Kenya KANU ndiyo ipo madarakani, Upinzani Afrika bado sana

Kenya KANU ndiyo ipo madarakani, Upinzani Afrika bado sana

Membe mwaka atashinda Uraisi kupitia upinzani hivyo CCM itakuwa madarakani musiogope kumtangaza kama munavyoogopa kumtangaza CCM mwenzenu Maalim Seifu kule Zanzibar. MATAGA hamka kutoka usingizini.

Membe na wanamtandao wenzake ndio walifanya ccm ikachukiwa kila kona ya nchi hii. Hatutarajii upinzani mwaka huu kurudia kosa kama lililofanywa na ukawa 2015.

Kusema upo radhi kuungana hata na shetani ili mradi ccm itoke, kama alivyosema lisu 2015, ni lugha wanayoielewa wapumbavu tu. He is lucky Tanzania is not short of fools.
 
Kenya wameruhusu demokrasia,hata kama ni wale wale,lakini demokrasia na haki za binadamu zikiwemo uhuru wa vyombo vya habari,siasa za kistaarabu na uhuru wa kujieleza. Malawi wamestaarabika kuliko sisi.
Kikwete alijitahidi sana kutustarabisha kama nchi sema akaingia hasira mwishoni akatuletea msiba mzito toka usukumani huko. Naamini hata yeye anajuta.
 
Back
Top Bottom