MeinKempf
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 11,093
- 7,229
Kwahiyo Odinga ameshinda hoja yake kuwa mfumo wa computer za tume ulipigwa changa la macho na hacker's...??
Wajua naona kama naota vile, aisee wakenya akili kubwa EAC yote kitaamluma, kidemokrasia, kiuchumi, etc.
Aisee Kenya mahakama zao ziko more advanced kuliko zote EAC. The court ruling imeonekana ikitendeka. Kaimu jaji umeona wenzako wanavyosimamia professionalism?? Jaji kasema uchaguzi ulikuwa " null, void and invalid "ahaaa
Waangalizi wa kimataifa aibu yao.
Natamani na mahakama za bongo zifanye reform ya mfumo wake, aisee Tundu Lissu na TLS mna cha kujifunza kutoka Kenya.
Jecha na Maalimu seif mmeona wenzenu??
NB: ulinzi kwa chief jaji uimarishwe Mara dufu maana kafanya maamuzi magumu kwa niaba ya Uhuru wa demokrasia , wasije waka "msando " bure jaji huyo kama yule mkuu wa IT wa tume ya Kenya.