KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

Niko Pemba mida hii,nawaona ndugu zangu wanashangilia barabarani mamia kwa mamia,huku magari yamesimama kabisa,inaonekana imekuwa Eid njema sana kwa hawa ndugu zangu.
Wanadai haki yao waliopokwa kwa zaidi ya miaka ishirini sasa wamekaribia kuipata.
Nitaendelea kuwajuza yote yanayoendelea
 
Kudos Kenyan! They have shown their greatness again...
 
Mungu wangu, ina maana uchaguzi utarudiwa tena? gharama za uchaguzi? uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii. Mungu shusha amani yako kwa majirani zetu, kusitokee ghasia yoyote!
mkuu hapo mahakama imesema kila chama kitabeba gharama.
 
Sasa Chadema mnasimamia wapi????

Mnakataa maamuzi ya Mahakama????

Mahakama imesema uchaguzi haukufuata demokrasia na nyie mlisema Uhuru ni baba wa demokrasia na uchaguzi umefanywa kwa demokrasia...majibu tafadhali maana hatujui mnasimamia nini toka Dr. Slaa ameondoka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hoja ni uhuru wa Mahakama ya kenya inayoongozwa na jaji kamili , si Kaimu Jaji.
 
Sasa pigo kwa CDM linakujaje? Uandishi mwingine wa kisengerema sana
Sasa hivi hujui ni pigo kivipi?? Kwanza mlimsaliti mpinzani mwenzenu mkamuacha anakanyagwa na SERIKALI bila msaada wenu! Mbaya zaidi ni mtu mliyemsapoti zamani.
 
Kenya Mungu awabariki mnaonesha Dunia kwamba Africa hasa kwenye Elimu nzuri kuna ustaarabu wa kutosha baada ya Ghana,Afrika kusini na Zambia Demokrasia ya Kenya na vyombo vya maamuzi mmeonesha dunia tunaweza.
Niko kwa Uhuru lakini uamuzi huu naupongeza sana kwasababu haki ni muhimu kuliko mapenzi.
 
Wanafiki hawa, hawajawahi kuwa na msimamo.

kwa hiyo walipaswa kushangilia sehemu mbili? kila mmoja ana maono yake sio lile unalolifikilia wewe wengine watende naona umekomaa kwanza ni aibu gani? unafikir wao hawakufikiria kama uhuru anaweza kushindwa umekomaa balaa hiyo ni choice ya mtu hata magufuli alitweet kumpa hongera uhuru wakat swahiba wake odinga kaanguka siasa hazina uadui ila nyie wa tz mnataka kupeleka uccm na uchadema had kenya lowasa alienda yeye kama yeye kakwenda kama chadema.
 
Na sisi katika nchi hii tujifunze, tuache kung'ang'ania ujinga ujinga kila siku.
 
itakumbukwa Tanzania kwa upande wa zanzibar tulifanya uchaguzi wa marudio wa rais baada ya ule uchaguzi mkuu wa 2015 kufutwa

chakushangaza dunia Maalim seif alisusia, na ccm ikafanya uchaguzi na kushinda kwa kishindo

maalim hapa unatakiwa ujifunze, sio kususa tu kama mwanamke
kama kweli umeshinda utashinda tena na tena uchaguzi utakaporudiwa

lakini tofauti hapa kwetu ni katiba kutokuruhusu matokeo ya uchaguzi wa rais kupingwa mahakamani, hivyo maalim ulitakiwa urudie uchaguzi tu kulingana na taratibu zetu
Sio tume ilikuwa na mamlaka ya kunullify uchaguzi bali ni Mahakama.. CCM na Tume walibaka kila kiu baada ya kuona upinzani umeshinda. Usipost ujinga wanu na wap..u.mba.vu wenzako kufananisha na Kenya.. Mahakama ya Kenya ndio imekuwa na uhuru wa kufanya haya bila kuingiliwa wala kupewa order. Na nyie mjifunze sio kuwa na uzamani uliokwishapitwa na wakati nyakati hizi.
 
Maskini ya Mungu hapa lumumba FC na bavicha fc tumevurugikwa hatari hatujui tushabikie lipi tuache lipi lol
 
Back
Top Bottom