KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

Mleta mada ni mpotoshaji. Wakati IEBC ilimtangaza Uhuru kama mshindi, ZEC haikumtangaza Maalim Seif kama mshindi. Wakati ni Supreme Court imetengua ushindi wa Uhuru, Zanzibar bila Jecha kuwa na mamlaka kikatiba - alifuta uchaguzi mzima, sio wa Rais tu bali na wabunge wa Zanzibar.

Mambo haya hayafanani. Kilicho kizuri ni kuwa umepata nafasi ya kujifunza na kuzitambua tofauti. Ila unafiki punguza au ondoa kabisa.
 
Mbona nilimsikia jaji Lubuva ambae alikua mwangalizi kule akidai uchaguzi ulikua huru na haki?
 
Heko Kenya kwa kuonyesha njia.nashauri Mwenyekiti wa tume na cabinet yake yote ijiuzuru na iundwe tume mpya.Naimani mmeonyesha njia na wengine tufuate.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao majaji hopefully hawajatoa maamuzi kiukabila. Certainly Njokii na Ojwang' ni wakikiyu. Hao waliona uchaguzi ulikiwa wa haki.
 
[emoji53]
 

Attachments

  • IMG_20170901_140017_427.jpg
    17.5 KB · Views: 32
[emoji53]
 

Attachments

  • IMG_20170901_140127_543.jpg
    52 KB · Views: 30
[emoji53]
 

Attachments

  • IMG_20170901_140209_762.jpg
    48.7 KB · Views: 31
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…