barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
MK254, mkuu, nifikishie salam kwa wakenya na system yenu nzima ya democrasi, Nimewaheshimu sana kwa hili. You are ahead of the rest of Afrika by a country mile!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MK254, mkuu, nifikishie salam kwa wakenya na system yenu nzima ya democrasi, Nimewaheshimu sana kwa hili. You are ahead of the rest of Afrika by a country mile!
wanashekeaje wakati wako kwenye msiba.taifa kwanzaAlafu Kenya hamna sikukuu ya Eid? Mbona mahakama inafanya kazi leo
Tunaheshimu sheria hakuna aliye juu ya sheriaSi mlikuwa mnashabikia ushindi wa Kenyata?
......
And jechas are everywhere!!Maamuzi haya ni ushahidi kwamba there are still
Honorable persons in this world.
mkuu hapo mahakama imesema kila chama kitabeba gharama.Mungu wangu, ina maana uchaguzi utarudiwa tena? gharama za uchaguzi? uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Mungu shusha amani yako kwa majirani zetu, kusitokee ghasia yoyote!
Hoja ni uhuru wa Mahakama ya kenya inayoongozwa na jaji kamili , si Kaimu Jaji.Sasa Chadema mnasimamia wapi????
Mnakataa maamuzi ya Mahakama????
Mahakama imesema uchaguzi haukufuata demokrasia na nyie mlisema Uhuru ni baba wa demokrasia na uchaguzi umefanywa kwa demokrasia...majibu tafadhali maana hatujui mnasimamia nini toka Dr. Slaa ameondoka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa hivi hujui ni pigo kivipi?? Kwanza mlimsaliti mpinzani mwenzenu mkamuacha anakanyagwa na SERIKALI bila msaada wenu! Mbaya zaidi ni mtu mliyemsapoti zamani.Sasa pigo kwa CDM linakujaje? Uandishi mwingine wa kisengerema sana
Wanafiki hawa, hawajawahi kuwa na msimamo.
Sio tume ilikuwa na mamlaka ya kunullify uchaguzi bali ni Mahakama.. CCM na Tume walibaka kila kiu baada ya kuona upinzani umeshinda. Usipost ujinga wanu na wap..u.mba.vu wenzako kufananisha na Kenya.. Mahakama ya Kenya ndio imekuwa na uhuru wa kufanya haya bila kuingiliwa wala kupewa order. Na nyie mjifunze sio kuwa na uzamani uliokwishapitwa na wakati nyakati hizi.itakumbukwa Tanzania kwa upande wa zanzibar tulifanya uchaguzi wa marudio wa rais baada ya ule uchaguzi mkuu wa 2015 kufutwa
chakushangaza dunia Maalim seif alisusia, na ccm ikafanya uchaguzi na kushinda kwa kishindo
maalim hapa unatakiwa ujifunze, sio kususa tu kama mwanamke
kama kweli umeshinda utashinda tena na tena uchaguzi utakaporudiwa
lakini tofauti hapa kwetu ni katiba kutokuruhusu matokeo ya uchaguzi wa rais kupingwa mahakamani, hivyo maalim ulitakiwa urudie uchaguzi tu kulingana na taratibu zetu
Huku kwetuMahakama ya Kenya inajiendesha yenyewe bila kuingiliwa na MAKANJANJA kama huku kwetu.
Nashukuru,Hoja ni uhuru wa Mahakama ya kenya inayoongozwa na jaji kamili , si Kaimu Jaji.