Mudawote
JF-Expert Member
- Jul 10, 2013
- 11,612
- 16,189
Great thinkers,
Nadhani kila mmoja sasa anaelewa kwamba Vyama vya Upinzani havifai kabisa kupewa kuongoza nchi. Kenya mwanzo wakachagua wapinzani, baadaye wapinzani wakagombea madaraka mpaka kuuana, wakaamua kumchagua Uhuru Kenyata kwa kusema “turudi nyumbani kumenoga”.
Kwa hilo somo Watanzania hakika ni waelewa na ndiyo maana CCM imeendelea kushinda kuongoza dola kila uchaguzi na itaendelea na zaidi na zaidi.
NB: Kenya chini ya Kenyata ni KANU kwa jina lingine