KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

Uchaguzi ambao haukufuata masharti ya Katiba uliibiwa. Na by definition, mwizi wa uchaguzi ndiye hutangazwa mshindi wa uchaguzi.
Unadhani hajui.....! Anajitoa ufahamu tu.
 
Yaani hapo sasa odinga ndio anamalizwa kabisa kwani akishindwa sasa Sijui atakimbilia wapi ila hongeleni kenya kwa kudumisha amani na kutenda haki kwa mahakama kama walivyoona wahusika
 
1. Big up to Supreme Court
2. Big up to Uhuru Kenyatta, and Raila Odinga.
3. For the first time in the world, Kenya from "dark continent" shone a light concerning with separation of power and rule of law.
4. I would like to hear views from Yoweri Kaguta Museven (Uganda), Dr. Shein ( Zanzibar), Kabila - DRC, etc
 
IMG-20170901-WA0016.jpg
 
Kalamaganda Kabudi na longo longo zito kuhusu katiba mpya.

 
from EATV
“Hatupo vitani na kaka zetu, nyinyi mjipange na sisi tunajipanga, tuko tayari kurudi kuongea na wakenya kuwaambia yale tunataka kufanya, tafadhali acheni ukabila, acheni utengano uzeni sera mshindane na zetu, acha Wakenya waamue, watu 6 hawawezi badilisha nia ya wananchi milioni 40, Wakenya ndio wataamua “, alisema Uhuru Kenyatta.

“Na tena Wakenya wenzangu nasema amani, jirani yako atabaki kuwa jirani yako, tupo tayari kurudi kwa wananchi na ajenda hiyo hiyo tuliyo wapelekea watu wetu ya kujenga umoja wa nchi yetu, sisi ni kitu kimoja, sisi ni jamii ambayo inaitwa Wakenya na hivyo ndivyo itakuwa”, alisema Uhuru Kenyatta

Nimependa sana maneno ya Uhuru
 
muwakilishi wa uhuru kenyatta kwa upande wa JF ndg MK254, pole sana kwa yaliyotokea....ila hakuna namna,mahakama ya upeo(supreme court) imeshaamua.

kutaneni tena kwa debe tarehe 31 october au tarehe 1 november.

twawatakia amani katika kipindi chote cha kuelekea duru ya pili ya uchaguzi.

Hehehe!! Mimi sio muwakilishi wa Uhuru Kenyatta popote pale, ni haki yangu kumchagua rais nimtakaye kama jinsi ilivyo kwa wenzetu wanaomfagilia Raila. Japo cha msingi, Kenya kwanza.... bendera yetu na uzalendo ndio vitu vya msingi kwangu, mengine ni mapito tu. Fuata tamko langu huku Tupunguze mipovu na kuwa watulivu, huu ushindani ni wetu sote
 
Engineer levi Devin


Huuuuuh huuuuuh huuuuuh this kind of bubbles belongs to a Kikuyu and not other wise!! I am bringing my clothes so as may wash them by that bubbles from your lips/mouth.

Kenyatta must go, Jubilee Must go.

Kenyatta is a thief, Once a thief always a thief.
 
Wakuu Salaam
Kama Afrika naona tunasonga mbele na kuheshimu maamuzi ya vyombo vyetu mzee wetu jecha alionyesha njia kua uchaguzi wenye dosari ufutwe na kenya wameiga sio kukalia kimya kitu chenye dosari.

Sent using Jamii Forums mobile app


Wale waliofuta matokeo ya mnyonge hawakutangaza mshindi Zanzibar , walifuta uchaguzi sio matokeo ya uchaguzi, Kenya wamefuta matokeo ya uchaguzi. Kenya mahakama ya juu ndio imetoa haki dhidi ya tume ya uchaguzi na mshindi, Zanzibar time ya uchaguzi ndio iliondoa uchaguzi ili matokeo yasiyoganana na waliyoyataka yasitoke...wenye akili ndogo watajua vinafanana
 
Habari zenu.
Moja kwa moja kama nilivyosema ktk kichwa cha habari. Uhuru Kenyatta atashinda tena uchaguzi ijao dhidi Raila Odinga.
Endapo watu wengi wa Odinga wataenda kupiga kura basi atashinda ila tatizo nililoliona ni watu wengi wa Odinga wamechukulia maamuzi ya mahakama leo kama ushindi kwao na kupelekea ktk uchaguzi wenyewe kuwa wachache wakiamini wameshashinda.
Hapa ndo Odinga atakaposhindwa!
 
Raila hakutarajia atashinda mahakamani leo. Gameplan yake ilikuwa kupigania nusu mkate.

Ukweli ni kuwa ushindi wa Uhuru mara ya pili utakuwa wa kishindo.

Matokeo itakuwa kama ya kule Austria mwaka huu. Upinzani ulishindwa, ukaenda mahakamani, mahakama ikaamuru runoff.

Huu huu upinzani ulishindwa tena kwa kura mingi zaidi ya mara ya kwanza.

Austrians roundly reject far right in presidential election
 
Back
Top Bottom