mbuguni
JF-Expert Member
- May 15, 2013
- 576
- 151
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haziko sawa na uhuru wewe,sasa mbona Uhuru mwenyewe wamemchinjia baharini jomba?
Ndio maana alichakachua.But uhuru ni baba Wã democrasia ...
Unadhani hajui.....! Anajitoa ufahamu tu.Uchaguzi ambao haukufuata masharti ya Katiba uliibiwa. Na by definition, mwizi wa uchaguzi ndiye hutangazwa mshindi wa uchaguzi.
Serikali iliyopo ni ya CCM.Sasa CCM imeingiaje hapa?????
umenena mkuu, bila katiba mpya iliyopendekezwa na wananchi demokrasia ndani ya nchi hii itakuwa ndoto...Very interesting. Nadhani ni wakati muafaka kwa watanzania kuidai katiba ya wananchi.
muwakilishi wa uhuru kenyatta kwa upande wa JF ndg MK254, pole sana kwa yaliyotokea....ila hakuna namna,mahakama ya upeo(supreme court) imeshaamua.
kutaneni tena kwa debe tarehe 31 october au tarehe 1 november.
twawatakia amani katika kipindi chote cha kuelekea duru ya pili ya uchaguzi.
Wakuu Salaam
Kama Afrika naona tunasonga mbele na kuheshimu maamuzi ya vyombo vyetu mzee wetu jecha alionyesha njia kua uchaguzi wenye dosari ufutwe na kenya wameiga sio kukalia kimya kitu chenye dosari.
Sent using Jamii Forums mobile app