KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

Mwenyezi Mungu na akuzindue uijue HAKI uweze kuifuata na uijue BATILI uweze kuiepuka.Baraka za Eid zikufikie!!
 
Hakika natamani ningekuwa mkenya hivi kwa nini Kilimanjaro haikuwa eneo la kenya
Mko mbele sana kwa kweli
Demokrasia mko juu
Mahakama ina uhuru Mkubwa
Hongereni sana wakenya
 


Huuuuuh huuuuuh huuuh.

Kenyatta is a thief.

Once a thief always a thief.
 
Kimantiki hawajakosea pahala popote. Ni kweli kwamba uchaguzi ulikuwa huru na wa haki.. wao hawakusimamia zoezi la kuhesabu kura kwa hiyo tatizo liko kwa Tume kuhusu utoaji matokeo...


Sent using Jamii Forums mobile app


Ni sawa kabisa mkuu. Waangalizi wao hawahusiki na mambo ya ku-process matokeo. Hata kwenye submission ya NASA hakuna mahali popote waliposema upigaji wa kura ulikuwa na matatatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…