KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

The Supreme Court has quashed President Uhuru Kenyatta's re-election, ordering for a fresh presidential election in 60 days.

The court stated that IEBC did not conduct free and fair elections but cleared Kenyatta of any malpractice.

They also stated that the irregularities experienced affected the final outcome of the election.

Out of the 7 judges, 2 (Justice Jackton Ojwang' and Njoki Ndung'u) gave dissenting views saying the election was free and fair.

Chief Justice David Maraga, however, stated that what they read was a 'determination of the court and not a ruling'.

Maraga stated that the election of President Uhuru Kenyatta is null and void and he was not validly elected.

He further ordered a fresh election in 60 days according to the law.

WENYE UELEWA WA KISHERIA HII STATEMENT INAMAANISHA NINI INAYOSEMA
"Chief Justice David Maraga, however, stated that what they read was a 'determination of the court and not a ruling"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashauri tuchucopy katiba ya kenya na kuipaste tanzania.....

Ushindi wa kesi ni matokeo ya katiba mpya iliyompunguzia rais uwezo wa kuchagua majaji wakuu...wakuu wa police na idara nyingine nyeti....!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
.
Hakika! Hapa kwetu kuna kamungu mtu na kanapenda sana ibada.
Kenya wamethubutu na la msingi kuangalia ktk uchaguzi wa Kenya ni heshima iliyotukuka katika kuheshimu demokrasia. Hapa kwetu hadi leo hatuna hata jaji mkuu sembuse uhuru wa kuheshimika kwa huu mhimili?
Kenyataa hakya nani wewe ni roll modal wangu baada ya Bwana Yesu kristo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona mange tena amepata kibarua hewa cha kuendesha kampeni hewa.
 
On contrary! Zanzibar tume ilikuwa haijamtangaza Seifu na kumpa hati kama mshindi, secondly mahakama Kenya haijasema matokeo yalidukuliwa imesema kulikua na some irregularities kwa maafisa wa tume katika retirement forms thirdly iliyobatirisha matokeo ni mahaka sio tume unlike jecha inperson alivotengua and lastly kama kungekuwa na usikilizwaji wa matokeo ya uchaguzi, magufuli asingekuwa magogoni!
 
Hakuna kiongozi nitakayemheshimu maisha yangu yote kama Kenyatta kwa kweli anajua maana ya separation of power.Hajakosea kwa hili alilolifanya naamini atashinda kwenye hayo marudio ya uchaguzi.

Sent using Jamii Forums mobile app

This is a well calculated move by the State to devitalize calls for secession and place NASA in an awkward position to discredit yet another sham election to be held after 60 days.

Killing two birds with one stone!

Usishabikie Ujinga!
 
Irregularities kwako maana yake nini?? Udukuzi ni moja ya irregularities.
 
HHama kweli, demokrasia ya Kenya imekomaa. Hizi ni dalili za kukuwa kwa demokrasia na siasi barani Africa
 
Nilifikiri kama wewe kabla ya kuusoma huu uzi..

Maajabu ni kwamba mleta uzi amemaanisha kabisa..

Ukweli usiofichika ni kwamba baadhi ya wapiga debe wa CCM mitandaoni ni sifuri kwelikweli..
 
Uchaguzi wa kenya ni somo zuri kwa nchi zingine zinazoegemea kwenye tume huru ya uchaguzi. Muhimu zaidi ni je Tume huru inaruhusu kuhojiwa? Kuangaliwa na chombo huru kingine?
Lakini sheria kama zetu zinasema Tume ikitangaza matokeo hakuna chombo chochote chenye mamlaka ya kuhoji, wala kuchungulia uhuru uliotumika ktk mchakato wa uchaguzi. Sasa Tume yenyewe ina watu wachache, walioteuliwa na anaekuwa mgombea pia, lakini wengi wao ni watu waliokuwa wamestaafu kazi. Kutarajia mtu huyo kuwa huru ni miujiza ya mwenyezi Mungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukiwa na dhamira ya dhati yawezekana....

Tatizo ni Mfumo tulionao hauko tayari kwa Katiba Mpya ..achilia mbali Tume Huru ya Uchaguzi...

Hawako tayari kwa Marekebisho yoyote ambayo wanaona yataleta mabadiliko ya Kweli...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakubaliana nawe. Suala la kuruhusu kuhojiwa na taasisis myingine tena ambayo nayo iko huru ni jambo la muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…