KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

Tanzania tutasubiri Sana, mahakama haina mamlaka, tumejionea yanayoendelea Kumara. Stop order imetolewa Ila bado nyumba zimebomolewa.
 
Huu ndo UKUDA wa nchi za AFRICA, Vijana hawana AJIRA, Kina mama wanateseka, PESA ZOTE ZINAPELEKWA Kwenye UCHAGUZI Masikini WANATESEKA. Hata huo UCHAGUZI wa MARUDIO hautakuwa PERFECT
We sema unaona hasira kwa ushindi huu wa Odinga

......
 
Kuna wale viongozi na wasimamizi kutoka nje walisema uchaguzi ulikua haki na huru je watasemaje tena?!
wale ni wanafiki tu hata Tz walikwepo aliposhinda Magu,wakati hakukuwa na uwazi na ukweli
 
Kama yeye ni mtetezi wa wanyonge au kama yeye ni mcha Mungu - KATIBA MPYA inatakiwa (Ref Warioba)

Tume Huru ya uchaguzi

Mahakama Huru

Ruhusu mikutano ili wananchi watoe duku duku zao
 
Kuna mkono wa Sizonje hapo. Yale yale ya Zanzibar

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mbaaaaaali naona mkibadili gia angani, litakuwa ni pigo kubwa sana kwa upinzani wa Tz kama Odinga atashinda, na momentum iko upande wake sasa hivi! Hamna kampeni tena hivyo yeye ndo atakayepata hata public sympathy kuwa aliibiwa kura!
Chadema, you are doomed! It was a better option for you to shut the hell up BUT you chose to take sides, you shall reap what you sow!
Muombe Uhuru ashinde walahii!
 
Kwa hiyo na wale wazungu walio kuwa wakisema kuwa uchaguzi ulikuwa huru na wa haki walikuwa wanafiki au kuna vigezo vyao binafsi walikuwa wanavitumia?
 
Back
Top Bottom