Kenya kama Malawi, wapanga kupeleka vibarua wa Mashamba ya Israel kwa ujira wa Ksh. 228,000 (4,000,000Tsh)

Tafuta financial freedom Kwa kuwekeza na Kuwa na matumizi sahihi ya jala zako .

Paycheck to paycheck life ,ulibidi kuachana nayo baada ya Mwaka wako Wa kwanza Wa ajira.

Your problem is not about meager salary but financial intelligence

Whatever what you earn all you need is to set goals toward into financial freedom.

Bright and broke is only you looking for
Siyo kila mtu anaweza
 
Unajua sheria gani za vita wewe? Hao mabwana zako wanaoua watoto wanapiga hospitali na kutumia gesi za sumu ndio wanajua sheria za vita? Kenge mmoja

Sir Roberts

Mbona umejibu kwa jazba mkuu? Sheria za vita ni nadharia tu! Huwa zinaandikwa wakati wa amani! Ukiisha amua kutumia vita kutimiza azma yako ujue kabisa uko tayari kutumia njia yoyote ile! Ndio maana umeona HAMAS walitumia mbinu ipi October 7! Na Ghazi Hamad mmojawapo wa viongozi wa Hamas, alisema wazi, wakipata nafasi watarudia tena na tena walichokifanya October 7! Sishangai kabisa mbinu wanazotumia Hamas, Boko Haram na vikundi kama hivyo! Sidhani kama sheria za vita zinapewa kipaumbele! Naamini kabisa na kama tunavyoona Israel wanatumia sheria za vita pale zinapowaafaa wao! Kama wakizifuata hawataweza kabisa kufanya wanachotaka kufanya Gaza.!

In short wote Israel na Hamas hakuna anayefuta sheria za vita!
 
Haiwezekani ku take risk ya kuwapeleka wananchi wako eneo la vita huko wenzao wamekimbia wao wanapeleka raia wao. Serikali ya Kenya imewachoka raia wake ila uchunguzi ufanyike inawezekana wanaenda kupigana upande wa israeli hao.

Serikali ya Kenya imeanza kupeleka raia wake kufanya kazi nje leo? Haiti ni mahali pagumu sana, lakini Kenya bado inataka kupeleka Askari wake kulinda amani?!
 
Tofautisha kwenda kufanya kazi na kwenda vitani. Saudi Arabia kuna vita gani?

Si Roberts:

Una hakika mkuu? Au unaandikia jazba? Wale wa Philipino wamerudi makwao, katika mahojiano yao waliporudi nyumbani, wamesema wanataka kurudi tena! Wanachokipata Israeli ni bora mara elfu na ukosaji wa kazi nyumbani! Soko la ajira nchi nyingi, hata kwa majirani zetu Kenya/Malawi ni kubwa mno! Kama hali ya uchumi isipobadilika, miaka michache ijayo kinachotokea Malawi na Kenya, kitatokea Tanzania.
 
Wewe ni more informed kuliko raia wa Kenya? Kumbuka kuwa wafanyazi wa kazi za mashamba Israel ni Wapelestina, Israel imesitisha ajira zao.

Kenya is set to send 1,500 farm workers to Israel, according to the country's labour ministry. This move follows Malawi sending 221 workers to Israel, which faced criticism.

The casual labourers will work on three-year renewable contracts, ensuring a net monthly income of $1,500 (£1,195).

Israel, grappling with a significant farm labour shortage, has turned to Africa for assistance, with over 10,000 migrant workers, mainly from Thailand, leaving since the conflict with Hamas began in October. Palestinian workers, constituting nearly 20% of the agricultural labour force, have been barred.

To address the shortfall, Israel plans to recruit farm workers from Uganda, with recruitment already underway in Tanzania. The shortage is attributed to around 360,000 Israeli reservists called up for military service since the conflict's onset. Israel's agriculture ministry states a need for 30-40,000 farm workers.

The announcement has sparked mixed reactions in Kenya, with concerns raised about worker safety. Critics question the conditions workers may face in Israel, referencing past reports of unsafe practices and unsanitary living conditions.

However, supporters argue that the deal provides crucial employment opportunities amid Kenya's unemployment crisis, with a 5.5% unemployment rate according to the World Bank.

Israel's ambassador in Kenya, Michael Lotem, assures that measures are in place to ensure fair treatment of foreign workers, allowing them to file complaints that will be promptly addressed.

Additional sources • BBC
 
Kumbe huna ujualo. Kwa taarifa tu nikupe huko israeli hakukaliki wanaporomoshewa rocket siyo mchezo. Jeshi la IDF ni mabingwa wa kuficha taarifa za athari za kivita. Waseme ili waonekane wameshindwa?

Ila Hamas hawako biased...? Kweli ukipenda kengeza......! Angalia kwa nini wanailalamikia Marekani kuzuia vita isitishwe UN? Kama wanailiza Israel kama unavyosema wasingepiga hii kelele ya malalamiko...!

Hamas says US veto blocking Gaza ceasefire 'unethical and inhumane'​

By REUTERSDECEMBER 9, 2023 01:17
Hamas strongly condemns the US veto that blocked a proposed United Nations Security Council demand for an immediate humanitarian ceasefire in Gaza, a senior Hamas official said late on Friday in an official statement, saying that the group considers Washington's move "unethical and inhumane."

"The US obstruction of the issuance of a ceasefire resolution is a direct participation with the occupation in killing our people and committing more massacres and ethnic cleansing," Ezzat El-Reshiq, a member of the terrorist group's political bureau, said.

Malalamiko ya nini sasa? Acha mapigano yaendelee ili kuwamaliza Mazayuni...
 
Serikali ingeruhusu vijana wake wakafanye kazi nje ingepata pesa nyingi sana za kigeni.
Leo inawazuia wadada wasiende kufanya kazi uarabuni eti wanateswa,kwani hapa ndani hawateswi?
Mtu Mmoja tu kashiba amelala kwenye kiyoyozi hajui shida ya ajira anajiamulia tu watu hakuna kwenda nje kufanya kazi.
 
Ila Hamas hawako biased...? Kweli ukipenda kengeza......! Angalia kwa nini wanailalamikia Marekani kuzuia vita isitishwe UN? Kama wanailiza Israel kama unavyosema wasingepiga hii kelele ya malalamiko...!

Hamas says US veto blocking Gaza ceasefire 'unethical and inhumane'​

By REUTERSDECEMBER 9, 2023 01:17
  • Email
  • Twitter
  • Facebook
  • fb-messenger
Hamas strongly condemns the US veto that blocked a proposed United Nations Security Council demand for an immediate humanitarian ceasefire in Gaza, a senior Hamas official said late on Friday in an official statement, saying that the group considers Washington's move "unethical and inhumane."

"The US obstruction of the issuance of a ceasefire resolution is a direct participation with the occupation in killing our people and committing more massacres and ethnic cleansing," Ezzat El-Reshiq, a member of the terrorist group's political bureau, said.

Malalamiko ya nini sasa? Acha mapigano yaendelee ili kuwamaliza Mazayuni...
Hao ni hamas political bureau ndio kazi yao kuongelea siasa. Hamas military hawana muda wa kuongea siasa
 
Wewe ni more informed kuliko raia wa Kenya? Kumbuka kuwa wafanyazi wa kazi za mashamba Israel ni Wapelestina, Israel imesitisha ajira zao.

Kenya is set to send 1,500 farm workers to Israel, according to the country's labour ministry. This move follows Malawi sending 221 workers to Israel, which faced criticism.

The casual labourers will work on three-year renewable contracts, ensuring a net monthly income of $1,500 (£1,195).

Israel, grappling with a significant farm labour shortage, has turned to Africa for assistance, with over 10,000 migrant workers, mainly from Thailand, leaving since the conflict with Hamas began in October. Palestinian workers, constituting nearly 20% of the agricultural labour force, have been barred.

To address the shortfall, Israel plans to recruit farm workers from Uganda, with recruitment already underway in Tanzania. The shortage is attributed to around 360,000 Israeli reservists called up for military service since the conflict's onset. Israel's agriculture ministry states a need for 30-40,000 farm workers.

The announcement has sparked mixed reactions in Kenya, with concerns raised about worker safety. Critics question the conditions workers may face in Israel, referencing past reports of unsafe practices and unsanitary living conditions.

However, supporters argue that the deal provides crucial employment opportunities amid Kenya's unemployment crisis, with a 5.5% unemployment rate according to the World Bank.

Israel's ambassador in Kenya, Michael Lotem, assures that measures are in place to ensure fair treatment of foreign workers, allowing them to file complaints that will be promptly addressed.

Additional sources • BBC
Wewe uliwahi kuona wapi watu wanalima mashamba kwenye uwanja wa vita? Unadhani utaambiwa wazi kuwa unakwenda vitani? Israeli inatumia ujinga wenu watu weusi kwenda kupigana upande wake .si kulikua na wafanyakazi wa mashambani wahindi na wathailand unadhani kwanini wao wamekimbia? Tumia bichwa lako vizuri kufikiri..
 
Si Roberts:

Una hakika mkuu? Au unaandikia jazba? Wale wa Philipino wamerudi makwao, katika mahojiano yao waliporudi nyumbani, wamesema wanataka kurudi tena! Wanachokipata Israeli ni bora mara elfu na ukosaji wa kazi nyumbani! Soko la ajira nchi nyingi, hata kwa majirani zetu Kenya/Malawi ni kubwa mno! Kama hali ya uchumi isipobadilika, miaka michache ijayo kinachotokea Malawi na Kenya, kitatokea Tanzania.
Sina shida na kwenda kufanya kazi nje ya nchi lakini nina uhakika Israeli anatafuta mamluki wa kwenda kusaidia kupigana vita kati yake na Hamas. Tena Kenya wasikurupuke raia wao watakwenda kuchinjwa kama kuku. Israeli siyo mahala salama kufanya kazi kwa sasa wewe uliwahi kuona wapi watu wanalima kwenye uwanja wa vita?
 
Serikali ya Kenya imeanza kupeleka raia wake kufanya kazi nje leo? Haiti ni mahali pagumu sana, lakini Kenya bado inataka kupeleka Askari wake kulinda amani?!
Mkuu mbona unachanganya mambo? Askari kwenda kulinda usalama Haiti ni sawa kwa sababu kule hakuna usalama ndio kazi ya askari kulinda usalama. Sasa unampeleka mtu ambaye hajawahi kushika hata bunduki eti akafanye kazi kwenye shamba ambalo rocket zinapita juu yake hivi hapo kuna kilimo? Tafadhali nielewe sikatazi watu kufanya kazi nje ya nchi lakini Israeli haitafuti wafanyakazi inatafuta watu wa kwenda kupigana na Hamas.
 
Hii issue hata si ya kuwacheka wakenya,serikali yetu nayo ijitose kuwaombea watanzania na wenyewe wapate hiyo ajira,m 4 kwa mwezi kama wanapewa sehemu ya kulala na chakula free itawalipa kimtindo
Serikali inayojali raia wake haiwezi kuwapeleka kufanya kazi kwenye mashamba yaliyopo vitani.
 
Back
Top Bottom