Naona hufahamu siasa za Kenya, Moi aliachiwa KANU yake, wakikuyu walijitoa na wajaluo walijitoa so NARC na ODM ndio zikaiua KANU maana Luo na Kikuyu ndio moja ya makabila makubwa zaidi kenya.NB: Kenya chini ya Kenyata ni KANU ktk jina lingine
Mkuu kwani Uhuru Kenyata na KANU ya Mzee Kenyata si ni walewale? Yaani wakenya waliamua kurudisha KANU kwa njia yingine.Naona hufahamu siasa za Kenya, Moi aliachiwa KANU yake, wakikuyu walijitoa na wajaluo walijitoa so ANC na ODM ndio zikaiua KANU maana Luo na Kikuyu ndio moja ya makabila makubwa zaidi kenya.
KANU ikabaki kwa wakalenjin tu ambapo mpka leo bado KANU ipo na ipo chini ya mtoto wa Moi anaitwa Gideon na ina County Moja na wabunge possibly 5 kwahiyo si kweli Kenyatta ni KANU mpya bali KANU ilikataliwa ukiongezea na ukabila ndio ikazikwa kabisa!! So is CCM the same fate is bound to strike again
Hapana Uhuru Kenyatta aligombea URAIS kupitia KANU mwaka 2002 ila aliambulia 20% pekee. Ila alipoamua kwenda upinzani ndio akapewa Urais ila angebaki KANU Urais angeusikia kwenye bomba. Kwahiyo sio sawa kufungamanisha Kenyatta na KANU.Mkuu kwani Uhuru Kenyata na KANU ya Mzee Kenyata si ni walewale? Yaani wakenya waliamua kurudisha KANU kwa njia yingine.
Kama aligombea kupitia KANU basi ni mwana KANU, na kanywa maji ya KANU, na baba yake ni muasisi wa KANU, aliishi na kulelewa KANU.Hapana Uhuru Kenyatta aligombea URAIS kupitia KANU mwaka 2002 ila aliambulia 20% pekee. Ila alipoamua kwenda upinzani ndio akapewa Urais ila angebaki KANU Urais angeusikia kwenye bomba. Kwahiyo sio sawa kufungamanisha Kenyatta na KANU.
Umeandika kama mabishano ya wanafunzi wa shule ya msingi.Great thinkers,
Nadhani kila mmoja sasa anaelewa kwamba Vyama vya Upinzani havifai kabisa kupewa kuongoza nchi. Kenya mwanzo wakachagua wapinzani, baadaye wapinzani wakagombea madaraka mpaka kuuana, wakaamua kumchagua Uhuru Kenyata kwa kusema “turudi nyumbani kumenoga”.
Kwa hilo somo Watanzania hakika ni waelewa na ndiyo maana CCM imeendelea kushinda kuongoza dola kila uchaguzi na itaendelea na zaidi na zaidi.
NB: Kenya chini ya Kenyata ni KANU kwa jina lingine
CCM=Uzwazwa.Kwamba Kenyatta Uhuru chama chake ni KANU?Mkuu kwani Uhuru Kenyata na KANU ya Mzee Kenyata si ni walewale? Yaani wakenya waliamua kurudisha KANU kwa njia yingine.
Leta hoja acha porojoCCM=Uzwazwa.Kwamba Kenyatta Uhuru chama chake ni KANU?
Halafu Watanzania aliyeturoga alishakufa Sasa tufanye tu maombi ya kufunga 24. Hours Ili tutoke kwenye ujinga huu Kama wa mtoa mada.Kwa Nini hata usigoogle au unatumia freebasics?
Kama aligombea kupitia KANU basi ni mwana KANU, na kanywa maji ya KANU, na baba yake ni muasisi wa KANU, aliishi na kulelewa KANU.
Kama aligombea kupitia KANU basi ni mwana KANU, na kanywa maji ya KANU, na baba yake ni muasisi wa KANU, aliishi na kulelewa KANU.
CCM MileleGreat thinkers,
Nadhani kila mmoja sasa anaelewa kwamba Vyama vya Upinzani havifai kabisa kupewa kuongoza nchi. Kenya mwanzo wakachagua wapinzani, baadaye wapinzani wakagombea madaraka mpaka kuuana, wakaamua kumchagua Uhuru Kenyata kwa kusema “turudi nyumbani kumenoga”.
Kwa hilo somo Watanzania hakika ni waelewa na ndiyo maana CCM imeendelea kushinda kuongoza dola kila uchaguzi na itaendelea na zaidi na zaidi.
NB: Kenya chini ya Kenyata ni KANU kwa jina lingine
Ninachosema KANU bado ipo madarakani
Hoja yako no Invalid maana Kenyatta Uhuru sio wa KANU Sasa tujadili Nini tena?Leta hoja acha porojo