzxhz1K23xAdA&s=19

Pia soma Malawi: Rais Chakwera akosolewa kwa kutuma vijana 221 wa Malawi kufanya kazi katika mashamba nchini Israel

Hujui tu ila bongo kila mwaka wanaenda vijana zaidi ya 800 huko Israel wanakaa mwaka mmoja wanrudi wanaenda wengine..
Chuo cha Sua kina program hii pia.
 
Nyinyi kupeleka "beki tatu" Saudia sawa ila Kenya kupeleka manamba Israel inakuwa nongwa!

Anaeongoza kupeleka mafeki 3 Saudia ni Kenya. Hata wanaofagia Airport Dubai ni Wakenya
 
Hujui tu ila bongo kila mwaka wanaenda vijana zaidi ya 800 huko Israel wanakaa mwaka mmoja wanrudi wanaenda wengine..
Chuo cha Sua kina program hii pia.
Wanaenda training ya masomo sio kuwa manamba
 
Back
Top Bottom