Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Tanzania imewauza wabongo saudi arabia hujalalamika,hayakuhusu
Sio suala la imani huo ndio uhalisia. Serikali ya Kenya inawauza wakenya vitani wananchi wanapaswa kulijua hilo.