Kenya kama Malawi, wapanga kupeleka vibarua wa Mashamba ya Israel kwa ujira wa Ksh. 228,000 (4,000,000Tsh)

Binafsi sioni Kama ni wazo zuri kwa serikali zetu kushawishi raia wake waende sehemu Kama hizo haswa ukizingatia na Hali iliyopo kwa sasa.

Hatuna uhakika kama kweli ni shortage of labour au wanataka raia wetu wakawe front kwenye vita Yao.

Serikali iliangalie hilo swala kwa umakini na sio kuruhusu tu raia waondoke kwa kigezo cha kazi.
 
Mods unganisha huu Uzi hapa
 
Huyo serikali imeweza.kuwapa ajira watu wake, au inawapa ruzuku wasio na ajira.
 
Acha kukurupuka mtu mwenyewe hata mgambo hujawahi kukimbia ukimuona tu mgambo mmoja wahamas utajiharishia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…