mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Mimi kwa kweli acha nikafie huko.milion 4 kwa mwezi sio mchezo.kama kufa nitakufa hata nikiwa tanzaniaHalafu kutwa wanasema nauza kitanda
Mara mshahara wa laki 3 mwingi
Ila waswahili ni maskini jeuri
Hujajibu nilichokuuliza japo umeweka msururu wa maelezo,Uarabuni mbona mbali sana, tuanzie Tanzania. Kama unakubali daktari kulipwa 1.5M kwa mwezi, kwanini ukatae kibarua kulipwa milioni 4 kwa mwezi Israel?
Kuna Watanzania wapo Dubai wanafanya biashara na ajira. Kuna vinyozi, wafanyakazi wa ndani na walinzi wapo Oman na Dubai. What's special with Saudi Arabia?
Kuna kazi uko umeona na renumeration ulete hapa tujadili, maana sina mtu yeyote ameenda uko na mazingira yao ya kazi siyajui.
Hapa unadai Israel ni nchi haramuNi mtu asiejitambua ndie ataenda taifa haram na ukatili ndani yake
Tatizo lenu mnaongea ila ushahidi wa huo unyama hamuna
Katisha border mkuu nenda Kenya fasta unatoa hela wanakupa passport yao unasepa naoMimi kwa kweli acha nikafie huko.milion 4 kwa mwezi sio mchezo.kama kufa nitakufa hata nikiwa tanzania
Kama kuna watu wanalipwa 6000 siku nzima kwa kazi za hatari za viwandani unadhani watakuwa na nguvu kiasi gani ya kukataa mshahara wa 133,000 kwa siku? 🤣Kenya inapanga Kupeleka Vijana wapatao 1,500 kuwa Vibarua wa Mashamba ua Wayahudi Kufuatia Vibarua zaidi ya 10,000 wengi wao kutoa Thailand kukimbia Vita vya Israel vs Hamas hivyo kuacha mashamba ya waloweso yakiwa hayana Vibarua.
Israel Kwa Sasa imekuwa inakimbilia Afrika ambako watu Wana shida na njaa Kali kupata Vibarua wa Mashamba Kwa kuingia makubaliano na Nchi zinazotaka kuwauza watu wake kuwa Manamba.Kenya imeungana na Malawi katika ku export Manamba bila kujalisha vita vinavyoendelea.
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1732659113245409360?t=dKV8Sq3MVESiicFRnoy9vQ&s=19
Kwa mtu mweusi utu sio kipaombele akina pesa ndio maana wakati wa biashara ya utumwa mawakala walikuwa Weusi wenzetu.
Swali.
Je Wabongo mko tayari kuwa Manamba kwenye mashamba ya Wayahudi mlipwe Ujira wa Shilingi Milioni 4?
View: https://twitter.com/BBCAfrica/status/1732724178812387367?t=3YyJH021dtzxhz1K23xAdA&s=19
Pia soma Malawi: Rais Chakwera akosolewa kwa kutuma vijana 221 wa Malawi kufanya kazi katika mashamba nchini Israel
Hapo napo kipengele.kuingia Kenya mpaka update connection mjomba utakuwa ume pigika sanaKatisha border mkuu nenda Kenya fasta unatoa hela wanakupa passport yao unasepa nao
Nchi masikini kila kitu kinawezekana
Oman na Dubai haziko Uarabuni? Kwenye majibu yangu hazipo?Hujajibu nilichokuuliza japo umeweka msururu wa maelezo,
Jibu nilichokuuliza bila kuleta gazeti lisilo eleweka hapa.
Hapa unadai Israel ni nchi haramu
Hapa tuhuma dhidi ya nchi nyinginezo Middle East unadai hazina ushahidi.
Watu wanatafuta ajira hawatafuti sehemu za kusoma 'chuo'
Badala ya wao kuwezeshwa kulima mashamba ya ardhi ya baba zao, wanawezeshwa kwenda kulima ardhi za mabwanyenye wa kizayuni.Kenya inapanga Kupeleka Vijana wapatao 1,500 kuwa Vibarua wa Mashamba ua Wayahudi Kufuatia Vibarua zaidi ya 10,000 wengi wao kutoa Thailand kukimbia Vita vya Israel vs Hamas hivyo kuacha mashamba ya waloweso yakiwa hayana Vibarua.
Israel Kwa Sasa imekuwa inakimbilia Afrika ambako watu Wana shida na njaa Kali kupata Vibarua wa Mashamba Kwa kuingia makubaliano na Nchi zinazotaka kuwauza watu wake kuwa Manamba.Kenya imeungana na Malawi katika ku export Manamba bila kujalisha vita vinavyoendelea.
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1732659113245409360?t=dKV8Sq3MVESiicFRnoy9vQ&s=19
Kwa mtu mweusi utu sio kipaombele akina pesa ndio maana wakati wa biashara ya utumwa mawakala walikuwa Weusi wenzetu.
Swali.
Je Wabongo mko tayari kuwa Manamba kwenye mashamba ya Wayahudi mlipwe Ujira wa Shilingi Milioni 4?
View: https://twitter.com/BBCAfrica/status/1732724178812387367?t=3YyJH021dtzxhz1K23xAdA&s=19
Pia soma Malawi: Rais Chakwera akosolewa kwa kutuma vijana 221 wa Malawi kufanya kazi katika mashamba nchini Israel
Mwaka 1990 wakati Vita ya Ghuba ya kwanza vinaanza, Marekani ikiongozwa na George Herbert Walker Bush (Bush Baba) na Iraq ikiongozwa na Saddam Hussein, wakati huo niko shule ya Sekondari Tambaza iliyo barabara ya Umoja wa Mataifa Upanga, ilikuwa nikienda shule , njia yangu inanipitisha daraja la Salenda na kuingia barabara ya Umoja wa Mataifa.Kenya inapanga Kupeleka Vijana wapatao 1,500 kuwa Vibarua wa Mashamba ua Wayahudi Kufuatia Vibarua zaidi ya 10,000 wengi wao kutoa Thailand kukimbia Vita vya Israel vs Hamas hivyo kuacha mashamba ya waloweso yakiwa hayana Vibarua.
Israel Kwa Sasa imekuwa inakimbilia Afrika ambako watu Wana shida na njaa Kali kupata Vibarua wa Mashamba Kwa kuingia makubaliano na Nchi zinazotaka kuwauza watu wake kuwa Manamba.Kenya imeungana na Malawi katika ku export Manamba bila kujalisha vita vinavyoendelea.
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1732659113245409360?t=dKV8Sq3MVESiicFRnoy9vQ&s=19
Kwa mtu mweusi utu sio kipaombele akina pesa ndio maana wakati wa biashara ya utumwa mawakala walikuwa Weusi wenzetu.
Swali.
Je Wabongo mko tayari kuwa Manamba kwenye mashamba ya Wayahudi mlipwe Ujira wa Shilingi Milioni 4?
View: https://twitter.com/BBCAfrica/status/1732724178812387367?t=3YyJH021dtzxhz1K23xAdA&s=19
Pia soma Malawi: Rais Chakwera akosolewa kwa kutuma vijana 221 wa Malawi kufanya kazi katika mashamba nchini Israel
muongoza msafara lazima awe MaghayoTusubiri Tanzania watu waanze kupelekwa huko