Kenya wameruhusu demokrasia,hata kama ni wale wale,lakini demokrasia na haki za binadamu zikiwemo uhuru wa vyombo vya habari,siasa za kistaarabu na uhuru wa kujieleza. Malawi wamestaarabika kuliko sisi.
Kikwete alijitahidi sana kutustarabisha kama nchi sema akaingia hasira mwishoni akatuletea msiba mzito toka usukumani huko. Naamini hata yeye anajuta.