kelao
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 8,132
- 5,800
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima itakuja tu..Hayo ndio maamuzi ya mahakama kuu ya Kenya.
Jee demokrasia hiyo yawezekana hapa kwetu?
Aliposhinda Uhuru oh wenzetu wapo juu. Na sasa mahakama imetengua ushindi huo oh wenzetu wako juu. Upuuzi mtupu.Wenzetu wako juu
Sent from my TV
punguza hasira ndg....nini shida?.Uliza vijana wa IT wa mamvi? Sijui kwa nini hawakumyongwa wale vijana. Kumbuka, baadhi yao walitoka kenya!
We sema unaona hasira kwa ushindi huu wa OdingaHuu ndo UKUDA wa nchi za AFRICA, Vijana hawana AJIRA, Kina mama wanateseka, PESA ZOTE ZINAPELEKWA Kwenye UCHAGUZI Masikini WANATESEKA. Hata huo UCHAGUZI wa MARUDIO hautakuwa PERFECT
apa UHURU anazidi kupandishwa chati, akitoka hapo anagombea kazi UN, cv imetakata
wale ni wanafiki tu hata Tz walikwepo aliposhinda Magu,wakati hakukuwa na uwazi na ukweliKuna wale viongozi na wasimamizi kutoka nje walisema uchaguzi ulikua haki na huru je watasemaje tena?!
Uliza vijana wa IT wa mamvi? Sijui kwa nini hawakumyongwa wale vijana. Kumbuka, baadhi yao walitoka kenya!
Afrikaans mashariki gani unamaanisha Rwanda, Uganda,Burundi na Tanzania nMpaka hapo hata kama uchaguzi usderudia wamejaribu kuonyesha demokrasia inawezekana afrika mashariki
Sent using Jamii Forums mobile app
We sema unaona hasira kwa ushindi huu wa Odinga
......
Teh teh teh teh hivi Tume ya uchaguzi kama itakuwa Haina hela si mambo yatakuaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mbaaaaaali naona mkibadili gia angani, litakuwa ni pigo kubwa sana kwa upinzani wa Tz kama Odinga atashinda, na momentum iko upande wake sasa hivi! Hamna kampeni tena hivyo yeye ndo atakayepata hata public sympathy kuwa aliibiwa kura!