Sio suala la imani huo ndio uhalisia. Serikali ya Kenya inawauza wakenya vitani wananchi wanapaswa kulijua hilo.
Tofautisha kwenda kufanya kazi na kwenda vitani. Saudi Arabia kuna vita gani?Tanzania imewauza wabongo saudi arabia hujalalamika,hayakuhusu
Badala ya wao kuwezeshwa kulima mashamba ya ardhi ya baba zao, wanawezeshwa kwenda kulima ardhi za mabwanyenye wa kizayuni.
Kenya inajidhalilisha sana kwa watu wake.
Nenda tu mkuu hali si haliHata mimi wakija tanzania naenda,mshahara wa laki 6 ninazolipwa kama mwalimu niliyefanya kazi kwa zaidi ya miaka 10 hautoshi kabisa yaani ,watoto watatu,mke jumlisha mikopo ya bayput ,nmb,crdb,napaki na kiasi cha 200K,sasa mtu unalipwa 4M kwa mwezi mbona pesa ndefu,waje na tz, I will be the first
Tofautisha kwenda kufanya kazi na kwenda vitani. Saudi Arabia kuna vita gani?
Kumbe huna ujualo. Kwa taarifa tu nikupe huko israeli hakukaliki wanaporomoshewa rocket siyo mchezo. Jeshi la IDF ni mabingwa wa kuficha taarifa za athari za kivita. Waseme ili waonekane wameshindwa?John Israel hakuna vita,vita vipo gaza. Israel wanajenga uchumi wao huku wakiendelea kuchimbua magaidi pangoni
Kumbe huna ujualo. Kwa taarifa tu nikupe huko israeli hakukaliki wanaporomoshewa rocket siyo mchezo. Jeshi la IDF ni mabingwa wa kuficha taarifa za athari za kivita. Waseme ili waonekane wameshindwa?
Anaelia lia ni mimi au wewe? Hamas hawasaidiwi na mtu wale siyo kama IDF kabebeshwa silaha za dunia nzima kutoka marekani tena bila kificho.Kumbe sasa punguza kulia lia. Nenda kawasaidie hamas hakuna anaekukataza
Anaelia lia ni mimi au wewe? Hamas hawasaidiwi na mtu wale siyo kama IDF kabebeshwa silaha za dunia nzima kutoka marekani tena bila kificho.
IDF kamasi zinawatoka huko uwanja wa vita hawakujua mambo yangekua magumu kiasi hiki.Aliyeanza kumquote mwenzie ni mimi au wewe. Punguza kulia lia ovyo,kawasaidie hamas wasiendelee kuchimbuliwa kama panya shambani.
Too theoretical kind of economic jaggeries, ni sawa na yale maneno ya hovyo hovyo kwamba kuanzisha biasharala pesa siyo ishu halafu unakuta Mo Dewji anadaiwa na mabenki akina Bakhresa vilevile sasa unagundua kuna stori nyingi ni za kipumbavu kwenye uchumi ni sawa na aliyeandika kitabu chenye title "HOW TO FIND MONEY" halafu akakosa hela ya kuchapisha kitabu ndipo akaambiwa asome kitabu chake.Tafuta financial freedom Kwa kuwekeza na Kuwa na matumizi sahihi ya jala zako .
Paycheck to paycheck life ,ulibidi kuachana nayo baada ya Mwaka wako Wa kwanza Wa ajira.
Your problem is not about meager salary but financial intelligence
Whatever what you earn all you need is to set goals toward into financial freedom.
Bright and broke is only you looking for
mimi too ntaendaHata mimi wakija tanzania naenda,mshahara wa laki 6 ninazolipwa kama mwalimu niliyefanya kazi kwa zaidi ya miaka 10 hautoshi kabisa yaani ,watoto watatu,mke jumlisha mikopo ya bayput ,nmb,crdb,napaki na kiasi cha 200K,sasa mtu unalipwa 4M kwa mwezi mbona pesa ndefu,waje na tz, I will be the first
Hata mimi mkuu. Niunganishe nao wakija Tanzania.Hata mimi wakija tanzania naenda,mshahara wa laki 6 ninazolipwa kama mwalimu niliyefanya kazi kwa zaidi ya miaka 10 hautoshi kabisa yaani ,watoto watatu,mke jumlisha mikopo ya bayput ,nmb,crdb,napaki na kiasi cha 200K,sasa mtu unalipwa 4M kwa mwezi mbona pesa ndefu,waje na tz, I will be the first
Hujui tu ila bongo kila mwaka wanaenda vijana zaidi ya 800 huko Israel wanakaa mwaka mmoja wanrudi wanaenda wengine..Kenya inapanga Kupeleka Vijana wapatao 1,500 kuwa Vibarua wa Mashamba ua Wayahudi Kufuatia Vibarua zaidi ya 10,000 wengi wao kutoa Thailand kukimbia Vita vya Israel vs Hamas hivyo kuacha mashamba ya waloweso yakiwa hayana Vibarua.
Israel Kwa Sasa imekuwa inakimbilia Afrika ambako watu Wana shida na njaa Kali kupata Vibarua wa Mashamba Kwa kuingia makubaliano na Nchi zinazotaka kuwauza watu wake kuwa Manamba.Kenya imeungana na Malawi katika ku export Manamba bila kujalisha vita vinavyoendelea.
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1732659113245409360?t=dKV8Sq3MVESiicFRnoy9vQ&s=19
Kwa mtu mweusi utu sio kipaombele akina pesa ndio maana wakati wa biashara ya utumwa mawakala walikuwa Weusi wenzetu.
Swali.
Je Wabongo mko tayari kuwa Manamba kwenye mashamba ya Wayahudi mlipwe Ujira wa Shilingi Milioni 4?
View: https://twitter.com/BBCAfrica/status/1732724178812387367?t=3YyJH021dtzxhz1K23xAdA&s=19
Pia soma Malawi: Rais Chakwera akosolewa kwa kutuma vijana 221 wa Malawi kufanya kazi katika mashamba nchini Israel
Mkuu ukipajua nijulisheTunajiandikisha wap...
Get rich or die trying
Anaeongoza kupeleka mafeki 3 Saudia ni Kenya. Hata wanaofagia Airport Dubai ni WakenyaNyinyi kupeleka "beki tatu" Saudia sawa ila Kenya kupeleka manamba Israel inakuwa nongwa!
Rais amepata dili la maelfu ya ajira Saudia.Vijana walio tayari changamkieni fursa
Serikali ya Tanzania na Saudi Arabia zimeingia makubaliano ya kupata fursa ya Ajira Kwa Watu wanaoweza kwenda kufanya kazi Nchini huko kuanzia kazi za utaalamu hadi za usaidizi wa ndani(Uyaya) ambapo utaratibu maalumu utawekwa Ili kuratibu Kwa watakaopenda kwenda kufanya kazi huko. Hii inakuja...www.jamiiforums.com
Wanaenda training ya masomo sio kuwa manambaHujui tu ila bongo kila mwaka wanaenda vijana zaidi ya 800 huko Israel wanakaa mwaka mmoja wanrudi wanaenda wengine..
Chuo cha Sua kina program hii pia.