Kenya kama Malawi, wapanga kupeleka vibarua wa Mashamba ya Israel kwa ujira wa Ksh. 228,000 (4,000,000Tsh)

Uarabuni mbona mbali sana, tuanzie Tanzania. Kama unakubali daktari kulipwa 1.5M kwa mwezi, kwanini ukatae kibarua kulipwa milioni 4 kwa mwezi Israel?

Kuna Watanzania wapo Dubai wanafanya biashara na ajira. Kuna vinyozi, wafanyakazi wa ndani na walinzi wapo Oman na Dubai. What's special with Saudi Arabia?
Kuna kazi uko umeona na renumeration ulete hapa tujadili, maana sina mtu yeyote ameenda uko na mazingira yao ya kazi siyajui.
Hujajibu nilichokuuliza japo umeweka msururu wa maelezo,

Jibu nilichokuuliza bila kuleta gazeti lisilo eleweka hapa.
 
Ni mtu asiejitambua ndie ataenda taifa haram na ukatili ndani yake
Hapa unadai Israel ni nchi haramu
Tatizo lenu mnaongea ila ushahidi wa huo unyama hamuna

Hapa tuhuma dhidi ya nchi nyinginezo Middle East unadai hazina ushahidi.

Watu wanatafuta ajira hawatafuti sehemu za kusoma 'chuo'
 
Kenya inapanga Kupeleka Vijana wapatao 1,500 kuwa Vibarua wa Mashamba ua Wayahudi Kufuatia Vibarua zaidi ya 10,000 wengi wao kutoa Thailand kukimbia Vita vya Israel vs Hamas hivyo kuacha mashamba ya waloweso yakiwa hayana Vibarua.

Israel Kwa Sasa imekuwa inakimbilia Afrika ambako watu Wana shida na njaa Kali kupata Vibarua wa Mashamba Kwa kuingia makubaliano na Nchi zinazotaka kuwauza watu wake kuwa Manamba.Kenya imeungana na Malawi katika ku export Manamba bila kujalisha vita vinavyoendelea.

View: https://twitter.com/Kenyans/status/1732659113245409360?t=dKV8Sq3MVESiicFRnoy9vQ&s=19

Kwa mtu mweusi utu sio kipaombele akina pesa ndio maana wakati wa biashara ya utumwa mawakala walikuwa Weusi wenzetu.

Swali.
Je Wabongo mko tayari kuwa Manamba kwenye mashamba ya Wayahudi mlipwe Ujira wa Shilingi Milioni 4?

View: https://twitter.com/BBCAfrica/status/1732724178812387367?t=3YyJH021dtzxhz1K23xAdA&s=19

Pia soma Malawi: Rais Chakwera akosolewa kwa kutuma vijana 221 wa Malawi kufanya kazi katika mashamba nchini Israel

Kama kuna watu wanalipwa 6000 siku nzima kwa kazi za hatari za viwandani unadhani watakuwa na nguvu kiasi gani ya kukataa mshahara wa 133,000 kwa siku? 🤣
 
Kenya inapanga Kupeleka Vijana wapatao 1,500 kuwa Vibarua wa Mashamba ua Wayahudi Kufuatia Vibarua zaidi ya 10,000 wengi wao kutoa Thailand kukimbia Vita vya Israel vs Hamas hivyo kuacha mashamba ya waloweso yakiwa hayana Vibarua.

Israel Kwa Sasa imekuwa inakimbilia Afrika ambako watu Wana shida na njaa Kali kupata Vibarua wa Mashamba Kwa kuingia makubaliano na Nchi zinazotaka kuwauza watu wake kuwa Manamba.Kenya imeungana na Malawi katika ku export Manamba bila kujalisha vita vinavyoendelea.

View: https://twitter.com/Kenyans/status/1732659113245409360?t=dKV8Sq3MVESiicFRnoy9vQ&s=19

Kwa mtu mweusi utu sio kipaombele akina pesa ndio maana wakati wa biashara ya utumwa mawakala walikuwa Weusi wenzetu.

Swali.
Je Wabongo mko tayari kuwa Manamba kwenye mashamba ya Wayahudi mlipwe Ujira wa Shilingi Milioni 4?

View: https://twitter.com/BBCAfrica/status/1732724178812387367?t=3YyJH021dtzxhz1K23xAdA&s=19

Pia soma Malawi: Rais Chakwera akosolewa kwa kutuma vijana 221 wa Malawi kufanya kazi katika mashamba nchini Israel

Badala ya wao kuwezeshwa kulima mashamba ya ardhi ya baba zao, wanawezeshwa kwenda kulima ardhi za mabwanyenye wa kizayuni.
 
Our secretary of state please workout on that issue.
Milioni nne kwa mwezi sio mchezo.

Kwanza. Kifo ni suala la kawaida hata ukiwa Tanzania kama muda umefika unakufa.
Pili. Vita vinaelekea ukingoni Hamas hawana namna
Tatu. vita vinapigwanwa gaza mashamba ya Israel yalipo ni mahali salama.
Rose mhando aliwahi kusema,:- Uoga wako ndo umasikini wako
Mwisho. Nipo tayari kwenda Israel kufanya kazi mashambani hata kesho.
 
Kenya inapanga Kupeleka Vijana wapatao 1,500 kuwa Vibarua wa Mashamba ua Wayahudi Kufuatia Vibarua zaidi ya 10,000 wengi wao kutoa Thailand kukimbia Vita vya Israel vs Hamas hivyo kuacha mashamba ya waloweso yakiwa hayana Vibarua.

Israel Kwa Sasa imekuwa inakimbilia Afrika ambako watu Wana shida na njaa Kali kupata Vibarua wa Mashamba Kwa kuingia makubaliano na Nchi zinazotaka kuwauza watu wake kuwa Manamba.Kenya imeungana na Malawi katika ku export Manamba bila kujalisha vita vinavyoendelea.

View: https://twitter.com/Kenyans/status/1732659113245409360?t=dKV8Sq3MVESiicFRnoy9vQ&s=19

Kwa mtu mweusi utu sio kipaombele akina pesa ndio maana wakati wa biashara ya utumwa mawakala walikuwa Weusi wenzetu.

Swali.
Je Wabongo mko tayari kuwa Manamba kwenye mashamba ya Wayahudi mlipwe Ujira wa Shilingi Milioni 4?

View: https://twitter.com/BBCAfrica/status/1732724178812387367?t=3YyJH021dtzxhz1K23xAdA&s=19

Pia soma Malawi: Rais Chakwera akosolewa kwa kutuma vijana 221 wa Malawi kufanya kazi katika mashamba nchini Israel

Mwaka 1990 wakati Vita ya Ghuba ya kwanza vinaanza, Marekani ikiongozwa na George Herbert Walker Bush (Bush Baba) na Iraq ikiongozwa na Saddam Hussein, wakati huo niko shule ya Sekondari Tambaza iliyo barabara ya Umoja wa Mataifa Upanga, ilikuwa nikienda shule , njia yangu inanipitisha daraja la Salenda na kuingia barabara ya Umoja wa Mataifa.

Sasa hapo barabara ya Umoja wa Mataifa mwanzo kuna balozi kadhaa, ikiwamo ya Korea Kaskazini na Iraq, ubalozi wa Iraq ulikuwa mkabala na Kanisa la Katoliki la St. Immaculata.

Basi hapo nje ya ubalozi wa Iraq, wakati vita inaanza, palikuwa panajaa kichizi Watanzania waliokuwa wanakwenda kijisajili waende Iraq, kwa gia ya kwenda kupigana vita upande wa Iraq. Lakini wale masela kiukweli walichotaka ni kupata channel ya kuondoka Tanzania tu, wakifika mbele huko waitoe kivyao.

Sasa ukiangalia mfano huo, mtu anajiandikisha kwenda vitani, bila kujua atafikia wapi huko vitani, ni hatari sana.

Umasikini wetu unaweza kufanya watu waseme potelea mbali, ngoja tujaribu maisha popote pale, hata kwenye uwanja wa vita.
 
Baada ya mgogoro wa Israel na Palestina, Israel imekiri uhaba wa nguvu kazi hivyo kuhitaji watu 40,000 kutoka Afrika kuziba pengo lililopo. Pengo walilonalo waisrael limetokana na wafanyakazi kutoka Palestine kutoruhusiwa kufanya kazi. Wafanyakazi kutoka Palestina ni 20% ya wafanyakazi walioko Israel.

Wizara ya Kazi ya Kenya imeripoti kupeleka watu 1500. Hatua hii inakuja baada ya Malawi kupeleka watu 221. Israel inatarajia kupata watu kutoka Kenya, Tanzania na Uganda ili kuziba pengo.

Baadhi ya wakenya wamekosoa suala la watu kupelekwa Israel wakidai mazingira mabovu ya kazi na usalama ulipo Israel.

Tusubiri Tanzania watu waanze kupelekwa huko.

1702016389195.jpeg
 
Back
Top Bottom