Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Live coverage ya Hukumu inayoendelea.Ni kweli kabisa Uchaguzi unarudiwa.Mahakama kuu nchini Kenya imetengua matokeo ya uchaguzi wa raisi hivyo uchaguzi utarudiwa tena ndani ya siku 60 kwa mujibu wa katiba
1.Uchaguzi haukufanyika kwa taratibu zote zilizotakiwa kulingana na Katiba
2. Utaratibu haukufuatwa katika usafirishaji wa matokeo
3. Kulikuwa na kasoro kadhaa za uchaguzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakenya wanajielewa. Ndilo Taifa kubwa Afrika Mashariki kiuchumi, kidemokrasia pengine hata kitaaluma.