Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Ndio maana yake wewe uliwahi kuona watu wanalima kwenye uwanja wa vita?So wananunua raia wakasaidie kupigana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana yake wewe uliwahi kuona watu wanalima kwenye uwanja wa vita?So wananunua raia wakasaidie kupigana.
Unajua sheria gani za vita wewe? Hao mabwana zako wanaoua watoto wanapiga hospitali na kutumia gesi za sumu ndio wanajua sheria za vita? Kenge mmojaSheria za vita huzijui ndyo maana unaongea kama mjinga
Kwa sisi Wavivu wa kulima tufunike kombe mwanaharamu apite!
hapo sawa mkuuKilimo ni cha kisasa kwa kutumia zana na mashine. Pia kilimo cha horticulture kuvuna siyo kazi ngumu bila kusahau ufugaji wa kisasa.
Siyo kila mtu anawezaTafuta financial freedom Kwa kuwekeza na Kuwa na matumizi sahihi ya jala zako .
Paycheck to paycheck life ,ulibidi kuachana nayo baada ya Mwaka wako Wa kwanza Wa ajira.
Your problem is not about meager salary but financial intelligence
Whatever what you earn all you need is to set goals toward into financial freedom.
Bright and broke is only you looking for
Kumbe Manamba na watumwa ambao mko tayari kuuzwa mko wengi hivi? 😁😁
Kwenye ziara ya juzi huko Dubai Kuna Manamba wanahitajika
View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1730500306193010744?t=W7VQ_dYllP-bUcI0bPu5vg&s=19
Unajua sheria gani za vita wewe? Hao mabwana zako wanaoua watoto wanapiga hospitali na kutumia gesi za sumu ndio wanajua sheria za vita? Kenge mmoja
Haiwezekani ku take risk ya kuwapeleka wananchi wako eneo la vita huko wenzao wamekimbia wao wanapeleka raia wao. Serikali ya Kenya imewachoka raia wake ila uchunguzi ufanyike inawezekana wanaenda kupigana upande wa israeli hao.
Tofautisha kwenda kufanya kazi na kwenda vitani. Saudi Arabia kuna vita gani?
Tofautisha kwenda kufanya kazi na kwenda vitani. Saudi Arabia kuna vita gani?
Kumbe huna ujualo. Kwa taarifa tu nikupe huko israeli hakukaliki wanaporomoshewa rocket siyo mchezo. Jeshi la IDF ni mabingwa wa kuficha taarifa za athari za kivita. Waseme ili waonekane wameshindwa?
Hao ni hamas political bureau ndio kazi yao kuongelea siasa. Hamas military hawana muda wa kuongea siasaIla Hamas hawako biased...? Kweli ukipenda kengeza......! Angalia kwa nini wanailalamikia Marekani kuzuia vita isitishwe UN? Kama wanailiza Israel kama unavyosema wasingepiga hii kelele ya malalamiko...!
Hamas says US veto blocking Gaza ceasefire 'unethical and inhumane'
By REUTERSDECEMBER 9, 2023 01:17
Hamas strongly condemns the US veto that blocked a proposed United Nations Security Council demand for an immediate humanitarian ceasefire in Gaza, a senior Hamas official said late on Friday in an official statement, saying that the group considers Washington's move "unethical and inhumane."
"The US obstruction of the issuance of a ceasefire resolution is a direct participation with the occupation in killing our people and committing more massacres and ethnic cleansing," Ezzat El-Reshiq, a member of the terrorist group's political bureau, said.
Malalamiko ya nini sasa? Acha mapigano yaendelee ili kuwamaliza Mazayuni...
Wewe uliwahi kuona wapi watu wanalima mashamba kwenye uwanja wa vita? Unadhani utaambiwa wazi kuwa unakwenda vitani? Israeli inatumia ujinga wenu watu weusi kwenda kupigana upande wake .si kulikua na wafanyakazi wa mashambani wahindi na wathailand unadhani kwanini wao wamekimbia? Tumia bichwa lako vizuri kufikiri..Wewe ni more informed kuliko raia wa Kenya? Kumbuka kuwa wafanyazi wa kazi za mashamba Israel ni Wapelestina, Israel imesitisha ajira zao.
Kenya is set to send 1,500 farm workers to Israel, according to the country's labour ministry. This move follows Malawi sending 221 workers to Israel, which faced criticism.
The casual labourers will work on three-year renewable contracts, ensuring a net monthly income of $1,500 (£1,195).
Israel, grappling with a significant farm labour shortage, has turned to Africa for assistance, with over 10,000 migrant workers, mainly from Thailand, leaving since the conflict with Hamas began in October. Palestinian workers, constituting nearly 20% of the agricultural labour force, have been barred.
To address the shortfall, Israel plans to recruit farm workers from Uganda, with recruitment already underway in Tanzania. The shortage is attributed to around 360,000 Israeli reservists called up for military service since the conflict's onset. Israel's agriculture ministry states a need for 30-40,000 farm workers.
The announcement has sparked mixed reactions in Kenya, with concerns raised about worker safety. Critics question the conditions workers may face in Israel, referencing past reports of unsafe practices and unsanitary living conditions.
However, supporters argue that the deal provides crucial employment opportunities amid Kenya's unemployment crisis, with a 5.5% unemployment rate according to the World Bank.
Israel's ambassador in Kenya, Michael Lotem, assures that measures are in place to ensure fair treatment of foreign workers, allowing them to file complaints that will be promptly addressed.
Additional sources • BBC
Sina shida na kwenda kufanya kazi nje ya nchi lakini nina uhakika Israeli anatafuta mamluki wa kwenda kusaidia kupigana vita kati yake na Hamas. Tena Kenya wasikurupuke raia wao watakwenda kuchinjwa kama kuku. Israeli siyo mahala salama kufanya kazi kwa sasa wewe uliwahi kuona wapi watu wanalima kwenye uwanja wa vita?Si Roberts:
Una hakika mkuu? Au unaandikia jazba? Wale wa Philipino wamerudi makwao, katika mahojiano yao waliporudi nyumbani, wamesema wanataka kurudi tena! Wanachokipata Israeli ni bora mara elfu na ukosaji wa kazi nyumbani! Soko la ajira nchi nyingi, hata kwa majirani zetu Kenya/Malawi ni kubwa mno! Kama hali ya uchumi isipobadilika, miaka michache ijayo kinachotokea Malawi na Kenya, kitatokea Tanzania.
Mkuu mbona unachanganya mambo? Askari kwenda kulinda usalama Haiti ni sawa kwa sababu kule hakuna usalama ndio kazi ya askari kulinda usalama. Sasa unampeleka mtu ambaye hajawahi kushika hata bunduki eti akafanye kazi kwenye shamba ambalo rocket zinapita juu yake hivi hapo kuna kilimo? Tafadhali nielewe sikatazi watu kufanya kazi nje ya nchi lakini Israeli haitafuti wafanyakazi inatafuta watu wa kwenda kupigana na Hamas.Serikali ya Kenya imeanza kupeleka raia wake kufanya kazi nje leo? Haiti ni mahali pagumu sana, lakini Kenya bado inataka kupeleka Askari wake kulinda amani?!
Serikali inayojali raia wake haiwezi kuwapeleka kufanya kazi kwenye mashamba yaliyopo vitani.Hii issue hata si ya kuwacheka wakenya,serikali yetu nayo ijitose kuwaombea watanzania na wenyewe wapate hiyo ajira,m 4 kwa mwezi kama wanapewa sehemu ya kulala na chakula free itawalipa kimtindo